JohnShaaban
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 464
- 116
Ni gharama juu ya gharama!!Yes anatembea na Msafara usiopungua gari tatu na piki piki moja ya kuongoza Msafara.
Yes anatembea na Msafara usiopungua gari tatu na piki piki moja ya kuongoza Msafara.
Kosa la kuhatarisha Amani.Mathalani kama wangempiga Risasi Rais mstaafu unaju Madhara yake ni yapi.Hii ndio shida polisi wetu wanafanya kazi kwa hisia. Ukiwauliza hawa vijana wamevunja sheria gani utakuta wala hawajui. Sasa kwa mfano kama hao vijana wangeamua kumshangilia wakati akipita wangewakama?
Hii ndio shida polisi wetu wanafanya kazi kwa hisia. Ukiwauliza hawa vijana wamevunja sheria gani utakuta wala hawajui. Sasa kwa mfano kama hao vijana wangeamua kumshangilia wakati akipita wangewakama?

Hivi:
a. Kama walikuwa kwenye msafara wakaona watu wanapiga kelele "Fisadi" "Fisadi" wanapoteremka na kufanya msako, wanajuaje walioawakamata NDIYO waliosema "fisadi"?
b. Je kama vijana hawa wangesimama na kupiga kelele "Mtukufu" "Mtukufu" ni hatua gani wangechukuliwa au zawadi gani wangepewa?
c. Uhuru wa maoni ni pamoja na uhuru wa maoni ya kijinga. Katiba haisemi mahali popote kuwa maoni yatakayotolewa na wananchi lazima yawe mazuri au yanayopendeza ili yakubaliwe.
18
.-(1).Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati
d. HIvi wanazojela za kutosha? Maana tukianza hii movement ya "Fisadi" "Fisadi" wataweza kweli kuwasweka watu ndani au watalazimika kutumia njia "kali" zaidi... ?
Polisi ingewatendea haki hao vijana kwa kuwaachia huru mara moja na bila masharti yoyote.
Kwa uzoefu wangu wa vijana wakijiweni,wanafahamika sana na pale ndipo huwa Mzee Mkapa huwa anpita kila mara kama akiwa hapa Dar. na ujue ile kona ni kona ambayo inaenda kwenye Nyumba za Mawaziri,hivyo watu wa Usalama ni kibao na wao ndio watakuwa wamewapa taarifa Polisi kwasababu ndiyo kazi yao kubwa
Wasinge weza kumwita Mzee Ben Mtukufu sababu yeye siyo Mtukufu na kamwe halikataa kuitwa hivyo.angekasirika.
Ibara ya 18
sheria zingine za nchi zinasemaje kuhusu ulinzi wa Rais Mstaafu ambazo wewe Mwanakijiji hauzijui??
hawawezi kuwapeleka Jela zaidi ya kwuahoji na kujua lengo lao ni nini
Kajipatia jina baya kweli! Mwenzie Mzee Mwinyi akipita watu hushangilia "rukhsa rukhsa rukhsa rukhsa!"
Hata kama Mzee Mkapa ni Mwizi(Hapa mahakama haijaamua) ila jua ya Kwamba bado ni Rasi Mstaafu tu..other thing reamin Constant.Kuzomea mwizi hakuhitaji kuhojiwa na polisi ili ijulikane lengo ni lipi. Lengo ni kumwaibisha mwizi na shetani (shame the devil).
Hata kama Mzee Mkapa ni Mwizi(Hapa mahakama haijaamua) ila jua ya Kwamba bado ni Rasi Mstaafu tu..other thing reamin Constant.
Wewe unadhani kama angepita kiongozi mstaafu wa upinzani watu wakaanza kumzomea,viongozi wa juu wanatembea na mtoto wako huku wakimghasi..Polisi wakikaa kimya unadhani italeta picha nzuri??

Msaada mwingine kwa wanasheria, yapasa kusaidia hao vijana walishitaki Jeshi la vibaraka kwa kuwaweka kizuizini pasi kosa lolote! Wakileta kisingizio cha uzururaji then watuambie wametoa ajira ngapi baada ya kusababisha maisha ya vijijini kuwa magumu?!...sasa hao vijana watafunguliwa kesi gani hapo naomba msaada wanasheria...
Kwa uzoefu wangu wa vijana wakijiweni,wanafahamika sana na pale ndipo huwa Mzee Mkapa huwa anpita kila mara kama akiwa hapa Dar. na ujue ile kona ni kona ambayo inaenda kwenye Nyumba za Mawaziri,hivyo watu wa Usalama ni kibao na wao ndio watakuwa wamewapa taarifa Polisi kwasababu ndiyo kazi yao kubwa
Wasinge weza kumwita Mzee Ben Mtukufu sababu yeye siyo Mtukufu na kamwe halikataa kuitwa hivyo.angekasirika.
Ibara ya 18 inayotoa uhuru huo inasema hivi