Mkuu sasa hapo tushike lipi au ndio usanii at its best.....
Mambo ya flip flopping, only in JF!
mambo yote uliyoyasema mkuu kuwa Mkapa ameyafanya kwa Tanzania, hayana tofauti kubwa sana na Clinton aliyoyafanya US,
Masatu,
kwa nini usizungumze yaliyopo kichwani mwako?.. wewe unachotazama ni hisia zangu mimi sema kinachokukuna wewe.
Upeo finyu unaotokana na mipasho ni tusi la nguoni kwangu mimi! Na nafahamu unakotoka kwa hiyo don't even try!
Nakuomba yaishie hapa laa sivyo mjomba utakuwa unatafuta mengine!..Na kama hufahamu maana ya tusi la nguoni nipo radhi kukueleza pia maanake hakuna tafsiri yake ktk kamusi!
Simtishi mtu hapa ila najaribu turudi kukata ishu zilizopo ubaoni, pili naokuomba sana jaribu kukubali kukosolewa kwani haikupunguzii upeo wako.
Na inashangaza sana kwamba Kikwete anasema kuwa hawezi kumchunguza Mkapa. Kuna nini kinafichwa hapa? Ama na yeye anataka kunajisi Ikulu ili asichunguzwe na watakaompokea madaraka?
Naomba Ufafanuzi wana JF
Mchunguzeni Baregu Au Jenerali ; Tuone Kama Wako Smart Kiasi Cha Kujifanya Wao Ndio Wa Kuwaita Wenzao Mafisadi;nini Problem Kwa Sisi Watanzania,the Guy Is Out Of Office Since 2005...
practise What U Preach
,the Guy Is Out Of Office Since 2005 ,todate Tunashughulika Naye,mwizi,fisadi,mbabe Na Kadhalika.
practise What U Preach
.Nimemuona Mtu Hapa Anauliza Nani Keshampeleka Slaa Mahakamani,najiuliza Mbona Ulimwengu Na Baregu Hawaendi Mahakamani Nao Kumshitaki Chenkapa?
practise What U Preach
,wanapayuka tu,hoja tusikike tunatuhum Mkapa kwa ukubwa wake,then tupate nini kwa hilo?
practise What U Preach
Mkosaji mahala pake mahakamani
practise What U Preach
Mkosaji mahala pake mahakamani siyo Luninga,migazeti na midaharoni,
practise What U Preach
Watanzania wanasoma nini ktk mchezo huu wa usanii unatoka kwa wasomi kama Baregu!!!
practise What U Preach
Mchunguzeni Baregu Au Jenerali ; Tuone Kama Wako Smart Kiasi Cha Kujifanya Wao Ndio Wa Kuwaita Wenzao Mafisadi;nini Problem Kwa Sisi Watanzania,the Guy Is Out Of Office Since 2005 ,todate Tunashughulika Naye,mwizi,fisadi,mbabe Na Kadhalika. Nimemuona Mtu Hapa Anauliza Nani Keshampeleka Slaa Mahakamani,najiuliza Mbona Ulimwengu Na Baregu Hawaendi Mahakamani Nao Kumshitaki Chenkapa? Na Hawaulizwi ,wanapayuka tu,hoja tusikike tunatuhum Mkapa kwa ukubwa wake,then tupate nini kwa hilo? Mkosaji mahala pake mahakamani siyo Luninga,migazeti na midaharoni,Nyerere legacy yake haichambuliwi kwa Mkapa/ Kikwete daima,Watanzania wanasoma nini ktk mchezo huu wa usanii unatoka kwa wasomi kama Baregu!!! Ulimwengu huyo achalia mbali,ana msiba wake binafsi na Mkapa,Baregu atumabie kuhusu Zimbabwe,atueleze alivyomtenda Mrema 1995,asihadae watu kwa mfuniko wa uhuru wa kujieleza,Tumechoka Na Mvumo Usio Na Radha Ya Uwajibikaji.
practise What U Preach
ES,
Mimi sijamlinganisha Mkapa na Clinton bali wewe ndiye uliefanya hivyo! Nilichofanya mimi ni kuweka ur two contradictory statements na kuomba ufafanuzi ipi ni sahihi, or rather to be more precisely wapi ulikuwa unasema kweli na wapi ulikuwa husemi kweli.
Mimi swali ninalojiuliza ni kwa nini Rais Mkapa ajibu hizi tuhuma mabazo zimekuwa zikizungumziwa kwa muda mrefu sasa juu yake.Rais Mkapa hajui ya kuwa kuendelea kuruhusu watu wazungumzie kuhusu jambo fulani kwa muda mrefu bila ya kupata habari toka upande wa pili itafika sehemu wataamini kile wanachoambiwa.