Nelson mandela alivyokuja nchini mara ya mwisho alimchana mkapa aache kugawa rasilimali za nchi ambazo nyerere alihangaikia ktk risala ailiyoitoa bandarini. Na kuanzia hapo mandela aliogoma kuonana uso kwa uso na mkapa mbali na jitihada za mkapa kutaka kuonana naye. Tuzo ya ibrahim moore, walimpiga chini kwa kutambua sio mwadilifu......! Saaa nyingine tunamwona jk anatuzingua lakini ukiangalia utaona amechiwa vimeo kibao na nzee nkapa.