Huyu ni MWIZI tu ambaye ameamua kubwabwaja kila anapopata nafasi lakini wizi alioufanya kupitia ununuzi wa rada, uuzwaji wa nyumba za Serikali, Kukwapua Kiwira, ununuzi wa ndege ya Rais akiwa kabakisha miezi mitatu tu kumaliza awamu yake, wizi kupitia netgroup solutions, ununuzi wa helicopters na magari ya jeshi na hadi hii leo hataki kuzungumzia kuhusu ni nani aliyekuwa anafanya naye biashara alipokuwa Ikulu.
BAK, Youa Demn Riiiiiight, Mwizi atabakia mwizi hata akija na Ndoto za Kinabiii.
Its too little too LATE!