Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

jamani msirushe majina tu.. hebu tufocus kidogo.

Wakati IPTL inasainiwa:

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani aliyetia sahihi makubaliano kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu Mkuu wa Wizara husika

Wakati Songas inasainiwa

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani aliyetia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu Mkuu wa Wizara Husika
Wakati Tanesco inawekwa chini ya uongozi wa wageni

Wakati Shirika la Simu limegwa na kupewa mameneja wa nje

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani aliyetia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu Mkuu wa Wizara Husika
Wakati Dawasco inapewa wageni

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Maji
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani aliyetia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu Mkuu wa wizara husika

Wakati mikataba mikubwa ya Madini inasainiwa

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati na Madini
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani aliyetia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu mkuu wa wizara husika

Wakati ATC inapewa wageni waiendeshe

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani alitia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara
: Katibu Mkuu wa wizara husika

Wakati Rada inanunuliwa

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha
: Nani alikuwa Rais
: Nani alitia sahihi kwa niaba ya serikali/wizara
: Katiba Mkuu wa wizara husika

Wakati Richomond inapewa tenda ya majenereta

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje - Bi. Asha Rose Migiro
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati - Dr. Ibrahim Msabaha
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu - Johnson Mwanyika
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha - Shamim Khan
: Nani alikuwa Rais - Jakaya Kikwete
: Nani alitia sahihi kwa niaba ya serikali/Wizara -
: Katibu Mkuu wa wizara husika
 
Wakati Tanesco inawekwa chini ya uongozi wa wageni

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje -- Jakaya Kikwete
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati -- Maokola-Majogo
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu--Andrew Chenge
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha -- Basil Mramba
: Nani alitia sahihi kwa niaba ya serikali/wizara: ?? PS Nishati:Rutabanzibwa

Wakati Rada inanunuliwa

: Nani alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje -- Jakaya Kikwete
: Nani alikuwa Waziri wa Nishati -- Maokola Majogo
: Nani alikuwa Mwanasheria Mkuu -- Andrew Chenge
: Nani alikuwa Waziri wa Fedha -- Basil Mramba
: Nani alikuwa Rais -- Ben Mkapa
: Nani alitia sahihi kwa niaba ya serikali/wizara: ?? PS Salim Msoma
 
Pengine ni "Makatibu Wakuu" wa wizara husika ndio huwa wana wajibu mkubwa zaidi katika kuainisha mikataba hii; hata kuliko waziri mwenyewe, au sio?
MKJJ, you are proving to be a methodical and very systematic inquirer. This is the way to go ili kumfunga paka kengele. Nilikuwa na wasix2 jana kumsoma Mzee Esso; na kukukosa wewe. Nilianza kuwa na mashaka kuwa labda ndio umekwishanyamazishwa! I wish there were ten (10) of your likes in this JF thing. Wala Rushwa wangeanza kuwa na matumbo moto.
 
Kalamu kuwa tena wewe ongezeka maana usitake kukaa mbali na kuangalia ila kuwa mshughulikaji .
 
Kalamu, sijui kwa nini nilisahau hao.. then tuongeze hao pia. Mtu unapojenga hoja, hoja hiyo lazima iweze kusimama kwa miguu yake. Kuna hoja iko kichwani mwangu na ninaitafutia miguu!!
 
mwanakijiji hii ni nzuri sana na tunakuhaidi ushirikiano wote unaotakiwa,

sasa wakati wa mkataba wa IPTL(walio sign MOU) wahusika walikuwa hawa

Rais alikuwa ALLY HASSAN MWINYI
Waziri wa mipango alikuwa HORACE KOLIMBA
waziri wa nishati na madini JAKAYA MRISHO KIKWETE
waziri wa fedha KIGHOMA MALIMA??(NOT SURE)
mwanasheria mkuu ANDREW CHENGE
katibu ofisi ya rais(Uchumi) JUMA NGASONGWA
katibu wizara ya nishati RUTABANZIBWA
katibu wa wizara ya fedha RAPHAEL MOLLEL
director tanesco SIMON MHAVILLE
commision for energy ESTHER MASUNZU
 
Raphael Mollel aliwahi kuwa Katibu Mkuu wizara ya Nishati. Kabla yake naamini alikuwa Dr.Jonas Kipokola.
 
MKJJ

Wasiliana na WorM alikuwa na kopi ya mkataba mmojawapo ambao alisema atatuma kwa members waliokuwa wanataka kuuona. Ukishindwa niletee PM nitakupa zaidi kwa hili.

Hawa wezi lazima tuwasafishe na turudishe heshima ya nchi.
 
mwanakijiji hii ni nzuri sana na tunakuhaidi ushirikiano wote unaotakiwa,

sasa wakati wa mkataba wa IPTL(walio sign MOU) wahusika walikuwa hawa

Rais alikuwa ALLY HASSAN MWINYI
Waziri wa mipango alikuwa HORACE KOLIMBA
waziri wa nishati na madini JAKAYA MRISHO KIKWETE
waziri wa fedha KIGHOMA MALIMA??(NOT SURE)
mwanasheria mkuu ANDREW CHENGE
katibu ofisi ya rais(Uchumi) JUMA NGASONGWA
katibu wizara ya nishati RUTABANZIBWA
katibu wa wizara ya fedha RAPHAEL MOLLEL
director tanesco SIMON MHAVILLE
commision for energy ESTHER MASUNZU

Wakati huo fedha kama sio MALIMA basi JK.
 
very good, very good.. jamani jaribu kujaza hizo blank zote, maana something very interesting is emerging.... nimepitia barua fulani ya WB na nimeona Waziri Daniel Yona kuhusu ununuzi wa rada amesema hivi kwenye MoU na WB "For safety reasons, we have acquired a new radar system to strengthen air traffic control in Tanzania; as the system will also be used for military purposes, we were unable to finance it through bilateral or multilateral aid. We nonetheless were able to obtain bank and supplier financing of US$35 million on concessional terms that comply with the performance criterion on external borrowing. lakini cha kushangaza barua ilisainiwa tarehe 18 Julai, 2000. Tatizo ni kuwa, leseni ya kupewa rada hiyo ilipitishwa 20 Disemba 2001!!!
 
Mwanakijiji,

Kuhusiana na Rada, kama Claire Short anasema Mkapa hakuhusika na Mkapa alimwambia kuwa alipoingia madarakani mkataba ulikuwa umekamilika, basi Rada ilinunuliw wakati wa Mwinyi ila delivery ikafanyika wakati wa Himaya ya MKapa 2002!

Lets go back to before Mkapa became president and if we could find who really initiated the deal!
 
Reverend, that is exactly what I'm trying to find out and create a logical timeline. So, kama ilikuwa ni chini ya Mwinyi, ununuzi wa rada ulikuwa chini ya Wizara gani ya fedha, ya mawasiliano na uchukuzi, ya Ulinzi, ofisi ya Rais au ni ipi?
 
Ulinzi huenda alikuwa Juma Kapuya...na najua for a FACT kuwa JWTZ ilihusika hivyo ni lazima Ulinzi ilihusika.
 
Yebo Yebo, hiyo bold statement, unajua for a "fact" kuwa JWTZ ilihusika? at what level? maana hata miye najua just by logical deduction kuwa kama hii rada ni ya matumizi ya kijeshi (according to Daniel Yona) bila ya shaka JWTZ ilihusika; au una maana ya kuhusika zaidi ya kutoa mapendekezo au mahitaji yao?
 
Mbona ni walewale tu? Halafu eti mnategemea mabadiliko! Kunyweni bia na whisky zenu mkalale! Na kwa wanaoweza makasheshe ya siasa waingie ulingoni wapambane! Mi nashughulikia mlo wangu wa kila siku, mchango wangu kwa taifa ni kusomesha watoto wachache yatima kwa pesa ninazopata kwa jasho langu! Na tena wala si kwa kutaka kupigwa picha kwenye magazeti ili nionekane mwema saan; au kuanzisha NGO ili nipate wafadhili! Lah hasha bali ni kutoa ni kutoa kwa moyo mkunjufu na wala si kwa utajiri. Na hao wachache nitaowasaidia watanikumbuka na kunishukuru kila mmoja kwa imani yake, na kwa moyo wake. Na wala si kwa kuonekana kwenye vichwa vya habari vya magazeti na luninga!

Si lazima uwe mbunge au mwanasiasa ili kuleta mabadiliko katika jamii ya Watanzania hawa masikini!
 
Nina maana walihusika zaidi ya logical...sina documents za ushahidi za kukupa lakini hilo najua kwa uhakika. Wakati huo mkuu wa jwtz alikuwa Gen Waitara na ulinzi alikuwa Prof P. Sarungi.
 
Mbona ni walewale tu? Halafu eti mnategemea mabadiliko! Kunyweni bia na whisky zenu mkalale! Na kwa wanaoweza makasheshe ya siasa waingie ulingoni wapambane! Mi nashughulikia mlo wangu wa kila siku, mchango wangu kwa taifa ni kusomesha watoto wachache yatima kwa pesa ninazopata kwa jasho langu! Na tena wala si kwa kutaka kupigwa picha kwenye magazeti ili nionekane mwema saan; au kuanzisha NGO ili nipate wafadhili! Lah hasha bali ni kutoa ni kutoa kwa moyo mkunjufu na wala si kwa utajiri. Na hao wachache nitaowasaidia watanikumbuka na kunishukuru kila mmoja kwa imani yake, na kwa moyo wake. Na wala si kwa kuonekana kwenye vichwa vya habari vya magazeti na luninga!

Si lazima uwe mbunge au mwanasiasa ili kuleta mabadiliko katika jamii ya Watanzania hawa masikini!

Masaki

Nakubalina na wewe. Huo ni mfano wa kuigwa..hongera sana.
 
Back
Top Bottom