William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
barabara,shule mpya,madaraja,msamaha wa madeni..ametuachia national reserve kubwa kuliko wakati wowote...2 billion dollars...[mmeshauliza zimebakia ngapi siku hizi????]
pamoja na hayo natambua pia anayo makosa...sasa kikwete hadi saasa kuna mradi gani mkubwa katupa???
suala la uhuru wa vyombo vya habari alileta mzee mwinyi...kikwete hana sifa kwenye hili kwani inajulikana yeye ni mtu wa kununua waandishi....na magazeti...hilo sio siri!!!!
Ni lazima nchi ijue gharama ya barabara, shule mpya, madaraja na madeni.
Kama manunuzi ya radar yaliweza kuwanufaisha wao. Kuna uwezekano mkubwa kuwa ujenzi wa barabara, mashule na mafanikio katika reserve umewanufaisha wachache zaidi kuliko taifa. Na hii imejionyesha wazi kabisa katika kashfa ya BOT.
...mkapa alituachia dola bilioni mbili kwenye national reserve account...zikitosha ku sustain matumizi ya nchi miezi 10....kumbuka alipokea nchi ikiwa na akiba isiyotosha hata wiki moja.....
wanaotaka tusimuone kikwete kituko watuambie kikwete ameongeza national reserve au anaendelea kuikwangua ...mbona siku hizi hatutangaziwi tuna dola ngapi akiba kama taifa kila baada ya miezi mitatu??

Habari nilizozipata leo according to the dataz ni kwamba sasa makapa, Yona, na chenge wameamua kumtumia the same defence lawyer, sasa ni ana madhumuni yao ni nini hasa kama sio kujaribu ku-coordinate namna ya kuuficha na kuuuhalalisha ufisadi wao?
Rais mzima wa zamani wa taifa na jamhuri, anatafuta nini kwenye kutafuta wanasheria na mawaziri wake wa zamani? Na huko sheria tunazo habari kwamba mtoto wa makapa aliwekwa huko kwa makusudi ili aje avuruge uchunguzi, kwa hiyo tunawa-pressure wabunge wadai aondolewe mara maoja huko tuendelee na kazi ya wananchi!
!
Huyo wakili ni Joseph Mbuna au wametafuta wakili mwingine?
Kama wakili wao ni Mbuna basi hapo hakuna kitu kwani inaeleweka wazi kabisa uhusiano wa Mkapa na Mbuna ulivyo.
Nicholaus Mkapa (Mtoto wa Ben Mkapa) amemwoa Mtoto wa Joseph Mbuna. Joseph Mbuna, Mkapa, Yona na Chenge wote wana share Kiwira Mining.
Tunachotaka siyo kumuangamiza Mkapa. Tunachokitaka ni kuhakikisha wale wote wezi wa mali za umma hata kama ni wewe na mimi sheria inachukua mkondo wake. Hata kama ni JK lazima sheria ichukue mkondo wake.
Hakuna aliye juu ya katiba ya nchi. Juu ya dola la Watanzania.
Mambo yote yatakayofanyika yatafanyika kulingana na sheria zilizopo nchini ambazo hata Mkapa aliapa kuzifuata.
Hakuana kipya hapa. Kama watanzania tunaamua kufuata sheria na tuzifuate. Hatuwezi kuandika katiba na kuwa na viongozi walioapa kuzifuata na wasizifuate.
PM tunaelewa unasema nini lakini tunahitaji kujenga tanzania yenye uadilifu.
Lazimna hata mikataba yote irudi na iangaliwe upya kama hatuwezi kuivunja basi waliohusika wachunguzwe kulikoni.
...mkapa alituachia dola bilioni mbili kwenye national reserve account...zikitosha ku sustain matumizi ya nchi miezi 10....kumbuka alipokea nchi ikiwa na akiba isiyotosha hata wiki moja.....
wanaotaka tusimuone kikwete kituko watuambie kikwete ameongeza national reserve au anaendelea kuikwangua ...mbona siku hizi hatutangaziwi tuna dola ngapi akiba kama taifa kila baada ya miezi mitatu??
kamanda ..unasema mkapa ameiba pesa nyingi kupitia miundombinu...barabara zikaisha...sasa kikwete amekula zote nini mbona hata barabara moja haijaisha??...teh teh kama holiday yake moja inagharimu milioni 500...na anapumzika zaidi ya mara 6 kwa mwaka mnategemea nini!!?
mkapa alituachia dola bilioni mbili kwenye national reserve account...zikitosha ku sustain matumizi ya nchi miezi 10....kumbuka alipokea nchi ikiwa na akiba isiyotosha hata wiki moja.....
wanaotaka tusimuone kikwete kituko watuambie kikwete ameongeza national reserve au anaendelea kuikwangua ...mbona siku hizi hatutangaziwi tuna dola ngapi akiba kama taifa kila baada ya miezi mitatu??
Kama kutakuwa na uchunguzi au mashitaka dhidi ya Mkapa hawezi kujitetea kwa kusema aliacha reserve, alijenga barabara, alijenga shule mpya au uwanja wa taifa. Itabidi ajitetee kwa kuonyesha sheria za nchi zilivyompa ruhusa kufanya kile alichofanya.
Wakuu hebu acheni siasa na shule kwenye wizi wa makapa, kama Chenge amechota hela zote zile kwenye deal ya Radar, makapa alipewa ngapi? Makapa ameiba hela nyingi sana za taifa letu kupitia Miundo Mbinu, in fact kuna menngi ambayo hayajasemwa bado ya uchafu wake, kama ni msafi kwa nini asiombe kuondolewa immunity akajisafishe mahakamani?
Hivi ni lini bingwa wa kujenga hoja Mwalimu, aliwahi kujificha nyuma ya political immunity?
Hawa watu wanatakiwa waandaliwe makazi pale segerea mapema sana.
Mkuu K,
Maneno mazito hayo, na Mkuu Kithuku vipi mkuu huna lolote la kuongeza kuhusiana na mafisadi?, nafikiri the focus hapa iko very clear mkuu inakaribia kuundwa kamati ya bunge ya uchunguzi, umeisikia hiyo mkuu!