Epason
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 448
- 38
Mimi ni mdau wa hii barabara katika majukumu yetu ya kuja chimbo.
Utafikiri ni barabara inayoenda kwenye kiwanda cha gongo badala ya kwenda kwenye machimbo ya madini yanayo patikana Tanzania tu ya Tanzanite.
Nibora haya madini yangekuwa kwa Obama , Kenya au Nchi yoyote makini na rasilimali zake.
Barabara ya lami inaishia uwanja wa KIA .Uwanja ni wa muhimu lakini hata Tanzanite inatakiwa kutendewa haki sanjari na rasilimali zingine za nchi.
Tunaweza kufurahia rasilimali ya nchi hii kumbe ni kwa manufaa ya wachache wa nchi hii na wageni pia. Gesi na mengineyo yatakuwa mfano pia.