Mzee Es said:Unajua,
Kwa wale wazee "Wenzetu", kama mnayoyasema ni kweli basi Tanzania hatujawahi kuwa na viongozi wezi hata siku moja!
Mwalimu alipomuita Lowassa kuwa ni mlarushwa na mwizi, je alitoa ushahidi? Tunapoambiwa kila siku kuwa Lowassa ni mlarushwa na mwizi, ni nani ambaye amewahi kutoa ushahidi?
Toka tupate uhuru, tumeambiwa viongozi wangapi kuwa ni wezi, wana mahela mpaka majumba ndani ya nchi yetu, je ni wakati gani tuliwahi kuonyeshwa ushahidi? Tukapewa adress ya nyumba? Na mji zilizoko hizo nyumba?
Sasa hiyo ina maana kuwa Tanzania hatujawahi kuwa na viongozi wezi? Mbona mnageuka kama watoto na hizi hatred mpaka hamuwezi kuuuona ukweli Mkapa hata kwa hela hela zake mwenyewe hawezi kujenga ile nyumba ya Sea View, licha ya hayo majumba yote mengine aliyojenga kwa kipindi cha mwaka mmoja! Watoto alisomeshaje nje, toka vidudu mpaka wamemaliza vyuo vikuu?
Je milishawahi kuziona risiti za nyumba zake za Hapa bongo na kuhakikisha kuwa ni zake kweli? Warioba anpowatukana viongozi wa baada ya Mwalimu kuwa ni wala rushwa na wezi ana maana gani? Alishawahi kututolea ushahidi?
Mrema alipoulizwa na waandishi kama yeye ni clean toka akiwa serikalini, alisema, "......Mimi sio malaika.....", alikuwa na maana gani?
....Kwa wale mnaojaribu kuzima issue na maneno ya ushahidi, I hope you are for real kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na viongozi wezi, maana hatujawahi kuuona ushahidi in public toka tupate uhuru!
Mzee Es said:Hapana so far ni accusations tu sio ukweli, watu walionitumia nimewaomba wanipe basi angalau kianzio lakini ninaona kimyaa vipi? Nimesikia matatizo mengi ya balzoi huyo ila la wizi sijawahi kusikia,
halafu ninakuomba kitu kimoja kama una data mwaga hapa, kumwita kiongozi mwizi bila ya kuwa na data angalau moja ndio unafiki wenyewe!
Mwenye data aziweke hapa jinsi Kibelloh alivyo mwizi, FULL STOP!
Mzee Es said:
Kabla sijaondoka, ninaifunga hii mada kwa kusema kwamba hakuna ushahidi wa kutosha juu ya Balozi Kibelloh kuiba picha za serikali pale London, at this point ninasema huu ulikuwa ni uzandiki na majungu, maana watu wote walionitumia message nimewaomba watoe angalau uthibitisho, I mean just say something! lakini hakuna kitu
Mzee Es said:Mzee I am lost na tatizo lako,
Katika kulinganisha hizo issue, kuna maneno umeyaruka ambayo ndio muhimu,
(1). kwenye issue ya nyumba ya Mkapa nimesema nimeongea na kijana wake ambaye tayari yuko kwenye hiyo nyumba, na ni baada ya kuongea na ndugu zake ndio nikampigia simu huyo kijana kule SA, sasa kama unaamini au huamni hiyo ni juu yako na ndipo tunaposema wewe sema unalotaka, sisi sio wajinga tutajua ukweli na uongo uko wapi, lakini as far as hii forum is concerned huo ndio ushahidi wangu on the issue,
nowing kwamba wewe huna ushahidi kuwa ile nyumba ya Lushoto ni ya Mkapa? Na kwamba ile nyumba ya Sea View nayo pia ni yake je unao ushahidi?
Na hizi nyumba mpya zinazojengwa Ilala ni zake? Na ile ya Msasani ni yake? Na zile ghorofa za kupangisha pale Msasani ni zake?
Na kwamba toka tupate uhuru, hakuna kiongozi aliyewahi kuiba maana hatujawahi kuona ushahidi as ushahidi?
(2). Kwenye issue ya Kibelloh, nilitegemea angalau mtu mmoja atasema kuwa kulikuwa na picha mlangoni ukiingia ofisini, sasa hazipo? hiyo peke yake inatosha kama kianzio, lakini hakuna,
Sasa ninaomba unieleze tatizo lako hapo juu ni nini? Sikukimbiii nipo bro ninakusubiri! Halafu useme hiyo Doublestandard iko wapi?
Mzee Es said:Mwalimu alipomuita Lowassa kuwa ni mlarushwa na mwizi, je alitoa ushahidi? Tunapoambiwa kila siku kuwa Lowassa ni mlarushwa na mwizi, ni nani ambaye amewahi kutoa ushahidi?
Toka tupate uhuru, tumeambiwa viongozi wangapi kuwa ni wezi, wana mahela mpaka majumba ndani ya nchi yetu, je ni wakati gani tuliwahi kuonyeshwa ushahidi? Tukapewa adress ya nyumba? Na mji zilizoko hizo nyumba?
Warioba anpowatukana viongozi wa baada ya Mwalimu kuwa ni wala rushwa na wezi ana maana gani? Alishawahi kututolea ushahidi?
Mzee Es said:...kama una data mwaga hapa, kumwita kiongozi mwizi bila ya kuwa na data angalau moja ndio unafiki wenyewe!
Mzee Es said:Kwenye issue ya Mkapa ninasema kwamba, nimeongea na watoto wake ndio ushahidi wangu, sasa kama huutaki that is another case na sitakukatalia,
Je wewe una ushahidi wa angalau kuongea na Kibelloh kuhusu yeye kuiba picha?
Kama Mkapa ana hela za mshahara mpaka kujenga majumba yote hayo tunayosikia anayo, mbona usjibu kule mwanzoni? Na kama ni kweli now kama unavyosema kuwa mshahara wake unatosha kuwa na majumba na mali zote alizonazo, mbona usiweke as hoja iliyosimama?
Bado sielewi tatizo lako kijana? Umeingilia mpaka mambo ya kazi, kazi yako au yangu hapa inahusiana na nini?
Mzee Es said:Man hivi for once unaweza kuongelea issue yako ya raisi kwenda Real? Kwanza wananchi wengi wamekataa kuwa sio dhambi rais wetu kwenda Real, halafu wawili wameenda mpaka kusema kuwa huenda tumeishiwa issues kama inabidi tujadili rais kwenda Real,
Na mimi nikaongeza kwamba it a none issue, wewe umeniona mimi tu wengine hukuwaona kuwashambulia, great! Sikuogopi anyway!,
Now lets talk about Rais kwenda Real your issue, ambayo mimi ninaungana na wengine huko nyuma kusema ni none issue, halafu mimi sina tabia ya kurudisha maneno ili niweke yangu wewe talk about rais kwenda Real at least for once?
Mzee Es said:Nimesema sikuogopi anyway, kwa sababu nimeiona your bullying tactic ya kunishambulia kila kona,
kuhusu neno heshima nalo ninaliona sana baadhi yenu mkilirusha kwangu, unajua nitakuwa ni mwenda wazimu kuingia forum kwa jina la bandia, kwenye forum ambayo watu asilimia 99.9 (kuacha Moshi na JJ) huingia kwa majina ya bandia, nikategemea kwenda kupata heshima, that is funny!