Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Kwa Mujibu Wa Mbunge Aliyechangia Bungeni Leo Imetolewa Taarifa Na Waziri Hawa Ghasia Kuwa Eti Mkapa Alitumia Bilioni 2.65 Yaani Kwenda Kusuluhisha Kenya Hii Ni Kashfa Nyingine .
Na Tena Katibu Mkuu Wa Wizara Alimwambia Mbunge Huyo Kuwa Eti Ni Kutokana Na Delegation Ya Mkapa Kuwa Kubwa , Sasa Kumbe Hakuna Maana Ya Kujifanya Wasuluhishi Kwani Kama Gharama Ni Hizo Tunaliumiza Taifa .
Kesho Watatoa Tamko La Serikali Bungeni Asubuhi, Sasa Hii Ni Kazi Kweli Kweli.
Jamani mbunge kasema bilion sio m kama unamashaka na limeleta mzozo bungeni kama kawaida kuna baadhi ya mibunge kule ndani ni kama watoto mi sijui mana walianza kupiga kelele wenzao akina zitto wanaomba mwongozo wa spika wanakataliwa wakaamua kuongea na makelele yao.what? labda hujasikia vizuri Mkuu, inawezekana ni 2.65M. Kama jina lako lilivyo hapa mapaka kieleweke.
Ni kwamba huyu mbunge alipokuwa anachangia akasema alitaka kujua kiwango cha hela wakati wa usuluhishi wa kenya kwa nini kiliongezeka kama sijakoseana majaibu aliyopwa ni hayo ya delegation lakini na mHawa ghasia na akaongeza ziliongezeka kwa ajili ya matibabu ya viongozi wengine wastafu. kama nimekosea mnaofutilia bunge rekebisheniAmejibu Hawa Ghasia Akitaka Kupotosha Na Aliposimama Zitto Kutaka Kanuni Zitumike ,mwenyekiti Wa Mjadala Aliitaka Serikali Kwenda Kuleta Majibu Ya Kina Kesho Na Kuufunga Mjadala .
Wanaofuatilia Bunge Wanaweza Kutoa Ushahidi Hapa .
Kwa Mujibu Wa Mbunge Aliyechangia Bungeni Leo Imetolewa Taarifa Na Waziri Hawa Ghasia Kuwa Eti Mkapa Alitumia Bilioni 2.65 Yaani Kwenda Kusuluhisha Kenya Hii Ni Kashfa Nyingine .
Na Tena Katibu Mkuu Wa Wizara Alimwambia Mbunge Huyo Kuwa Eti Ni Kutokana Na Delegation Ya Mkapa Kuwa Kubwa , Sasa Kumbe Hakuna Maana Ya Kujifanya Wasuluhishi Kwani Kama Gharama Ni Hizo Tunaliumiza Taifa .
Kesho Watatoa Tamko La Serikali Bungeni Asubuhi, Sasa Hii Ni Kazi Kweli Kweli.
kama yaliyoletwa hapa ni kweli,basi ni bora kila mtanzania agawiwe chakwake,ili kila mmoja wetu atafute pa kwenda baada ya kupata urithi wake.
Sasa kama ni hivyo... Kikwete aliende kufanya nini? Na gharama zake zilikuwaje?...