Mkapa alijeruhiwa na Mkewe?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP, je walipigana au vipi?

Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka.

Jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.
 
Ilikuwa mkutano wa SADC, Niliskia same story kuwa ubishi ulikuwa wa harusi mama akawa anataka harusi ya kifahari, baba yeye akawa anataka ya kawaida na marafiki wachache(Inner Circles) katika kubishana inasemekana Mama akanyanyua stool akampiga nayo, Mzee wa Lupaso kwa hasira akashika kiganja cha mama na kukinyonga.Hivyo ndivyo nilivyosikia mimi.
 
Sidadhani kama ni kutumia muda wetu vizuri kuanza kujadiri mambo ya Mkapa na mkewe huko chumbani kwao.

Pia sidhani kama tunamtenda haki mtuhumiwa wetu wa Ufisadi kwa kuanzisha mjadara juu ya mahusiano ya kindoa kati yake na mkewe wakati kuna hoja nzito inayomkabiri MH Rais Mstaafu ambayo inastahiri kuvaliwa njuga na mshipi kiunoni.

Kama kuna kitu kimoja kikubwa tuwezacho kujikanyaga na kuanzisha mchezo wa panya wengi wachimbao shimo katika mapambano haya ya kujenga upya Tanzania, ni kushindwa kuzipa kipa umbele hoja muhimu kwanza na kuachana na simulizi za mahusiano ya kindoa zilizo jaa karibu katika kila familia Duniani.
 
Last edited by a moderator:

'Vibweka vya Wakubwa'

SteveD.
 
Salute Mkuu!,Nimeona kwenye mambo mengi humu huwa tunatafuta Detour!,Sometimes bila sababu ya maana hata kidogo!!,kwa sababu Muungwana mmoja kaamua kupinda basi atapata wafuasi wafuata upepo,Tunakaribia kabisa kujikaanga kwa mafuta yetu wenyewe,Tuwe waangalifu na kutopoteza mwelekeo wa Forum,Shukran Mzee Madilu kwa kuturudisha kwenye Highway!!.Sitarajii kwamba nimemkwaza yeyote kwa maandishi haya.
 
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP je walipigana au vipi? Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka, jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.

Hii picha yako uliyoweka kwa kweli sijaifurahia kabisa from the bottom of my heart
 
Kosa ra tatu!!!!!. Duh wasee naona mambo yanakwenda yakiongezeka!!kuna siku hapa nilisha uliza ule mstari 'imaginary' wa lipi lizungumziwe na lipi lisizungumziwe upo wapi??. Nikaambiwa kila kitu ni fair game...ukishakuwa 'top dawg' au family member basi life lako lipo under scrutiny hata kama ni umbea!.
Ndio maana mie hata udiwani siutaki................!!!LOL.
 
Vibweka vya 'wakubwa'
 
Ilikuwa mkutano wa SADC, Niliskia same story kuwa ubishi ulikuwa wa harusi mama akawa anataka harusi ya kifahari, baba yeye akawa anataka ya kawaida na marafiki wachache(Inner Circles) katika kubishana inasemekana Mama akanyanyua stool akampiga nayo, Mzee wa Lupaso kwa hasira akashika kiganja cha mama na kukinyonga.Hivyo ndivyo nilivyosikia mimi.
hahhahahaa nomer Sana King Lodi Lofer
 
duuuuh umeanza lini umbea??
Nataka tujue kwa kiasi fulani sababu ya Mkapa wakati ule akiwa Rais siku alipoenda kuzindua Maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Mwalimu Nyerere zamani Saba Saba, siku hiyo hiyo akaonekana kuchechemea na Mkewe akiwa na POP je walipigana au vipi? Maana kuna fununu kwamba walikorofishana kuhusiana na wapi Mtoto wao angefanyia sherehe ya harusi, kwamba Mkapa alitaka mwanae afanyie sherehe hizo Ikulu wakati Mkewe akitaka atafutiwe ukumbi mkubwa, mzuri akafanyie huko, ndipo tofauti zikaibuka, jamani kwa wanaojua zaidi mwaga stori hapa.
 
Ilikuwa mkutano wa SADC, Niliskia same story kuwa ubishi ulikuwa wa harusi mama akawa anataka harusi ya kifahari, baba yeye akawa anataka ya kawaida na marafiki wachache(Inner Circles) katika kubishana inasemekana Mama akanyanyua stool akampiga nayo, Mzee wa Lupaso kwa hasira akashika kiganja cha mama na kukinyonga.Hivyo ndivyo nilivyosikia mimi.
Hivi alikuwa ni mtoto wake au wa Basil P M
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom