Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Jini ni jina la Kiswahili lililotokana na jina la
Kiarabu "Jin".
Majini ni viumbe wanaosadikika kuishi katika
mazingira ya kila aina; pia baadhi ya watu wanaamini majini ni viumbe wenye uwezo mkubwa wa kufanya vitu tofautitofauti, pia wenye uwezo wa kujibadilisha kuwa katika hali waipendayo.
Kwa asilimia kubwa wenye imani ya uwepo wa mijini wanasema kuwa ni viumbe wasioweza kuonekana, hivyo imekuwa vigumu kupata uthibitisho wa moja kwa moja kuhusiana na viumbe hao.
Imani hiyo ilitangulia mwanzo wa Uislamu ikaingia dini hiyo na kwa njia hiyo kuenea katika nchi mbalimbali.
Kadiri yake majini waliumbwa na Mungu kwa kutumia moto na wakiwa wa jinsia mbili.
Ukristo haupatani na imani hiyo.
Lakini kuna madhehebu ya kikristo uamini uwepo wa majini na majini ni sawa na mashetani sema wenye kufuata mila za kiarabu.
Katika uislamu uamini kuwa kuna majini wazuri na majini wabaya kwa maana ya madhala yao katika maisha ya mwanadamu na waislamu wengine ufuga majini hao katika nyumba zao au miili yao na kuwafanya viumbe hawa kama wasaidizi au walinzi wa maisha yao kwa wale ambao uamini ni majini wazuri lakini wengine utumia majini waitwao wabaya kuharibu na kutesa maisha ya watu wengine kwa kuwatuma kuwaingia miilini na kuleta magonjwa, kuharibu kazi au biashara ya mtu na hata familia.
Lakini wakristo uamini kuwa hakuna jini mzuri bali wote ni wabaya na wao na mashetani ni sawa hivyo ni adui wa mkristo yeyote yule kama alivyo Shetani. Wakristo wamekuwa wakifanya maombi kwa watu ambao wanateswa na majini hawa ili kuwafungua kutoka katika nguvu zao za uovu, majini katika ukristo ni sawa na mapepo ambao Bwana Yesu (mwanzilishi wa ukristo) aliwatoa miilini mwa watu na kuwapa mamlaka na uwezo wanafunzi wake (wafuasi wake ambao ni wakristo leo) kuwatoa pia.
Umetoa historia ndefu ya majini kutokana na yanavyofanya kazi kufuatana na imani mbalimbali lakini umeshindwa kabisa kusema jini ni ninini bila kujali lugha na tamaduni
Naomba sasa nikusaidie kwa neno moja rahisi kabisa jini ni ROHO
 
ⓗⓐⓣⓐ ⓜⓣⓤ ⓜⓦⓔⓝⓨⓔ ⓤⓣⓘⓝⓓⓘⓞ ⓦⓐ ⓤⓑⓞⓝⓖⓞ ⓗⓐⓦⓔⓩⓘ ⓚⓤⓙⓘⓑⓤ ⓗⓘⓥⓨⓞ
 
kwani mkuu humu jf kuna namna ya kupiga hela kupitia group?naomba unieleweshe kwa hili
Unaanzisha group halafu kila anayetaka kuwa mwanachama Analipa ada ya kuingilia
Halafu kunakuwa na ada za masomo lakini Vilevile mtu akiwa na ishu private analipia huo muda[emoji23]
 
ⓗⓐⓣⓐ ⓜⓣⓤ ⓜⓦⓔⓝⓨⓔ ⓤⓣⓘⓝⓓⓘⓞ ⓦⓐ ⓤⓑⓞⓝⓖⓞ ⓗⓐⓦⓔⓩⓘ ⓚⓤⓙⓘⓑⓤ ⓗⓘⓥⓨⓞ
Ok mwenye mtindio wa ubongo angejibuje?
Nilikuuliza maana ya jini ukaniletea historia ndeefu
 
Unaanzisha group halafu kila anayetaka kuwa mwanachama Analipa ada ya kuingilia
Halafu kunakuwa na ada za masomo lakini Vilevile mtu akiwa na ishu private analipia huo muda[emoji23]
shukrani sana mkuu,sikuwa nalijua hilo hapo kabla,hakika nazidi kukuheshimu mshana jr kwa kuwa muungwana,huna dharau hata kwa sisi watumiaji wapya wa fj, unajibu vema kihekima ,sante sana chief
 
Shukrani [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ⓗⓐⓣⓐ ⓜⓣⓤ ⓜⓦⓔⓝⓨⓔ ⓤⓣⓘⓝⓓⓘⓞ ⓦⓐ ⓤⓑⓞⓝⓖⓞ ⓗⓐⓦⓔⓩⓘ ⓚⓤⓙⓘⓑⓤ ⓗⓘⓥⓨⓞ
1472884762306.jpg
 
Jini ni jina la Kiswahili lililotokana na jina la
Kiarabu "Jin".
Majini ni viumbe wanaosadikika kuishi katika
mazingira ya kila aina; pia baadhi ya watu wanaamini majini ni viumbe wenye uwezo mkubwa wa kufanya vitu tofautitofauti, pia wenye uwezo wa kujibadilisha kuwa katika hali waipendayo.
Kwa asilimia kubwa wenye imani ya uwepo wa mijini wanasema kuwa ni viumbe wasioweza kuonekana, hivyo imekuwa vigumu kupata uthibitisho wa moja kwa moja kuhusiana na viumbe hao.
Imani hiyo ilitangulia mwanzo wa Uislamu ikaingia dini hiyo na kwa njia hiyo kuenea katika nchi mbalimbali.
Kadiri yake majini waliumbwa na Mungu kwa kutumia moto na wakiwa wa jinsia mbili.
Ukristo haupatani na imani hiyo.
Lakini kuna madhehebu ya kikristo uamini uwepo wa majini na majini ni sawa na mashetani sema wenye kufuata mila za kiarabu.
Katika uislamu uamini kuwa kuna majini wazuri na majini wabaya kwa maana ya madhala yao katika maisha ya mwanadamu na waislamu wengine ufuga majini hao katika nyumba zao au miili yao na kuwafanya viumbe hawa kama wasaidizi au walinzi wa maisha yao kwa wale ambao uamini ni majini wazuri lakini wengine utumia majini waitwao wabaya kuharibu na kutesa maisha ya watu wengine kwa kuwatuma kuwaingia miilini na kuleta magonjwa, kuharibu kazi au biashara ya mtu na hata familia.
Lakini wakristo uamini kuwa hakuna jini mzuri bali wote ni wabaya na wao na mashetani ni sawa hivyo ni adui wa mkristo yeyote yule kama alivyo Shetani. Wakristo wamekuwa wakifanya maombi kwa watu ambao wanateswa na majini hawa ili kuwafungua kutoka katika nguvu zao za uovu, majini katika ukristo ni sawa na mapepo ambao Bwana Yesu (mwanzilishi wa ukristo) aliwatoa miilini mwa watu na kuwapa mamlaka na uwezo wanafunzi wake (wafuasi wake ambao ni wakristo leo) kuwatoa pia.
Mkuu unajichanganya sana, juu umesema majini hutengenezwa na wachawi la...la...la (kitu ambacho ni uongo mtupu)

Hapa unasema jini kaubwa kwa moto...la ...la ...la (kuna ukweli mwingi hapa)

Huoni maandiko yako yanapingana.
 
Kuna jambo lina nistaajabisha nikikutana na mtu ambae ni mgeni huwa nahisi kama lishawahi kukutana nae na wengine si watanzania ni RAIA wa inje hiyo inasababishwa na nn?

Au nilishakufa roho yangu ipo katika mwili mwingine?
sio peke yako tu ndugu hata mm kuna sehemu unaisi ushawahi kufika lakini upati kumbukumbu
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.

Ungeweka source ingekuwa Poa sana kaka
 
Nimekusoma vizur mshana
 
Mkuu mshana hivi kwa mfano wale watumwa waliokua wanalawitiwa, kunyongwa au kupewa manyanyaso ya karne na karne roho zao zinakuaje aisee?
 
Back
Top Bottom