Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Mkapa ni kiongozi asiyekuwa na maono kabisa ni mtu mwenye kiburi na ubabe na kujisikia, kauza migodi yetu halafu anataka kuona Watanzania ni wajinga
Yaani tayari ameshasahu kwamba yeye alishadidia sana suala la sekta binafsi kama mtatuzi wa masuala mbalimbali ya kiuchumi hapa nchini kaisi cha kukaribia kuibinafsisha TANESCO ambayo tayari ilishawekwa chini ya Wa-SA!! Na kwa kulitilia mkazo, akaamua kujiuzia Mgodi wa Kiwira.....!! omg....inaelekea Mkapa anajutia sera zake.....huyu ni mtu mzima mwenye desturi chovu za Kiafrika kwamba mkubwa hata akikosea si busara kukiri hadharani.....!!Alisema pia dhana kuwa sekta binafsi ndiyo suluhisho la tatizo hilo ni potofu kwa kuwa Serikali zinapaswa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tatizo hilo linatoweka.
Kampuni ipi iliyokuwa ina uhai aliyoiuza? usitake kuaminisha watu yasiyo ya kweli.
Kampuni ipi iliyokuwa ina uhai aliyoiuza? usitake kuaminisha watu yasiyo ya kweli.
Mkapa ni kiongozi asiyekuwa na maono kabisa ni mtu mwenye kiburi na ubabe na kujisikia, kauza migodi yetu halafu anataka kuona Watanzania ni wajinga
HABARI LEO
RAIS mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, amesema matatizo ya nishati katika mataifa ya Afrika hayawezi kumalizika kwa kulia, bali kuwa na mikakati maalumu inayotekelezeka.
"Hata mkilia mpaka Mbinguni, lakini bila kuwa na mikakati bora na utawala bora kamwe hamtamaliza matatizo ya nishati katika nchi zenu," amesema Mkapa katika mkutano wa wakuu wastaafu wa mataifa ya Afrika uliokuwa ukifanyika jijini hapa.
Akiongoza mjadala kuhusu mustakabali wa kuwa na nishati ya uhakika juzi Mkapa alisema mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakilalamika kukosekana nishati ya uhakika, lakini bila kufanya chochote cha kuondoa tatizo hilo.
Alisema pia dhana kuwa sekta binafsi ndiyo suluhisho la tatizo hilo ni potofu kwa kuwa Serikali zinapaswa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tatizo hilo linatoweka.
"Ni vema serikali zikawa na mipango mizuri kuanzia uzalishaji wa nishati mathalan umeme, usambazaji na upatikanaji wake wa watumiaji," alisema Mkapa.
STORI NZIMA HAPA
My Take:
Yeye kwa miaka 10 aliyokaa madarakani alifanya nini zaidi ya yeye naye kulialia? Hivi Mkapa wakati anauza makampuni yetu kama njugu alihakikisha vipi kuna nishati ya kutosha wakati makampuni yanafufuliwa au alifikiria watatumia nishati ya kuni?
kweli huyu mzee anautamani urais tena.
NBC aligawa hakuuza hadi nyerere akalia

Hili ndo tatizo la kuwa na watu wanaopewa uongozi bila kujipanga wanakwenda kuongoza nini na kwa mfumo gani,hakika hatuwezi kuendelea kuwa na viongozi wa hivi ...mwenye kujua kuongoza wakati wa wengine angali wakati wake akiwa na nafasi hiyohiyo alishindwa tena kimakusudi kabisa
Huyu,Lowassa,Sumaye n.k hakika hawatufai ..basi kabla hajakosoa wenziwe anapaswa atuombe radhi watz kwa kutumia ikulu yetu kupokea dhahabu ya hongo,alipewa ili iweje?alituzwa kwa manufaa ya nani?
Imesha fika mataifa yaliyoendelea kuwa na mtazamo kama huu inamainisha hata viongozi akina mkapa ni useless ni porojo kuna mcheza filamu za TV kule England alimwambia Thacher anamuombea afe kwa hara na akifika kaburi awe roast kwa moto na mie ingekuwa naweza kusema kama hivyo hapa Tanzania basi ninemuombea Mzee huyu sio kifo bali mateso ya maradhi sungu yenye maumivu yasiyo na mfano awe anateseka na maisha kuliko wanavyoteseka wa Tanzania na hali ya maisha lakini kwa hilo hapa kwetu hatujafikia demokrasi kiasi hicho