K kilombero yetu JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,004 Reaction score 117 Jul 8, 2013 #41 Alikuwa very strong na alilifanyia taifa mengi sana,hata hivyo,mzee mwinyi alitufundisha kwamba kila zama in kitabu chake
Alikuwa very strong na alilifanyia taifa mengi sana,hata hivyo,mzee mwinyi alitufundisha kwamba kila zama in kitabu chake
Jalood JF-Expert Member Joined Dec 13, 2012 Posts 748 Reaction score 125 Jul 8, 2013 #42 Akauwe tena Mwembe chai na Zanzibar. Nafikiri wakati huo atakuwa The Hague kujibu Mauwaji yasiyo na nasababu
Akauwe tena Mwembe chai na Zanzibar. Nafikiri wakati huo atakuwa The Hague kujibu Mauwaji yasiyo na nasababu
K Kifarutz JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 1,736 Reaction score 360 Jul 8, 2013 #43 Hivi hawa MODS hawana utaratibu wa kupiga ban vilaza wenye topics za uongo?
W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Jul 8, 2013 #44 Ana miaka 75!