shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI? NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO, NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA, MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA? JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED
Hapo tu kwanza huyo mwandishi kakosea,alitakiwa atumie neno clan(ukoo),na pia asimuusishe Mwalimu Nyerere kwenye hilo.Waliomualika Mkapa kwenye ukoo ni familia ya Wanzagi kutokana na shinikizo la Butiku,familia ya Mwalimu haikuhusika kabisa na hilo,ndio maana hata kwenye hio report hapo hatuoni jina hata moja la mtoto wa Mwl Nyerere,au mkewe for that matter likihusishwa na huo mwito.
Kwanza Mkapa aliitelekeza sana familia ya Mwalimu,na Mama Maria likuwa bitter sana nae,na ndio maana alimuembrace JK tokea mwanzo.Serikali ya Mkapa ilitakiwa kujenga ukuta wa kuzunguka eneo zima pale msasani,na yule mama maskini alizungushwa mwishowe akamua ajenge ule ukuta mwenyewe,walivyosikia wakina Mary Nagu at the time kuwa Mama Maria kaamua kujenga ukuta mwenyewe,ndio wakamkimbilia ili wajenge,sasa sijui kama walimalizia wao au ni yeye mwenyewe.
Na wale wanaosema Mkapa alikuwa ni chaguo la Nyerere,pia hio sio sawa! Chaguo lake lilikuwa Salim,na Salim aligoma akitoa sababu kuwa anataka kumalizia kazi zake OAU kwanza,na atagombea baada ya hapo,ofcoz yeye akijua Nyerere angekuwa bado yuko hai.
Waliomshinikiza Mkapa agombee ni Warioba,Salim,Butiku na jamaa mmoja anaitwa Adam Marwa,na hao ndio waliomfuata Nyerere ili amuendorse Mkapa. Ndio maana Salim mpaka leo amesema hawezi kamwe kumsamehe Mkapa kwa vitendo alivyofanyia Dodoma siku ya uchaguzi wa kutafuta mgombea wa CCM.Hana kinyongo na JK kabisa.
Pia Nyerere alimshangaa sana Mkapa kumpa uwaziri Lowassa,na huo ujumbe ulimfikia Mkapa.Mtu akitaka ukweli wa haya amuulize Butiku! Butiku alitegemea mengi kutoka kwa Mkapa,kubwa likiwa ni mchango mkubwa wa fedha kwenda Nyerere Foundation.Mkapa baada ya kuchangia wakati wa uhai wa Mwalimu na baadae(baada ya Mwalimu kufariki) kugundua ,obviously, pesa zinapigwa alisitisha,na Mandela(baada ya ku-take over) kusema kuwa atatfuta pesa for specific events only,kama mikutano n.k.(kukawa hakuna pesa za kupiga tena)
Chuki rasmi kutoka kwa Butiku zilianza baada ya Nyerere kufariki, ingawa baadae zilipungua kidogo kwa kumwingiza kwenye ukoo.Mkapa alikuwa hana sababu ya kukataa kwa sababu alikuwa ni rafiki wa karibu wa mmoja wa wadogo zake Mwalimu,pia mke wake wa zamani Butiku ni wa familia ya Muganda,na tunajua familia ya Muganda ilivyo close na familia ya Mkapa...kutoka hapo ni rahisi ku connect the dots.
Hivyo kama kuna mtu anaitwa Peter Wanzagi kasema hayo,haina maana hayo ni maoni ya familia ya Mwalimu Nyerere, na sidhani kama ni fair kwa kuihusisha,mpaka watu wengine wanasema 'who the hell do they think they are!'Well,they have the name,and it ends there.Wana nini zaidi ya hapo? I feel they are being victimised for something which has nothing to do with them at all,lakini tatizo ni kama alivyosema mchangiaji mmoja humu,ni mwandishi mwenyewe wa hio article.
,,,kimsingi nakubaliana na wewe ...mwizi hana jina lingine zaidi ya mwizi.....call SPADE A SPADE....
1. "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI?
2. NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO,
3. NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA,
4. MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA?
5. JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI.
6. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI
7. ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED
..najua kigoma ni moja ya mikoa yenye barabara mbovu,...kama mnaongelea barabara zinazojengwa na halmashauri za mitaa au changarawe sikatai ..ZIMEJENGWA ...barabara ninazotaja hapa ni zile muhimu kiuchumi TRUNK ROAD ...siongelehi barabara za mwananyamala kwa kopa!!!
..hayo madarasa yaliyojengwa hayana walimu ,...does it worthy to be called schools.....lets be serious na elimu jamani....ndio maana mitihani ya form two imefutwa kwa kuwa shule za kata wangefeli wote..hawana walimu!!!
si tunataka kukomesha ufisadi lakini au?
sasa kwa nini iwe yeye na kundi lake tu na wengine katika awamu ya mwinyi je?. au wale wa awamu ya mwinyi wako juu ya sheria?.
..maryam ...i have no reason of consealing my identity...i understand your guiltness on your harsh comments you made previouslly...
peace be with you!!
Zanaki said:Kwanza Mkapa aliitelekeza sana familia ya Mwalimu,na Mama Maria likuwa bitter sana nae,na ndio maana alimuembrace JK tokea mwanzo.Serikali ya Mkapa ilitakiwa kujenga ukuta wa kuzunguka eneo zima pale msasani,na yule mama maskini alizungushwa mwishowe akamua ajenge ule ukuta mwenyewe,walivyosikia wakina Mary Nagu at the time kuwa Mama Maria kaamua kujenga ukuta mwenyewe,ndio wakamkimbilia ili wajenge,sasa sijui kama walimalizia wao au ni yeye mwenyewe.
NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO,
Huu ni mwanzo wa mwisho wa wanasiasa wetu? huytu kaupata wapi ujasiri wa kuyasema haya ?JK watch out something is coming.
4. MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA?
5. JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI.
WanaJF anachojaribu kusema KITILA ni "Kunakuwapo dosari katika maumbile ya keki yako usikimbilie kuitupa keki hiyo tu, bali rekebisha kifaa kinachotumika kufyatulia keki hiyo, kwa sababu bila kufanya hivyo utaendelea kuzalisha keki yenye kasoro ilele"
..mwaka 1995 nyumba ya Mwalimu ya msasani ilifanyiwa matengenezo makubwa
Whats your point here,kwamba serikali imemrudishia nyumba aliyowapa au? Hilo la yeye kuiuzia serikali silijui,ila najua aliwapa serikali iwe ni makao ya rais mpya,na wao wakamrudishia...Mwalimu alijenga nyumba ya msasani kwa kutumia mkopo wa benki. baadaye akaiuza nyumba hiyo kwa serikali ambayo ilimalizia mkopo huo. alipojiuzulu uongozi serikali ilimzawadia Mwalimu nyumba ya msasani
Argument yangu haikuwa serikali...ilikuwa serikali ya Mkapa.Pia correct your statement,ni nyumba mbili,moja ilijengwa na JKT na nyingine JWTZ nafikiri.Kumbuka pia nae ana nyumba magomeni aliyowapa serikali,na wanaitumia kama makumbusho yake,watu wanatakiwa kulipa wakiingia kwenye hio nyumba,unajua pesa hizo zinaenda wapi? Serikalini...kijijini kwake Butiama serikali imemjengea nyumba mbili Baba wa Taifa. kwa ujumla serikali ilimjengea Baba wa Taifa na familia yake nyumba 3
Kauli za ubabaishaji ni zipi,tutolee mfano basi.Na ni mwanasiasa gani Tanzania ambaye hatoi kauli za ubabaishaji? Since when has that become a crime in this country? UMesahau pia kuna mtoto mwingine wa Mwalimu alikuwa mbunge kupitia viti maalum wakati huo.Makongoro kupewa ubunge ni kwa sababu he probably deserved it.Kama aliweza kumshinda Mrema Arusha mjini,hudhani kama alistahili? Mbona wako wengi tu waliopewa ubunge na hata uwaziri waliotoka upinzani,Masha,Malima,Nsanzugwako etc..vilevile Raisi Mkapa alimchagua Makongoro Nyerere kuwa mbunge wa Taifa. He didnt have to do that, ukizingatia kwamba Makongoro alihama CCM. Makongoro alikuwa akitoa kauli za ubabaishaji sana alipokuwa NCCCR.
..mimi siamini kama Mama Maria anaweza kumnunia Raisi wa Jamhuri ati kwa kutowapa msaada familia ya Baba wa Taifa.
..Mama Maria hawezi kunungunika shida wakati kuna Mawaziri waandamizi walio-serve wakati wa Baba wa Taifa wanaishi ktk umasikini wa kupindukia
..hii habari ya kusema Mama Maria alikuwa amenuna kwa kukosa msaada wa serikali hainiingii akilini hata kidogo.
NB:
..Zanaki naomba ufute hii kauli kwamba serikali imetelekeza familia ya Baba wa Taifa, na kwamba Mama Maria yuko bitter
,tusubiri matokeo ya utabiri wako na imani yangu juu CCM mkuu kumpeleka Mahakamani Benjamin William Mkapa.