Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mshana jr. Wakati mwingine ukipata nataka kujua kuhusu uwezo wa malaika waovu mapepo kuzaa na binadamu.. nikirejea maandiko katika biblia kuhusu Wanefili. "Pale wana wa Mungu walipoona mabinti za wanadamu kuwa ni wazuri wakaingia kwao na kuzaa nao". Je hili limekaaje? Though its out of topic
Vyote ni uumbaji na mipaka iliyopo kati yetu ni kimwili tu kiroho wote ni wamoja kuna wema na wabaya
 
Mshana ina maana roho hutafuta mwili mwingine kivipi apo manake uumbaji katika biology tunaona ni muunganiko wa sperm na ovary embu fafanua kidogo
 
Mshana ina maana roho hutafuta mwili mwingine kivipi apo manake uumbaji katika biology tunaona ni muunganiko wa sperm na ovary embu fafanua kidogo
Mambo ya kiroho ni tofauti kabisa na ya kimwili ama kisayansi
 
Lakini mtoto anapozaliwa hua ni roho mpya au ndo ile ilo kua inatangatanga imepata mwili ndo swali hapo
 
Lakini mtoto anapozaliwa hua ni roho mpya au ndo ile ilo kua inatangatanga imepata mwili ndo swali hapo
Kwa mujibu wa reincarnation ni roho ya zamani kwenye mwili mpya
 
May be ndo maana mtoto wanasema huyu ana tabia kama za babu yake au fulan katika familia haaah
 
....mkuu mshana jr unataka kujibiwa kwa muktadha upi ? Wa kiroho ? au wa kisayansi..? anyway twende na kiroho. Swali lako ni rahisi sana kama utalitazama katika mtazamo Wa kiroho tena kama mkristo.

Sisi tunaamini Mara baada ya kufa kila roho inakwenda mahali pa kusubiri hukumu ya mwisho. Kama sikosei mahali hapo panaitwa toharani kwa wwale wakiokufa ktk dhambi. Wataendelea kupata mateso kama kiu n.k. na wale wakiokufa ktk bwana watakwenda mahali pazuri huku wakisubiri kuingia mji wa ahadi ambao Yesu anawaandalia.

Kumbuka habari ya Lazaro na yule tajiri. Tajiri Mara baada ya kufa dhambini alimuona Lazaro amabaye alikuwa masikini akiwa ubavuni mwa Yesu na yeye ukiwa kwenye mateso akamuomba angalau maji ya kunywa tone moja kupoza kiu yàke. ....
Duuh askofu pengo kaingia chaka
 
May be ndo maana mtoto wanasema huyu ana tabia kama za babu yake au fulan katika familia haaah
Na mm napata kitu,huwa najiuliza ni vp mtoto akiwa tumboni (wakati wa ulezi wa mimba) ukimsemesha anakuskia na vivyo hvyo akishazaliwa ukijaribu kuongea nae anakuwa km anakuskiliza hv ila kujibu ndio hawezi
 
Jamni tusikae kudanganya watu humu mambo ya roho ya mwanadamu yamewekwa wazi kidogo tu mengine Mungu kayaficha na kidogo aloweka mtu hutolewa roho kuanzia miguu kupanda juu ikifka kifuani mkubwa mwenyewe ndo huja kuimalzia Zrail, huyu mtoa roho ana wasaidiz wake ambao wao ndio huanza hawa wasaidiz wamegawanyika wapo ambao hutoa roho za watu wabaya kwanguvu na ambao hutoa roho za watu wema kwa taratbu, Roho inapofika kifuani kwenye mitulinga ya mabega ndipo mwanadamu anajua hapa nafariki tu na wakat mtu anatolewa roho tayari anajua wapo anaelekea kama ni motoni au peponi. Ndomana watu walotenda maovu hupapalika wakat wa kufa wengine huacha hadi vinyesi wengne hudondoka chini kwa kutapatapa kwa machungu na joto la kiu analosikia wakat ule. Roho ikishatolewa husindikizwa na.malaika huelea nayo uko mbinguni na kuifanyia mambo yanayotakiwa lakin haijawekwa wazi ni mambo gani. Hakuna roho inayotolewa kisha ikarudi duniani na kusumbua watu hakuna hata 1 ukifa umekufa kamwe hurudi duniani laiti watu wagekuwa wanarud roho zao tungepata ukwel wa uko hali ilvyo. Roho anazosema mshana zinasumbua watu hao ni mashetani ambao wana uwezo wa kuingia kwenye mwili wa binadamu kwa tundu zake zilizo wazi ....hata yule ambae anachukuliwa mzukule yule anaish hajafa na huja kutilewa roho yake uko uko kwa wachawi so hakuna roho inayosumbua watu. Kuna maelezo kuwa roho ikishapelekwa uko mbinguni kisha inarudishwa kaburini na maelezo mengine roho hizo zinakaa kwa kutengwa roho za watu wabaya kwake na watu wema kwake uko mbinguni zikisubiri adhabu zao na walio chuma mema watapata haki yao...na wao hawajion kama wamekaa sana kama sisi tunavyoona kuna watu wamekufa zamn...siku ya kiyama wao wataona kama wamekaa sku kadhaa tu...kwa walio wema lakin.....

ila haya mambo ya roho kiukwel yana changanya muhimu husitumie akil yako kueleza ambacho unahisi mwisho utapata dhambi na kukufuru na ukija kufa utolewe roho yako kwa nguvu had huache kinyesi hakuna kitu kibaya kama kumsingizia mwenyez mungu....

kama hujui sio lazma huseme hakuna mwenye 100% anayejua mambo ya roho.
 
Mimi nna hamu ya kufa ili nipate majibu ya maswali yangu kibao
 
Mimi nna hamu ya kufa ili nipate majibu ya maswali yangu kibao
Nimesikia watu wana hamu lakini hamu yako wewe ni mfano wa kuigwa.

Tafuta mawasiliano na Israel mtoa roho ukimbipu yeye fasta anakupigia huwa harembi n then ukirudi utupe majibu ya maswali yako mkuu.
 
Nimesikia watu wana hamu lakini hamu yako wewe ni mfano wa kuigwa.

Tafuta mawasiliano na Israel mtoa roho ukimbipu yeye fasta anakupigia huwa harembi n then ukirudi utupe majibu ya maswali yako mkuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimesikia watu wana hamu lakini hamu yako wewe ni mfano wa kuigwa.

Tafuta mawasiliano na Israel mtoa roho ukimbipu yeye fasta anakupigia huwa harembi n then ukirudi utupe majibu ya maswali yako mkuu.
Nipe namba nim-beep sitanii mkuu siogopi kufa kabisa kuliko unavyofikiri ila nnachoogopa ni kifo cha mda mrefu/mateso kama kuugua mda mrefu kuungua moto nk lakin ile state of death siogopi kabisa if una njia ya sudden death show me
 
Mmh hapa ni sawa na kusema huogopi kufanya mtihani lakini unaogopa maswali magumu
 
Duh [emoji41]
Gefu ni sahihi kabisa kitu ni hichocho bali kwa maelezo mengine hasa kulingana na imani ya kikristo. Nenda pale Muhimbili wodi ya Sewa Haji wale wagonjwa wa kinywa na koo wanatamani kunywa lakini tone moja kupita kooni ni ishu! Unajua haya mambo tunaishi nayo ni kwa kuwa tu tumezingwa na changamoto za kidunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....mkuu mshana jr unataka kujibiwa kwa muktadha upi ? Wa kiroho ? au wa kisayansi..? anyway twende na kiroho. Swali lako ni rahisi sana kama utalitazama katika mtazamo Wa kiroho tena kama mkristo.

Sisi tunaamini Mara baada ya kufa kila roho inakwenda mahali pa kusubiri hukumu ya mwisho. Kama sikosei mahali hapo panaitwa toharani kwa wwale wakiokufa ktk dhambi. Wataendelea kupata mateso kama kiu n.k. na wale wakiokufa ktk bwana watakwenda mahali pazuri huku wakisubiri kuingia mji wa ahadi ambao Yesu anawaandalia.

Kumbuka habari ya Lazaro na yule tajiri. Tajiri Mara baada ya kufa dhambini alimuona Lazaro amabaye alikuwa masikini akiwa ubavuni mwa Yesu na yeye ukiwa kwenye mateso akamuomba angalau maji ya kunywa tone moja kupoza kiu yàke. ....
mshana alitoa mada kwa watu wote wa dini zote akiwakumbusha roho hazifi kamwe
 
Ufunuo 9

Malaika wa tano akapiga baragumu, nami nikapanda nyota kutoka mbinguni iliyoanguka juu ya nchi; moshi ukapanda kutoka shimoni, kama moshi wa tanuru kubwa; na jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya moshi wa shimo. Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaja juu ya nchi; nao wakapewa uwezo, kama vile nge wa nchi walivyo na uwezo. Wakaambiwa wasiharibu majani ya nchi, wala majani wala mti wowote. ila ni wale tu ambao hawana muhuri wa Bwana kwenye vipaji vya nyuso zao
 
Samaeli kashuka
 
Back
Top Bottom