Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

Uzalendo wako una mashaka makubwa sana......na inaonyesha upo kwenye "circles" za ulaji/ufisadi.....kwa sababu zifuatazo

  1. Umekuwa na taarifa ya upuuzi wa muajiri wako.....na umekuwa kimya hadi habari imewekwa hapa JF....Uzalendo unaodai uko wapi....
  2. Umeonyesha wazi kuwa maslahi yako binafsi kwanza pamoja na upuuzi wote huo wa huyo Mkandarasi wako
  3. Umeonyesha kukubalina na Poor Performance ya Mkandarasi wako unayemdai.....ulitegemea mpewe muda gani ili muweze kukamilisha kambi yenu
  4. Umeonyesha kutokuwa na upeo wa kuona HOJA YA MSINGI ya mleta mada...na kuanza kumu-attack pasipo kuwa na sababu yeyote ya msingi
  5. Hukuonyesha kwa namna yeyote ya kihoja kuelezea/kulaani/kukataa upuuzi uliotokea

Kufanyika kwa due diligence...taarifa kamili na za uhakika zinatakiwa awe nazo Client na vyombo vinavyotoa udhamini na si vinginevyo.......

The fact of the matter ni kuwa Mkandarasi amekuwa terminated....na madudu mengine yanafumuka....ikiwemo ya udhamini....kwa jinsi ulivyojibu hoja za mleta mada...nachelea kusema knowledge yako kwenye hayo mambo bado sana........

Back to the hoja ya msingi ya Mada
Kufuatia upuuzi kama huu CEO wa TANROADS inabidi aachie ngazi pamoja na maofisa husika kwa upuuzi wote huu....ifike mahala tusioneane huruma......that is where I miss "Fagio la chuma"......

Kuna jamaa yangu anawajua hawa - huyu contractor alianza kusuasua tangu aanze nasikia alipewa warning kibao kupitia kwa consultant supervisor sasa ilipoonekana hawezi wakaanza kuandaa taratibu za kumfukuza na ni hatari sana kumfukuza contractor hovyo hovyo inatakiwa kuwa makini ili kumfukuza, so delay huenda TANROADS walijiandaa vyema kabla!
 
Wakuu hapo juu...ni vizuri mkafafanua kuhusu hiyo "Advance Payment (AP)"......neno "lazima" litumike kwa uangalifu kidogo.......kwa sababu "lazima" ina conditions zake kwenye hili suala.....

Kwanza, kabisa ni lazima iwe (AP) stated kwenye Mkataba/Contract i.e. Appendix to Tender and kama Contractor anahitaji AP (maana sio Contractors wote wanataka AP) ni lazima awakilishe Advance Payment Guarantee (APG).

Pili, ieleweke kuwa AP is an interest free mobilization loan from the employer (excluding provisional sums)

Tatu, and in short Mkandarasi hatalipwa/pewa Advance Payment endapo:
  1. Hataomba kulingana na relevant sub-clause (in this case 14.3 FIDIC red book)
  2. Hata wakilisha Performance Security kulingana na relevant sub-clause (in this case 4.2 FIDIC red book)
  3. Hata wakilisha APG kulingana na relevant sub-clause (in this case 14.2 FIDIC red book)

Items hizo tatu hapo juu ni mandatory kabla ya kuidhinishwa by the Engineer kwa AP.......

Inasemekana alilipwa AP baada ya kukidhi vigezo vyote na hasa guarantee yake ya Barclays Bank ya Uingereza, napata taarifa kwa one of mhusika ktk mradi huo na kujaribu kupata Ukweli ili kuondoa atmosphere potoshi!
 
Kuna jamaa yangu anawajua hawa - huyu contractor alianza kusuasua tangu aanze nasikia alipewa warning kibao kupitia kwa consultant supervisor sasa ilipoonekana hawezi wakaanza kuandaa taratibu za kumfukuza na ni hatari sana kumfukuza contractor hovyo hovyo inatakiwa kuwa makini ili kumfukuza, so delay huenda TANROADS walijiandaa vyema kabla!

My concern ni kwamba jamaa alipewa mradi pasipo kua na sifa. Na kuna watu walimsaidia kuidanganya serikali. Kwanza hatua za kumterminate zilichelewa sana maana alishaonyesha kukiuka mkataba kwa mda mrefu. Pili hatua zilipoanza kutaka kuchukuliwa , wakati serikali inataka kujiridhisha kwanza kwa bank guarantee iliyowasilishwa hapo ndipo ikaambiwa bank hsimjui huyo mtu. Mbaya zaidi taarifa zikamfikia fasta huyu jamaa maana ana watu wake tanroads ndo hapo alipokimbia fasta.
 
Inasemekana alilipwa AP baada ya kukidhi vigezo vyote na hasa guarantee yake ya Barclays Bank ya Uingereza, napata taarifa kwa one of mhusika ktk mradi huo na kujaribu kupata Ukweli ili kuondoa atmosphere potoshi!

Watakuja watu na mambo mengi ilimradi kujaribu kuficha aibu ya hili swala. Nadhani mwenyekiti wa kamati inayoisimamia hii wizara mh serukamba au wazir kimvuli wa hii wizara naomba waulize swala hili then watusaidie kuweka vitu wazi. Ila nasisitiza point ya msingi ni kwamba hii kampuni haikuwa kujenga hata mita 5 za changarawe.
 
Mkuu ngoja tusubiri na wengine wenye data Ukweli utajurikana tu!
 
Nadhani mleta mada hajafanya utafiti wa kina kujua kama hizo hela zimeliwa au la,kuna mambo ambayo contactor before apewe tenda anatakiwa afanye na pia kabla hajapewa advance kuna insurance anatakiwa awe nazo,sasa inakuwaje vitu kama hivyo visilipe hilo deni?i think haujadunguka vya kutosha get some more meats urudi hapa

try to read between lines, we ushaambiwa huo ni mpango mzima wa kupiga hela na pia kuna uwezekano hata magufuli na ye kala chake, yaani akili ambazo zinatumika kutuibia kama zingetumiwa kubuni miradi ya maendeleo tungefika mbali sana, hii nchi inatia huruma sana sijui tumelaaniwa na nani?
 
Nijuavyo mimi, contractor anapewa advance payment baada ya kuleta advance payment guarantee kutoka bank ambayo ina the same value na advance payment atakayopewa. Kama ikitokea akishindwa kufanya kazi, hyo advance payment guarantee inakuwa forfeited na bank wanarudisha pesa. Pia miradi mikubwa kama hyo lazima contractor alete performance guarantee na ikitokea akishindwa kufanya kazi inakuwa forfeited. Kama hizi zote hazikufanyika, hapo ndo tatizo linakoanzia na kutakuwa na uzembe
 
Nachelea kusema kama Magufuli angekuwa kapata ulaji iweje amfukuze? Angemwacha akaboronga tu ! Kumfukuza unampa fursa aseme wote wapiga dili but kibaya zaidi inasemekana mitambo yake mingi imekamatwa wanasema mpaka benki guarantee - labda wenye data zaidi wamwage hapa ili nishawishike kuwalaumu watendaji wa Serikali !
 
kuna jamaa kasema performance guarantee tayari forteited na Barclays Bank ya Uingereza watarudisha sasa sijui yupi ni mkweli bado nina giza hapa!
 
Hapa hakuna lolote,3b tu unahangaika kuandika yoote haya,watu wanapiga 200b,we unatolea macho hivi vijisenti.
 
Nijuavyo mimi, contractor anapewa advance payment baada ya kuleta advance payment guarantee kutoka bank ambayo ina the same value na advance payment atakayopewa. Kama ikitokea akishindwa kufanya kazi, hyo advance payment guarantee inakuwa forfeited na bank wanarudisha pesa. Pia miradi mikubwa kama hyo lazima contractor alete performance guarantee na ikitokea akishindwa kufanya kazi inakuwa forfeited. Kama hizi zote hazikufanyika, hapo ndo tatizo linakoanzia na kutakuwa na uzembe

Kama utakua umesoma vizur post yote, michango ya wanajamvi na majibu yangu hivi vitu tumeshavijaribu. Vyote hivyo vilisubmitiwa vitu fake.
 
Nachelea kusema kama Magufuli angekuwa kapata ulaji iweje amfukuze? Angemwacha akaboronga tu ! Kumfukuza unampa fursa aseme wote wapiga dili but kibaya zaidi inasemekana mitambo yake mingi imekamatwa wanasema mpaka benki guarantee - labda wenye data zaidi wamwage hapa ili nishawishike kuwalaumu watendaji wa Serikali !

point well taken comrade
 
Mimi ktj hoja ya msingi sijamlaumu magufuli kwa maana huenda hajui kuhusu yaliyo nyuma ya pazia. 1.Hoja ni kwamba kampuni haukuwa na sifa 2. Kampuni ilifoji hivyo vitu vyote bank guarantee na security bond, wa tz kueni waelewa na kujikita ktk maeneo muhimu ya mada.
1. Ningependa kuona watu wanajadili je kampuni ilikua na sifa au laa... kama haikuwa na sifa kwa nin ilipewa? Kwanini watumishi wa serikali walioenda hizo ncha za malawi na south sudan waliidanganya serikali.

2. Je bank guarantee na performance security ni genuine? Maana kwa uhakika hizi zote jaman zilikuwa zimefojiwa au kwa lugha ya kitaa zote zilikuwa magumashi. Ila kwa kuwa waliozikagua ndio hao hao waliodanganya wakakaa kimyaa.
 
Walitakiwa kuconfirm hyo advance payment guarantee kabla hawajalipa

Ndo hivyo ndugu, watu walikaa kimya maana kila kitu walikuwa wanajua. Jamani embu jisumbueni tu hata kuigoogle hii kampuni utagundua mambo mengi ya kujiuliza.
 
point well taken comrade

Jamaa amefukuzwa automatikali baada ya site kuwa dormant kwa zaidi ya 14 days, wakati huo jamaa alishakimbia. Jamaa amekimbia toka january site haioperate. Termination later imekuja tarehe 18 mwezi wa pili wakat jamaa keshakula kona mda. Lakin kwa kusema hiv simaanisha kwambaagufuli amekula kitu no kwa mtazamo wangu naona magufuli hausiki ktk uzembe huu.
 
ukiwaambia wafanye uchunguzi na hasa kutumia kamati ya bunge, watasema....hizo pesa zilizolipwa si zetu ni za wafadhili...kama vile EPA na sasa ESCROW...!

hiyo ndiyo Chukua Chako Mapema.

Tutaona mengi sana kuelekea uchaguzi 2015.
 
Na wewe unajichanganya ile mbaya. Unajifanya kuandika kama third party lakini siku za mwizi wala siyo arobaini. Mfano hapo chini

Hapo kwenye red una maana kuwa wewe ni mmoja wa wahusika kwenye hiyo kampuni.

Ni nani huwa anajenga camp? Wewe? Kama nani?

cc. SUMLEY

Mbona sikuelewi au mimi najichanganya - jamaa si kasema alikua anafanya kazi na strada? Au ni technical attack mkuu!
 
Back
Top Bottom