MKAPA kweli amejiaibisha

mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema


mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961

CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu

amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri


Waliokomboa Tanzania ni watanzania wenyewe bila kujali vyama kwani kipindi hicho kilikuwepo chama kimoja. Hivyo alitakiwa aongee baada ya kuingia kwa vyama vingi. Sio kudanganya watanzania, anazungumzia kuwasaidia Africa kusini sawa lakini kutokana na ufisadi wao ndio maana afrika kusini wako juu sisi tuko nyuma. Asitufanye watanzania wa leo kama wa mwaka 47 tumebadilika na tunataka maendeleo. Iweje yeye rais mwenye mke mmoja na mtoto mmoja na anasaidiwa na kodi yetu kulipiwa kila kkitu katika maisha yake yote. Awe na tamaa ya kujilimikisha mali kupita kiasi ya nn kama sio wizi na tamaa
 
Siku zote nilikuwa namheshimu kwa kutokuwa mvivu wa kusoma na kuchambua mambo lakini kwa hili hakika ni mchovu, mosi ameshindwa kutafiti na kujua ukweli wa uhuru wetu sina muda wa kueleza lakini sote tunajua uhuru wetu haukupatikana chini ya mfumo wa chama kimoja, akafanye utafiti.

Pili ameshindwa si tu kuona bali hata kuhisi uchungu wa ubinafsishaji Tanzania mf. TTCL na NBC, huyo ndiye Ben anaye fikiri kuwa bado ni bingwa wa kujenga hoja zinazo heshimika.

Tatu amekuwa mvivu hata wa kutafiti na kujua ukweli kuhusu ccm ilivyokosa mwelekeo na kufanya watanzania kukata tamaa nayo kiasi kwamba hawataki hata kuiona huyo ni Ben ambaye miaka kadhaa iliyopita aliheshimika kwa ujengaji wa hoja za kisomi lakini leo anaonekana kaathiriwa na kansa ccm!
 
Kweli che Nkapa! Mzee wangu wa Lupaso a.k.a mzee wa macheni na mapete ya kijini, watanzania tu wavivu wa kufikiri na tuna wivu wa kike! tukipewa fursa hatuzitumii vema, heri yako uliyegeuza Ikulu pango la walanguzi! ukaunda ANBEN,ukajiuzia Kiwira, first naye akajiundia ka NGO,mwana nae boss Simu 2000! ur real great thinker!
 
Aende akawaulize wengine kama Korea na Vietnamu juu ya sera yake ya ubnafsishaji aone kama kuna lolote aliloisaidia Tz,asitumie nguvu nyingi kujisifia kiwete mkubwa huyu wakati watu wazima tunauelewa ubwanyenye wake na alivyo muuaji mkubwa

Acha nimchane live leo huyu zungu kuku,tunataka kujua ile dhahabu aliyopewa iko wapi?na je alipewa kama nchi ama kama yeye?na kama alipewa yeye kwa kazi gani?

Mkapa si mwanaume timilifu ndo maana anakuwa ndondocha kiasi hiki na mapungufu yake yako bayana na yanaeleweka kasoro zake kiuongozi

Kuwa rais haimaanishi kujua kila kitu hata Maprof tunawaona walivyokuwa hovyo iweje yeye kibajaji...namshauri aende akahiji kwenye kaburi la Gaddafi ndo atajua uzito wa bongo za wanadamu zilivyo timilifu
 
inaumiza sana hii, ivi tz ilikombolewa na wana ccm peke yao, hii ni kufikili kwa kutumia makalio, na mbaya zaidi watu wana msikiliza na kumshangilia uyu kipala ngoto, naamini ata yeye mwenyewe fisadi mkapa anatushangaa watanzania tusivyojitambua, uyu ni mwizi uyu, kafanya ufisadi ikulu uyu, kauza mashirika yetu kishikaji uyu, katuletea ugumu wa ajira vijana uyu, kasababisha maisha magumu uyu nae analijua ili sana, its a shame kwetu pia kwa kumshangilia mfanya madudu mkuu uyu, jamani 2015 tuikomboe nchi hii yetu kwa kuwafurusha madarakani mafisadi na ccm yao, mnaona sasa wanaandaa watoto wao wengine ni vibonde wa kutupwa, muulizeni sioi sumari ni sababu ipi ilimuondoa pale crdb legal dept.
mungu ibariki tanzania na watu wake
 
Du Mkuu najua ni Mkosaji lakini ungempa hadhi ya Mzee wa Kiafrika,wazee wa kiafrika na miaka yake themani [80] lakini bado anakoloma kwenye boma yake bwana!!
 
Du Mkuu najua ni Mkosaji lakini ungempa hadhi ya Mzee wa Kiafrika,wazee wa kiafrika na miaka yake themani [80] lakini bado anakoloma kwenye boma yake bwana!!

Hapo kwenye kichapo umenikumbusha mbali kweli! jamaa na bakora mama na muhogo mkononi! kwa minada yetu, naamini ile bakora ya che nkapa itanadiwa bei mbaya!
 
Mkapa jana akifunga kampeni alisema wapinzani. ni wavivu wa kufikiri,ccm ndio iliyolete uhuru na sio chama kingine.anasahau kuwa edwin mtei mzee ndesa mzee mbowe babaake free mbowe,mzee kasela bantu,mzee fundikira na osca kambona walipigania uhuru,na ilivyoanza vyama vingi wakaanzisha vyama walivyona ccm imekuwa chama cha matajiri na mafisadi mmojawapo akiwamo mkapa na lowasa.aseme yeye kipindi hicho alikuwa wapi?alivyokuwa mvivu wa kufikiri na hana kumbukumbu na muongo hakukumbuka hata kwenye msiba wa joseph kiboko nyerere alipiga picha na vicent nyerere kwenye kampeni anadai hamjui.hata baba wataifa alivyomuua hakumbuki kama alifanya sherehe .alishindwa kufikiri kuuza nyumba za serikali viongozi wajao hawatapata pa kuishi bila kujali akauza viwanda bei ya kutupa bila kujali ajira za walalahoi.benk ya NBC akauzaa kwa kisingizio inaendeshwa kwa hasara mbona CRDB haindeshwi kwa hasara?bora ingeingia ubia na CRDB. Huyo ndio mkapa bushoke kama hamuelewii huyu mzee ni bushoke aliuzaa mali ya umma kwa shinikizo la mama mkapa hata mawaziri alikuwa anachaguliwa na mama la sivyo kichapo tuu.

The worst capitalization and punctuation I ever seen!
 
mkapa jana akifunga kampeni alisema wapinzani. Ni wavivu wa kufikiri,ccm ndio iliyolete uhuru na sio chama kingine.anasahau kuwa edwin mtei mzee ndesa mzee mbowe babaake free mbowe,mzee kasela bantu,mzee fundikira na osca kambona walipigania uhuru,na ilivyoanza vyama vingi wakaanzisha vyama walivyona ccm imekuwa chama cha matajiri na mafisadi mmojawapo akiwamo mkapa na lowasa.aseme yeye kipindi hicho alikuwa wapi?alivyokuwa mvivu wa kufikiri na hana kumbukumbu na muongo hakukumbuka hata kwenye msiba wa joseph kiboko nyerere alipiga picha na vicent nyerere kwenye kampeni anadai hamjui.hata baba wataifa alivyomuua hakumbuki kama alifanya sherehe .alishindwa kufikiri kuuza nyumba za serikali viongozi wajao hawatapata pa kuishi bila kujali akauza viwanda bei ya kutupa bila kujali ajira za walalahoi.benk ya nbc akauzaa kwa kisingizio inaendeshwa kwa hasara mbona crdb haindeshwi kwa hasara?bora ingeingia ubia na crdb. Huyo ndio mkapa bushoke kama hamuelewii huyu mzee ni bushoke aliuzaa mali ya umma kwa shinikizo la mama mkapa hata mawaziri alikuwa anachaguliwa na mama la sivyo kichapo tuu.

mkuu uko very correct, your contribution is very intersting na ni ukweli mtupu, unayoyasema ni sahihi, ila ukutaja jinsi mume mwenzie mkapa bw fisadi basil p mramba alivyoenjoy madili kupitia kwa support ya mke part time wao mama A mkapa ishu ya alex sterwat
 
Hawa wazee walitakiwa kupumzika wanakuja kwa siasa.... ngoja tuwachana sasa...

1. Atueleze Exim Tower ni ya nana, na yeye anauhusiano gani na Exim Bank
2. Mahusiano yake na RA
 
Hawa wazee walitakiwa kupumzika wanakuja kwa siasa.... ngoja tuwachana sasa...

1. Atueleze Exim Tower ni ya nana, na yeye anauhusiano gani na Exim Bank
2. Mahusiano yake na RA

Kamanda hebu tumchane huyu njomba make naona anataka kuleta zake zipi

Atwambie siri ya yy kupewa ubosi wa utandawazi na wazungu ambao haohao Baba wa Taifa aliwasagia alafu bado anajiita mwanafunzi wa Mwl.Nyerere ...Mwanafunzi atakuwa wewe Mkapa?Mbwige mkubwa huyu
 
ameeleza jinsi walivyokuwa wavivu wa kufanya utafiti ni jinsi gani mashirika yaliobinafishwa yalikuwa kabla ya kubinafsishwa na baada?


na akaonyesha ni jinsi gani wazawa walivyopata sehemu kubwa ya mashirika na hata yale waliopewa wageni walipewa kwa kushare sio moja kwa moja
Yeye Mkapa ni mvivu wa kuzaa ndio maana wanaume ka Mramba waliamua kumsaidia ili angalau naye awe na watoto wa kulea. Uvivu wa kuzaa mara nyingi husabisha mtu kupata msongo wa mawazo unaosababisha mtu kuwa anaropoka hovyo, ndio yanayomkuta mzee mkapa kwa sasa
 
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema


mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961

CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu

amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri

Mkapa yuko sahihi kwamba CCM ndo imeikomboa nchi hii kutoka kwa wakoloni weupe,Bahati mbaya CCM imekuja kubadilika na kuwa FISI,Imekuwa sawa na Nguruwe anayekula vitoto vyake.CCM sasa n wakoloni weusi ndani ya Tanzania.Hawa ni wabaya zaidi kwa sababu wanaiba hawabakishi vitu hasa ukizingatia wana vitambi vikubwa ishara ya wizi na kujilundikia mali.

Tanzania sasa inahitaji ukombozi wa kweli kutoka kwa wannchi wenyewe wenye uchungu na nchi hii.CCM imebaki kuwa tabaka la walionacho wanaowatawala watu wasio na uelewa.TIME WILL COME ,WHERE IS GHADAFI WHO CALLED THE CITIZENS PANYA?
 
Mkap@,?ccm imeleta uhuru?r u sure mzee wewe?ama kwel zama hzi uzee si Dawa tena
 
Sasa bwana Mkapa anazungumzia CCM ipi mwaka 1961? Anyway, wote tume'originate kutoka CCM lakini unapoona Plan A haiendi sawa lazima uwe na Plan B. Kwa sasa CCM plan yao ni kuifilisi hii nchi na kama ukitaka kuikomboa unaonekana ni mjinga basi sawa lakini mtuachie nchi yetu.

coz TANU ndo risponsibo 4 uhuru
 
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHademamosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberuamezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri
ajibu kwanza tuhuma za kuhusu kifo cha baba wa taifa kama yy alivyojibiwa juu ya vincent kuwa mwana ukoo
 
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema


mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961

CCM na chama chake ndio kilichoshirikiana na nchi za jirani kuweza kujikomboa kutoka kwa wakoloni na mabeberu

amezungmzia suali zima la kubinafsisha na kuonesha jinsi gani walivyotekeleza sera hio kwa ufanisi, na kuwaita wapinzani wavivu wa kufikiri


Hata chama cha UNIP cha Kaunda wa Zambia kilitawala tokea uhuru wake mwaka 1963....where are they now!!! KANU-Kenya!!......This is the beginning of the end
 
Ile kauli ya kiongozi wa mkono wa chuma aka BWM kuwa nec itangaze matokeo na kumpa ushindi mtoto wa ukoo wa madaraka nchini aka ukoo wa familia kubwa Nasari inaelekea kutokea mara baada ya vijana "machaliiii" wa chuga kuchukua bodaboda na kwenda kulinda kura zao makao makuu kutimuliwa na askari waliotumwa na Saidi Mwema chini ya mamluki Andengenye.

Haki ya Mungu damu haimwagiki bure peeeeeeeeeepleeeeeesssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom