Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Yaani maneno yako yanadhihirisha hakuna umaana wa mungu kuja mara ya pili KWA kuna umaana gani Kama akifa anaingia kwenye mateso moja KWA moja
Una tatizo moja kubwa na limejidhihiri haraka sana hauko settled kabisa na unakimbilia kujibu bila kutafakari
 
Si utoe fact Siyo unarely on dogma without proof
Fuata ushauri wangu kwanza tafadhali ...kama uko kwenye rush hour nakushauri tena tafuta muda ambao utakuwa umetulia ndio urudi hapa kwenye mjadala
 
Fuata ushauri wangu kwanza tafadhali ...kama uko kwenye rush hour nakushauri tena tafuta muda ambao utakuwa umetulia ndio urudi hapa kwenye mjadala
Kwa hiyo hivyo ndiyo ulifundishwa kutoa ushauri Haya Soma kitabu kinaitwa mark Finley tujifunze pamoja ACHA MAMBO YA KUKARIRI MIHEMKO MARA HUJUI ULICHOKIANDIKA badala ubase kwenye logic of acute reasoning unaanza kupayuka ili tu umkatishe dhamira ya Yule aliyeuliza
 
Kwa hiyo hivyo ndiyo ulifundishwa kutoa ushauri Haya Soma kitabu kinaitwa mark Finley tujifunze pamoja ACHA MAMBO YA KUKARIRI MIHEMKO MARA HUJUI ULICHOKIANDIKA badala ubase kwenye logic of acute reasoning unaanza kupayuka ili tu umkatishe dhamira ya Yule aliyeuliza
Bado hujatulia hivi unadhani kama hicho kitabu umesoma wewe basi kila mtu anacho? Pengine unaweza kuwa na point (nasisitiza neno pengine) lakini kifikra na muktadha wa mijadala kama hii bado hauko settled
Kama sio ID mpya (itajulikana tuu) wewe ni member mgeni kwa maana ya kuanza kuchangia mada mbalimbali....ila kumbuka huku sio MMU wala CHITCHAT ambako mijadala yake ni rahisi kueleweka na kila mtu
Uko chini ya post 100 kwahiyo nikikutwanga maswali yangu unaweza kuchanganyikiwa ndio maana bado nakuasa upunguze mihemko
 
Soma Qur'an ina majibu kwa hayo:

Dear brother Sardar,

As-salam alaykum

I have already responded to you regarding this question where I shared;

"Barzakh mentioned in 23:100 is a transitory state and a barrier between death and resurrection. The soul enters this dormant transitory state where all concept of time is lost. This is 'barzakh'. See how this term is also used to describe a barrier between two waters (25:53 and 55:20). Similarly, barzakh will be a barrier between death and resurrection."

Finally, may I kindly and respectfully ask that you do not repeat the same questions on different threads. Thank you for your kind consideration.

Regards,
Joseph

Source: What is Barzaq?
Well said only truth..thanks for sharing
 
Qur'an 17:85

17_85.png
Sahih International
And they ask you, [O Muhammad], about the soul. Say, "The soul is of the affair of my Lord. And mankind have not been given of knowledge except a little."
​
Only truth thanks for sharing faiza
 
Kwa muktadha wako uko sahihi lakini kwa uhalisia pepo na jehanam tuko nazo hapahapa duniani..... Tunazungumzia kiama sio (kiyama) ambacho kitu ambacho ni cha kufikirika zaidi na hatujui itakuja lini?
Maswali kama hayo eti lini kiama ?itakuwaje tufe na mifupa iwe mchanga halafu tufufukiwe?itakuwaje kwa wale ambao waliliwa na samaki au simba?itakuwaje wale walioungua moto ?yameshaulizwa sana ktk karne nyingi na ktk zama zilizopita saa hivi ni marudio tu hakuna kipya.lkn elewa ewe binaadam hayo yoyote ameshayajibu ktk kitabu lkn KUTOKA na na uhaba wa elimu tulionao watu wa karne hizi kwani kuuliza uliza saana ni maujinga
 
Mkuu mimi nahisi labda kwa kuwa kila mwanadamu mmoja anapokufa basi mwingine huzaliwa.... Hivyo basi ile roho ya mtu anayekufa huenda huenda kwa mwanadamu mwingine anaye zaliwa. Mkuu hujawahi sikia mtu anapo sifiwa kwa jambo fulani akaambiwa da! Yani kwa kweli huyu mtu ana roho nzuri kama ya marehemu babu yake..... Au huja wahi sikia mtu anayekashifiwa kwa jambo fulani akaambiwa da! Yani huyu mtu ni mshenzi wa kupindukia ndio maana anaroho mbaya kama ya marehem baba yake.
 
Mkuu mimi nahisi labda kwa kuwa kila mwanadamu mmoja anapokufa basi mwingine huzaliwa.... Hivyo basi ile roho ya mtu anayekufa huenda huenda kwa mwanadamu mwingine anaye zaliwa. Mkuu hujawahi sikia mtu anapo sifiwa kwa jambo fulani akaambiwa da! Yani kwa kweli huyu mtu ana roho nzuri kama ya marehemu babu yake..... Au huja wahi sikia mtu anayekashifiwa kwa jambo fulani akaambiwa da! Yani huyu mtu ni mshenzi wa kupindukia ndio maana anaroho mbaya kama ya marehem baba yake.
reincarnation na rebirth ni kitu kilekile ingia hapa tafadhali
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
Roho ni nini?
Je, umejiridhishaje na utafiti wako, yaani umeprove vipi juu ya hizo fact zako?
 
Labda uziweke hizo facts hapa tujadiliane kwa pamoja kwa faida ya wote lakini vile vile Rudia tena kusoma kuhusu dhana za pepo jehanam na mapepo na mifano ya maisha niliyotoa leo utagundua kuwa sipingani katu na Bible takatifu
Mshana jr. Wakati mwingine ukipata nataka kujua kuhusu uwezo wa malaika waovu mapepo kuzaa na binadamu.. nikirejea maandiko katika biblia kuhusu Wanefili. "Pale wana wa Mungu walipoona mabinti za wanadamu kuwa ni wazuri wakaingia kwao na kuzaa nao". Je hili limekaaje? Though its out of topic
 
Back
Top Bottom