MKAPA kweli amejiaibisha

Nelson mandela alivyokuja nchini mara ya mwisho alimchana mkapa aache kugawa rasilimali za nchi ambazo nyerere alihangaikia ktk risala ailiyoitoa bandarini. Na kuanzia hapo mandela aliogoma kuonana uso kwa uso na mkapa mbali na jitihada za mkapa kutaka kuonana naye. Tuzo ya ibrahim moore, walimpiga chini kwa kutambua sio mwadilifu......! Saaa nyingine tunamwona jk anatuzingua lakini ukiangalia utaona amechiwa vimeo kibao na nzee nkapa.
 
Na Kiwira,kagoda,Aneben,richmond,kilimo kwanza, je? sitaki kuamini kama ni mkapa na tambo hizo. Historia ya nchi hii unayotaka mkapa kujivunia alikufa nayo Nyerere mwenyewe. ccm imebakia butua tu watajijuuu. Pole sana, asitafute legitimacy kwa wananchi kwa kukumbusha historia ya nchi hii. Aangalie chadema sio mtu mwenye hiyo surname but ni peoples power waliochoshwa na watu kama yeye. miaka hamsini % chache ya wa-Tz wana umeme nao sio wa uhakika. Hivi kweli ni uchumi gani unaoweza kuendeleza kwa nishati ya kibabaishaji kama hiyo. Inatia kichefuchefu. Sikushangai maana Arumeri walihitaji Majibu ya matatizo yao ww ukaja na Vicent sio mtoto wa nyerere. Tehtehtehteh huyu ndio makini wa kufikiri.
 
Katika hotuba yake mzee Mkapa anaonyesha jinsi wanachama wa CCM walivyokomaa kwa ufisadi ambao umepambwa na jeuri, dharau, dhuluma na unyanyasaji wa kisaikolojia.

Anasema Chadema wao ni ndoto tu, ndoto tu , ndoto tu halafu anamalizia kwa kusema Chadema ni wavivu wakubwa wa kuona na kufikiri, sasa haya si ni matusi haya?
 
Back
Top Bottom