Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
misingi ya majibu ya maswali uliotoa si ya kweli na pia si msingi wa dini ya kikristo ambapo tunategemea biblia itoe majibu na sio mawazo ya mtu. mfano ukisoma warumi 5:12 inaonyesha kua kila mwanadamu ameathiriwa na dhambi ya adam na hawa kwa sisi wote tuna dhambi kwa hio ukilinganisha na Ezekiel 18:4 inaonyesha roho ya mwanadamu hufa lakini pia angalia mhubiri 3:19-21 utaona wazi kua kama roho ya mnyama inavyokufa na haijulikani ilipo ndivyo ilivyo ya binadamu.uyhibitisho mwingine: baada ya adam kuumbwa kwa mavumbi alipuliziwa pumzi ya uhai lakni baada ya kufa aliambiwa utarudi mavumbini. hakuambiwa roho yako itaenda eneo fulani kwa hio yeye na roho yake vingerudi katika hali ya kutokuwako kama mwanzo kabla hajaumbwa. nawasilisha hoja karibuni
 
Mkuu mshana hivi kwa mfano wale watumwa waliokua wanalawitiwa, kunyongwa au kupewa manyanyaso ya karne na karne roho zao zinakuaje aisee?
Watalipa matendo hayo kadiri ya imani na uhalisia wao na matendo yao
 
misingi ya majibu ya maswali uliotoa si ya kweli na pia si msingi wa dini ya kikristo ambapo tunategemea biblia itoe majibu na sio mawazo ya mtu. mfano ukisoma warumi 5:12 inaonyesha kua kila mwanadamu ameathiriwa na dhambi ya adam na hawa kwa sisi wote tuna dhambi kwa hio ukilinganisha na Ezekiel 18:4 inaonyesha roho ya mwanadamu hufa lakini pia angalia mhubiri 3:19-21 utaona wazi kua kama roho ya mnyama inavyokufa na haijulikani ilipo ndivyo ilivyo ya binadamu.uyhibitisho mwingine: baada ya adam kuumbwa kwa mavumbi alipuliziwa pumzi ya uhai lakni baada ya kufa aliambiwa utarudi mavumbini. hakuambiwa roho yako itaenda eneo fulani kwa hio yeye na roho yake vingerudi katika hali ya kutokuwako kama mwanzo kabla hajaumbwa. nawasilisha hoja karibuni
Mungu wangu roho haifi wewe kwakuwa haikuzaliwa roho ni energy na tafsiri ya energy ni kwamba it can neither be created nor destroyed ndio maana baada ya Mwenyezi Mungu kumuumba mwanadamu wa kwanza 'alimpulizia' pumzi ya uhai na sio kwamba aliumba hiyo pumzi
Mimi sitaweza kukuita muongo bali nitasema hujui na umepotoka
 
Elimu ya kibinaadam utoka kwenye mawazo ni sheeeedah.
 
Mungu wangu roho haifi wewe kwakuwa haikuzaliwa roho ni energy na tafsiri ya energy ni kwamba it can neither be created nor destroyed ndio maana baada ya Mwenyezi Mungu kumuumba mwanadamu wa kwanza 'alimpulizia' pumzi ya uhai na sio kwamba aliumba hiyo pumzi
Mimi sitaweza kukuita muongo bali nitasema hujui na umepotoka
ni kweli kua energy cannot be created nor created lakini jambo la msingi ujue kwamba sote tuliikuta energy ikiwa tayari ipo kwa hio through spirituality belief tunasema iliumbwa na haikujitokeza yenyewe.ok swali la msingi naomba nikuulize energy ya umeme mfano unaoingia katka chombo chochote na kukitendesha ukikatika hua unaenda wapi? na hio pumzi ya uhai Kama ni kitu ambacho in fact hakina uhai why kiende kuishi eneo lingine? la msingi wakati mwingine biblia hutumia neno kufa kumaanisha kutokuwapo
 
Mkuu unajichanganya sana, juu umesema majini hutengenezwa na wachawi la...la...la (kitu ambacho ni uongo mtupu)

Hapa unasema jini kaubwa kwa moto...la ...la ...la (kuna ukweli mwingi hapa)

Huoni maandiko yako yanapingana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ni kweli kua energy cannot be created nor created lakini jambo la msingi ujue kwamba sote tuliikuta energy ikiwa tayari ipo kwa hio through spirituality belief tunasema iliumbwa na haikujitokeza yenyewe.ok swali la msingi naomba nikuulize energy ya umeme mfano unaoingia katka chombo chochote na kukitendesha ukikatika hua unaenda wapi? na hio pumzi ya uhai Kama ni kitu ambacho in fact hakina uhai why kiende kuishi eneo lingine? la msingi wakati mwingine biblia hutumia neno kufa kumaanisha kutokuwapo
Tofauti ni kwamba energy ya umeme ni ubunifu wa kibinadamu
 
mshana roho ni nguvu ya uhai wala haiwezi kuteseka. nguvu hiyo ipo kwa binadamu na wanyama. ikitoka wao hufa na kuwa mavumbi.

mhubiri 3: 19-22 linasema

” 19Mwisho wa binadamu na mwisho wa mnyama ni uleule. Jinsi anavyokufa binadamu ndivyo anavyokufa mnyama. Wote hupumua namna ileile; binadamu si bora kuliko mnyama. Kwao yote ni bure kabisa. 20Wote hufa na kwenda mahali pamoja. Wote wametoka mavumbini; na wote watarudi mavumbini, 21Nani ajuaye, basi, kama kweli roho ya mtu hupaa juu, na roho ya mnyama hudidimia chini ardhini? 22Ndipo nikatambua kwamba hakuna jambo lililo bora zaidi kwa binadamu kufanya kuliko kufurahia kazi yake, kwa sababu amepangiwa hivyo. Nani awezaye kumjulisha binadamu yale yatakayokuwa baada ya kufa kwake?
 
Red Giant Biblia iko so tricky inabidi kuisoma na kuielewa hasa na ni lazima kufanya ulinganifu wa vifungu kuweza kupata maana kamili
-kuna mateso makubwa sana mtenda dhambi au mtu asiye mkamilifu anayopata mwili unapoachana na roho... hiyo hali inaitwa HARI za kifo
-binadamu ni tofauti na mnyama, binadamu ana utashi mnyama ni hayawani
-mnyama ilitamkwa na akawa bali binadamu aliumbwa na kupuliziwa pumzi ya uzima/pumzi ya kimungu
-binadamu kapewa kuwatawala wanyama na vyote vilivyomo duniani
Kuhusu roho inapokwenda baada ya kifo ingia hapa reincarnation na rebirth ni kitu kilekile
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
Is just illusion if is necessary truth put facts if is contingent truth reason please huwezi kuniaminisha kizembe zembe hivyo kwa hiyo kunahaja gani ya mungu kuja mara ya pili ROHO HUFA ILA ANAPOKUJA MARA YA PILI HUZIFUFUA Siyo Uongo please Soma vitabu acha Uongo
 
....mkuu mshana jr unataka kujibiwa kwa muktadha upi ? Wa kiroho ? au wa kisayansi..? anyway twende na kiroho. Swali lako ni rahisi sana kama utalitazama katika mtazamo Wa kiroho tena kama mkristo.

Sisi tunaamini Mara baada ya kufa kila roho inakwenda mahali pa kusubiri hukumu ya mwisho. Kama sikosei mahali hapo panaitwa toharani kwa wwale wakiokufa ktk dhambi. Wataendelea kupata mateso kama kiu n.k. na wale wakiokufa ktk bwana watakwenda mahali pazuri huku wakisubiri kuingia mji wa ahadi ambao Yesu anawaandalia.

Kumbuka habari ya Lazaro na yule tajiri. Tajiri Mara baada ya kufa dhambini alimuona Lazaro amabaye alikuwa masikini akiwa ubavuni mwa Yesu na yeye ukiwa kwenye mateso akamuomba angalau maji ya kunywa tone moja kupoza kiu yàke. ....
Tunataka source Siyo unamezesha sumu watu nothing you described
 
Is just illusion if is necessary truth put facts if is contingent truth reason please huwezi kuniaminisha kizembe zembe hivyo kwa hiyo kunahaja gani ya mungu kuja mara ya pili ROHO HUFA ILA ANAPOKUJA MARA YA PILI HUZIFUFUA Siyo Uongo please Soma vitabu acha Uongo
Aisee...ukiamka rudia kusoma ulichoandika kwakuwa alfajiri mavune ya usingizi bado yanakuwa hayajatoka vizuri
Kumbuka kuna kujiandikia tu halafu kuna kuandika ili kilete maana...kwa hapa wewe umejiandikia tu
 
hii mada inaongelewa wafu, ninavyojua mimi binadamu akipoteza uhai (mfu) basi hana uwezo wowote ule na kwa namna yoyote ile kuwasiliana na binadamu alie hai. Nachotaka kujua ni msingi wa utafiti wako uliota ndotoni au wewe ni yule tuliekuwa tunamtazamia na sasa umekuja 'kidigital'
Safi Sana kijana anaongea kama vile yeye kashakufa kaona halafu kafufuka ndiyo akaja kutuelezea
 
Aisee...ukiamka rudia kusoma ulichoandika kwakuwa alfajiri mavune ya usingizi bado yanakuwa hayajatoka vizuri
Kumbuka kuna kujiandikia tu halafu kuna kuandika ili kilete maana...kwa hapa wewe umejiandikia tu
Acha kukurupuka changia KWA hoja Mimi ni mtu mzima Nafahamu nilichokiandika usidhanie ratiba zako zinaingiliana na wengine ondoa induction problem if not possible try to relieve
 
Nakushauri tena punguza mihemko utachemsha mapema sana hapa...hivi unadhani ukisema unafahamu ulichoandika ndio inakuwa kweli? Kiuhalisia hujui ulichoandika
 
Red Giant Biblia iko so tricky inabidi kuisoma na kuielewa hasa na ni lazima kufanya ulinganifu wa vifungu kuweza kupata maana kamili
-kuna mateso makubwa sana mtenda dhambi au mtu asiye mkamilifu anayopata mwili unapoachana na roho... hiyo hali inaitwa HARI za kifo
-binadamu ni tofauti na mnyama, binadamu ana utashi mnyama ni hayawani
-mnyama ilitamkwa na akawa bali binadamu aliumbwa na kupuliziwa pumzi ya uzima/pumzi ya kimungu
-binadamu kapewa kuwatawala wanyama na vyote vilivyomo duniani
Kuhusu roho inapokwenda baada ya kifo ingia hapa reincarnation na rebirth ni kitu kilekile
Yaani maneno yako yanadhihirisha hakuna umaana wa mungu kuja mara ya pili KWA kuna umaana gani Kama akifa anaingia kwenye mateso moja KWA moja
 
Back
Top Bottom