Mohamed R
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 2,232
- 426
Nyumba za serikali na mashirika ya umma walisha maliza kuyauza. Safari hii sijui wakirejea akina nani watauzwa!
Alibakiza mashirika kadhaa ya umma na sehemu za uwekezaji muhimu hasa za madini
Nyumba za serikali na mashirika ya umma walisha maliza kuyauza. Safari hii sijui wakirejea akina nani watauzwa!
Soma tena katiba ndugu yangu.
Sura ya Pili, sehemu ya kwanza, 40 inasema.
"(2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushikakiti cha Rais.
"
http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf
Acha kukurupuka. soma post kwanza. nimeshaiweka hapo juu kwenye post #11 . nimekuwekea tena hiyo iangalie.Acha umbea bhana weka hapa tuone wenyewe kama mwenzako alivyofanya manake hata mleta uzi anabuni tu hakuleta kifungu hapa na kutufanya tuongelee mambo ya umbea tuuu
Acha kukurupuka. soma post kwanza. nimeshaiweka hapo juu kwenye post #11 . nimekuwekea tena hiyo iangalie.
Itakuwa wewe ni mlokole tu sio bure yani nilivyokukandia bado unanitupia like yani umenifanya nione kizunguzunguAcha kukurupuka. soma post kwanza. nimeshaiweka hapo juu kwenye post #11 . nimekuwekea tena hiyo iangalie.
Ahaha! usijali mkuu, as longer as tunashindana kwa hoja wala sina kinyongo. nakukubali sana.Itakuwa wewe ni mlokole tu sio bure yani nilivyokukandia bado unanitupia like yani umenifanya nione kizunguzungu
Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais,nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena.
Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na fedha.
Maoni yako tafadhali.
ha ha haaa...yaani humu ndani kuna watu 'hamnazo' mnaweza kui repair na decorate siku, hata kama imebongonyoka vipi.Itakuwa wewe ni mlokole tu sio bure yani nilivyokukandia bado unanitupia like yani umenifanya nione kizunguzungu
Soma tena katiba ndugu yangu.
Sura ya Pili, sehemu ya kwanza, 40 inasema.
"(2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushikakiti cha Rais.
"
http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf