Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

Kuna jamaa namfahamu ambaye ndio aliowaleta Strada Tanzania toka uingereza kama local Partner,alizunguka hizo nchi zote kuwahonga maafisa husika,ili wajumbe wa TANROADS wakienda waambiwe kweli strada walifanya hizo kazi. Pia TANROADS pia walikatiwa sehemu ya hizo pesa, kama milioni mia saba hivi.
 
Back
Top Bottom