Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Sidadhani kama ni kutumia muda wetu vizuri kuanza kujadiri mambo ya Mkapa na mkewe huko chumbani kwao.
Pia sidhani kama tunamtenda haki mtuhumiwa wetu wa Ufisadi kwa kuanzisha mjadara juu ya mahusiano ya kindoa kati yake na mkewe wakati kuna hoja nzito inayomkabiri MH Rais Mstaafu ambayo inastahiri kuvaliwa njuga na mshipi kiunoni.
Kama kuna kitu kimoja kikubwa tuwezacho kujikanyaga na kuanzisha mchezo wa panya wengi wachimbao shimo katika mapambano haya ya kujenga upya Tanzania, ni kushindwa kuzipa kipa umbele hoja muhimu kwanza na kuachana na simulizi za mahusiano ya kindoa zilizo jaa karibu katika kila familia Duniani.

Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP je walipigana au vipi? Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka, jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.
Mkapa alijeruhiwa na mkewe?
NDIYO!!!
So, what........????
Vibweka vya 'wakubwa'Kosa ra tatu!!!!!. Duh wasee naona mambo yanakwenda yakiongezeka!!kuna siku hapa nilisha uliza ule mstari 'imaginary' wa lipi lizungumziwe na lipi lisizungumziwe upo wapi??. Nikaambiwa kila kitu ni fair game...ukishakuwa 'top dawg' au family member basi life lako lipo under scrutiny hata kama ni umbea!.
Ndio maana mie hata udiwani siutaki................!!!LOL.
hahhahahaa nomer Sana King Lodi LoferIlikuwa mkutano wa SADC, Niliskia same story kuwa ubishi ulikuwa wa harusi mama akawa anataka harusi ya kifahari, baba yeye akawa anataka ya kawaida na marafiki wachache(Inner Circles) katika kubishana inasemekana Mama akanyanyua stool akampiga nayo, Mzee wa Lupaso kwa hasira akashika kiganja cha mama na kukinyonga.Hivyo ndivyo nilivyosikia mimi.
Enzi hizo hata hawajui kazi ya hili jukwaanifah huu umbeya mi nilikua la pili
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP je walipigana au vipi? Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka, jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.
Hivi alikuwa ni mtoto wake au wa Basil P MIlikuwa mkutano wa SADC, Niliskia same story kuwa ubishi ulikuwa wa harusi mama akawa anataka harusi ya kifahari, baba yeye akawa anataka ya kawaida na marafiki wachache(Inner Circles) katika kubishana inasemekana Mama akanyanyua stool akampiga nayo, Mzee wa Lupaso kwa hasira akashika kiganja cha mama na kukinyonga.Hivyo ndivyo nilivyosikia mimi.