Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

Mheshimiwa Ben hapo alichemka maana hakuna siku huyo Vincent ashasimama akasema yeye ni mtoto wa Julius K Nyerere, na wote tunalifahamu. Na wananchi tunachohitaji ni sera za maana basi na sio nani kazaliwa na nani, angestick kny point za kuwajengea jina and not saying otherwise. Nimemshangaa Ben.
 
kitendo cha kumsema Kiboko Nyerere kuwa si mwanafamilia wa Nyerere kinasaidia nini katika kuwakwamua wananchi waliogubikwa na utitiri wa shida.Kila mwananchi amegubikwa na matatizo makubwa ya kiuchumi huku serikali ikizidi kuwakamua wananchi wake kwa kukusanya kodi tena zingine zikiwa ni kero kwa wananchi bila kupata uvumbuzi wa matatizo yao.Tuna lipa kodi kwa kila tunachofanya lakini hatuoni maendeleo,kodi kama ya takataka ina umuhimu gani wakati wananchi wanachangia kodi kwa kila bidhaa watayoinunua?

Sipendi kuamini mtu akizeeka na fikra nazo hupotea,Jukwaa la Arumeru litumike kunadi sera,na si kujitetea.Kama kweli aliona ameumizwa angeita press conference kujibu tuhuma.Mbona hakanushi maneno yake aliyoyasema wakati wa utawala wake kuwa Watanzania ni wavivu wa kufikiri na huo ni wivu wa kike pale waziri mkuu wake wa enzi hizo alipo jimilkisha ardhi huko Kibaigwa?Labda vingunge wakizeeka wanaishiwa upeo wa kuona mbali,hizi si zile zama za mtukufu kiongozi ilihali unawaibia watanzania resilimali zao bila hata aibu tena mbaya zaidi una wakejeli ni wavivu wa kufikiri.

Hawezi kubisha wala kukanusha kwa sera yake ya kuwanyang'anya Watanzania ardhi yao na kuwakabidhi wageni,huku naye akijilimbikia mali kwa kutumia mgongo wa urais.Watanzania tunahitaji uteleze ulipata wapi ujasiri ulioongozwa na hisia za nafsi yako katika kuwaibia watanzania waliokuamini na kukukabidhi usimamie rasilimali zao.Blabla hazitakusaidi katika mapambano ya kuiokomboa nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi ambao uliwalea tangu kipindi cha utawala wako.
 
Huyu BWM anadhani bado watanzania ni wale wanaogopa viongozi, sasa elimu ya uraia inazidi kuwaingia watu hivyo Urais watu wanatambua na dhamana na sio Umungu. Sasa ngoja aone joto ya jiwe maaan zamani alikuwa anaagiza ukikutwa umeweka bendera ya upinzani dola ikusulubu lakini sasa bendera na kuongelea upinzani ni kawaida kabisa na faida zake tunaanza kuziona kwa wananchi kuanza kuhoji uwajibikaji wa viongozi bila woga kwa mfano madaktari nk. Halafu yeye ni kiongozi aliyepitwa na wakati na sera zake tena za kibabe ndizo zilizotufikisha hapa na huu wakati tuna amani ndio hasa wakati wa yeye kukiri kushindwa kwa sera zake na kuomba mawazo mapya yatamaliki katika nchi hii, na sio kutukana wapinzani wakati wameleta changamoto kubwa na watu kuanza kufanya kazi na sio kwa mazoea. BMW umemuua JKN hivihivi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika namna iliyowashangaza wengi, Mkapa alidai kuwa meneja wa kampeni za Chadema, Vincent Nyerere, sio mmoja wa wanafamilia wa Mwalimu Julius Nyerere akidai kipindi chote alichofanya kazi na Mwasisi huyo wa Taifa hakuwahi kutambulishwa mtoto yeyote mwenye jina hilo katika familia hiyo.

Hivi Mkapa wakati anafanya kazi na JKN alikuwa anafanya kazi kama HOUSE BOY wa JKN. Maana kama mtu ni house boy ndiyo unatambulishwa wanafamilia wa HOUSE MASTER wako.

Sasa kama Mkapa hakuwa HOUSE BOY, kwnini baba wa Taifa amutambulishe UKOO wake? Hivi Kweli Mkapa amesahau kwamba Baba wa Taifa alifuata misingi ya kazi na kuiheshimu? Baba Wa Taifa hakuchanganya kabisa masuala ya kazi/uongozi na mambo ya kifamilia/ukoo kama tunavyoana siku hizi.

Kwanini leo Mkapa atake kumzulia jambo Baba wa Taifa kwamba alichanganya mambo ya ki-familia/ukoo na uongozi ndiyo maana Mkapa ambaye hakuwa HOUSE BOY alitambulishwa UKOO WOTE WA NYERERE?

Mkapa anahitaji tiba ya KICHINA ya KUINUA UBONGO wake inaelekea anazeeka vibaya.
 
Wazazi huyu MKP ndo kasimamia EPA,KIWIRA,DEEP DREEN,MEREMERA.TWIN TOWER,WANANCHI GOLD,KAUA TANESCO,KAUZA NYUMBA ZA SERIKALI,KATAPANYA MALI ZAUMA SASA LEO NDO ANASEMA UTUMBO GANI! HUYU FISADI WA MAFISADI INABIDI AKIONEKANA TENA JUKWAANI APOPOLEWE
 
mbona Mramba Pesambili Basil hajatutambulisha

watoto wake wanaolelewa na Mkapa yeye anataka

atambulishwe watoto wa Nyerere?
 
wana JF rais wetu mstaafu BWM alisema kuna watu wameandika hovyo na akadiriki kufika mbalikwa kusema wanatumia mtandao wao kuandika,Je huo mtandao aliopitia mzee mkapa ni upi?
 
jf course. Hii kitu mafisadi wanapata sana taabu nayo. Hii kitu ni ya jamii na jamii ndiyo inakopumulia. Mzee mchafu huyu lazima apate shida.
 
Anamiliki mtandao wa JF? afungue wake halafu atafute wa kumpamba hapa ni hoja nzito tu hata kama alikuwa Rais ataelezwa ukweli wake. Kiwira, NBC, Nyumba za Serikali n.k ni kashfa zake hizo
 
Huyu anataka watu wamuanike japo watu wenyewe ni kama hawapo tayari hivi au sijui watu wanafikiri hili joka bado lina meno? Wallah sasa hivi nina jeuri hata ya kumshika ma---lio hadharani na asiniambie kitu hapo anaongea sifasifa tu kwa vile anaona vibwabwa kibao vimemzunguka
 
kwanza ni rais wa kwanza tanzainia kuingia Ikulu na mwanamke wa kuazima
pili ni rais ambaye sikuwahi kusikia kama ana mtoto japo aliazima mke kwa Mr mramba na hapa
najiuriza mbona watu wanapenda sana pesa? ilikuwaje wazir msitaafu wa fedha akakubali mkewe kupigwa kiboga na jamaa hili,
ili yeye apate cheo tu, tena cheo kinachomtesa mpaka sasa, unachotakiwa kukijua wewe mtanzania mwenzangu ni kwamba ukiona mtu mzima hana familia jua kabisa hana uchungu pia. sasa wana arumeru inakuwaje mnakubali kudanganywa na mtu ambaye hata kesho akifa hana hofu ya wanae watakula nini wala wataishi wapi? kiukweli jamaa huyu wa magamba si wakumsikilza maana yeye hana uchungu na nchi hii, mkapa ni yeye tu hata ajui ada ya mtoto ni Tsh ngapi?
usipate shida sana kujiuliza, ngoja nikuulize mwenzangu mkapa ana mtoto?
anaitwa nani?
kama hana je! anaweza kuwa na uchungu na nchi hii?
poleni wana arumeru maana mnakubali kudanganywa pasipo faida, walikuwa wapi kuwarudishia ardhi yenu kabla ya uchaguzi huu mdogo?

,
 
Back
Top Bottom