Makanisa na Misikiti vinatuangusha sana kwenye suala la ufisadi na rushwa. Ukatoliki wa siku hizi hata muumini wa kawaida anapewa nafasi kuhutubia kanisani kwenye ibada!!
Sasa ulitaka makanisa na misikiti wafanyeje wakati unajua kabisa kuna amri ya kumsamehe aliyekukosea hata mara saba sabini
Wild, unataka mpaka aje kutubu kwako ndio uamini ametubu,Mungu akisha msamehe mtu hakuna mwanadamu wa kupinga. Maana kwenye Biblia anasema hivi HAYA NJOONI TUSEMEZANE ASEMA BWANA DHAMBI ZENU ZIJAPO KUWA NYEKUNDU KAMA BENDERA ZITAKUWA NYEUPE KAMA SUFU, ZIJAPOKUWA NYEKUNDU KAMA DAMU ZITAKUWA NYEUPE KAMA THELUJI.How far are u sure kwamba Che Nkapa haja tubu kwa Mungu wake. Sasa asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe!!!!!Anasemehewa aliyekiri na KUTUBU. Mkapa, pamoja na yote yanayosemwa, hajakiri wala kukanusha hadharani.
Wild, unataka mpaka aje kutubu kwako ndio uamini ametubu,Mungu akisha msamehe mtu hakuna mwanadamu wa kupinga. Maana kwenye Biblia anasema hivi HAYA NJOONI TUSEMEZANE ASEMA BWANA DHAMBI ZENU ZIJAPO KUWA NYEKUNDU KAMA BENDERA ZITAKUWA NYEUPE KAMA SUFU, ZIJAPOKUWA NYEKUNDU KAMA DAMU ZITAKUWA NYEUPE KAMA THELUJI.How far are u sure kwamba Che Nkapa haja tubu kwa Mungu wake. Sasa asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe!!!!!

Anasemehewa aliyekiri na KUTUBU. Mkapa, pamoja na yote yanayosemwa, hajakiri wala kukanusha hadharani.
Uumini wa kweli ama si wakweli ni kati ya mungu na yeye , siyo bubu au mimi tunaoweza kumtenganisha na mungu
Hiyo sisi hauituhusu whether una dini, huna hiyo ni ya kwako .... la kwetu sisi ni malizetu ulizotuibia RUDISHA!!!!! WENYEWE TUNAZITAKA
Jamani mnataka ku monopolise mpaka dini mwenyewe kasema yeye na dini nyie hamtaki tu.. Its too much now