Mkandarasi achota 3bn advance akimbia! Alipewa kujenga km 26 za lami wakati hana ujuzi wowote...

Phnom Penh City

News

Capital Hall

Business

Visitors & Tourism

ខ្មែរ-

English-

Français-

Monday, 09-Jun-2014--12:53-GMT+7

CapitalGovernor's NewsCouncil NewsAnnouncementsInternational CooperationExecutive Projects

Emergency Numbers

117-Police /-666-Fire /-119-Ambulance-
See all emergency & useful numbers

Share this !

More Sharing ServicesGo to|Share on facebookShare on twitterShare on emailShare on print

Distances to Other Provinces

* Property Tax Map in Phnom Penh

Last Updated 5-09-2013-at 03:18

Weather Forecast

Th

Temp

33 °C

Fr

32 °C

Sa

32 °C

Humidity

84%

Wind

SW at 4 mph

* Monthly Citizen Statistic (June '13)

Exchange Rates

-1-USD-= 4060.00-KHR

-1-EUR-= 5541.0068-KHR

-1-AUD-= 3790.2131-KHR

-1-GBP-= 6823.5811-KHR

http://www.nbc.org.kh

City Map

H1N1 Information

012 488 981/ 012 836 868 Hotline

>-Contact us>-Download Khmer unicode>-Idea box

HomeNewsExecutive Projects

7th January Flyover (Pet Lok Sang Intersection) Project - Completed

Friday, 06 Jan 2012 09:31

***-The ground breaking ceremony on December 29, 2010-presided over by-Samdech Akkha Moha Sena Padie Techo HUN SEN, Prime Minister of the Kingdom of Cambodia and Lok Chum Teav Dr.

Officially opened for public access on 6th of January 2012

Project Information

-

Project-៖-7th January Flyover-(Pet Lok Sang Intersection)Site Location-៖ Khan Toul Kork and Khan Sen Sok, Phnom PenhProject Owner-៖ Phnom Penh Capital Hall

Contractor-៖ Oversea Cambodian Investment Company (OCIC)Specification of the Flyover-៖ This flyover, located along Russian Blvd. connected to Kampuchea Krom Blvd., a concrete type, with 1.08m both sides handle, to be constructed with a park under the bridge.Safety Speed-៖ 55 km/hConstruction Period-៖ 13 monthsBudget-៖ 8.705.808 UDS///--About the Bridge along Russian Blvd.345m long and 15.2m width2 ways traffic, 2 lanes to come and 2 lanes to go separated by a concrete dividerSlope of 5.7%9 columns, space from one to another is 20m and 30mSafety height under the bridge at the intersection of Road 598, Street 271 and Russian Blvd. is 5.5m///--About the Bridge along Kampuchea Krom Blvd.160m long and 6.5m widthOne way traffic from the bridge to Kampuchea Krom Blvd. which consists of 1 lane for motorbikes and 1 lane for vehicles.Slope 5.7%9 columns, space from one to another is 20m and 30m9 columns, space from one to another is 20m and 30m

The Results of the Project up to December 16, 2011: accomplished 98%:

-

Site office installation :-100%Drainage installation along both sides of the road-: 100%Road expansion work both sides of the flyover: 100%Concrete piling of 600mm and 300m x 300mm​: 100%Basement work for flyover's columns-: 16/16 completed: 100%Concrete columns-: 16/16 completed: 100%Concrete pavement covered on the flyover-: 100%Pavement work, bridge handles, electricity pole-: 95%Pavement work, electricity pole, park, traffic sign and mark-: 95%

Project Activities (December 2011)

Project Activities (September 2011)

Hii project nayo Strada wameiweka kwamba wameifanya wao kuanzia mwaka 2010.
Ntarudi baadae kumalizia project mbili walizodai wamezifanya malawi then tuweze kuchambua hao walioenda malawi kufanya due delligence hawakuyaona haya? We need to be serious watanzania.
 
Mimi ktj hoja ya msingi sijamlaumu magufuli kwa maana huenda hajui kuhusu yaliyo nyuma ya pazia. 1.Hoja ni kwamba kampuni haukuwa na sifa 2. Kampuni ilifoji hivyo vitu vyote bank guarantee na security bond, wa tz kueni waelewa na kujikita ktk maeneo muhimu ya mada.
1. Ningependa kuona watu wanajadili je kampuni ilikua na sifa au laa... kama haikuwa na sifa kwa nin ilipewa? Kwanini watumishi wa serikali walioenda hizo ncha za malawi na south sudan waliidanganya serikali.

2. Je bank guarantee na performance security ni genuine? Maana kwa uhakika hizi zote jaman zilikuwa zimefojiwa au kwa lugha ya kitaa zote zilikuwa magumashi. Ila kwa kuwa waliozikagua ndio hao hao waliodanganya wakakaa kimyaa.

SUMLEY,
Hudhani kwamba taarifa hii imepikwa ili kupotosha ukweli? Maana Magufuli kasema huyu jamaa kafukuzwa. Wewe umesema jamaa kakimbia, mtaani tumeambiwa jamaa imebidi akimbie tu.

Taarifa kwamba bank guarantee ni feki, kwa vyovyote bahari hii imetolewa na serikali ili kutuaminisha sisi kwamba mkandarasi ndiye mwizi, na kwamba 'wamemfukuza' kwa ulaghai. Huenda bank guarantee ni genuine.
Kwanza, mkandarasi akighushi atashtakiwa, sio kufukuzwa. Ni pale tu serikali inapokuwa imehusika na wizi Mkandarasi anaweza kukwepa kushitakiwa au kukimbia nchi. Ni serikali tu imewezesha hujuma hii.

Hii mambo kwamba mkandarasi ametonywa ndio akakimbia ni uongo wa wazi-wazi.
Naamini mkandarasi ameshirikishwa kwenye wizi baadae, au pengine toka awali.
Ndugu wanaJF,

Waziri John Magufuli alipokuwa akisoma bajeti ya Wizara yake alisema contractor wa barabara ya kutoka KIA kwenda Mererani amefukuzwa kutokana na utendaji mbovu. Hakuendelea na detail yeyote ile kuhusu huo mradi, huenda hakutaka watu wajue zaidi au yeye mwenyewe hajui kilichotoekea.

<Some text ommited>

...Pamoja na kampuni ya usimamizi ya LEA kutoa vielelezo toka mwezi wa 10 kwamba Contractor hana uwezo wa kufanya kazi, aliendelea kulelewa mpaka mwezi January alipokimbia.

NINI KILITOKEA MPAKA STRADA IKAKIMBIA

Katika hali ya kusuasua alikokuonyesha, serikali ilianza kuichunguza hii kampuni kwa undani zaidi maana hata wale waliokuwa wamekula hela kwa kuipa kazi hii kampuni ilionekana wanashindwa kuibeba. Serikali ikagundua kumbe hata bank guarantee iliyowekwa ni feki! Hiyo bank ilikana kuijua hiyo kampuni hii na hapo ndipo serikali ilipochanganyikiwa maana mdhamini aliyewekwa ili kama mambo yakiwa sivyo yeye ndo alipe fidia haijui hiyo kampuni. Watu hao hao wa TANROADS waliokula dili hilo wakamshtua mteja wao kwamba serikali imeshtukia mchezo na jamaa akakimbia mpaka leo.

<Some text ommited>

KAULI SAHIHI

Ukweli ni kwamba mkandarasi Strada alikimbia mwenyewe na si serikali kumfukuza. Na amekimbia baada ya kuona ukweli kuhusu kampuni yake kufoji vitu umejulikana. Lakini wameondoka na faida kubwa na kuitia hasara serikali. Maana ktk 3bn, alizotumia Bongo hazifiki hata 1.5bn mpaka anaondoka.
Hizi habari zinazotoka serikalini siwezi kuziamini hata kidogo. Sorry SUMLEY.

6. Hasara kwa serikali (Upotshaji), Ukweli &#8211; Ukweli ni kuwa TANROADS imekamata 6 bulldozer, 7 tipper truck (kila moja ni tani kumi) zote hizi zimekamatwa bandarini Dar es Salaam zilikuwa zimeagizwa na Mkandarasi (kwa taarifa za ndani ni kuwa Kandarasi alitaka kuzitoroshea banadari ya Mombasa ili kukwepa msala) na mitambo mingine iliyokuwepo site. Na haya yote yamefanyika kwa mujibu wa mkataba.

8. Benki Guarantee: Kwa taarifa - Bank Gurantee ni genuine na tena ni ya benki ya Barclys ya Uingereza (British multinational banking) ambapo TANROADS wanadai hela yao kulingana na mkataba unavyosema. Hii ni kwa sababu Mkandarasi amemisbehave mkataba.

9.
Ukweli: mkandarasi hakukimbia mwenyewe bali amefukuzwa kwa mkataba kusitishwa mnamo tarehe 18.02.2014, ukiambiwa kitu changanya na zako usimeze kama dodoki.
Aidha Serikali katika banadari ya Dar es Salaam imekamata bulldozer 4 (mpya), tipper 10(mpya) za tani kumi kila moja na upande wa site ilikamatwa bulldozer 1, grader 2 (mpya), pick up 4, water bozzer 1, tipper 1 na Excavater 1

incorruptible a.k.a jjimmy.jjose,
Hatuna imani na wewe. Kwa mantiki hiyo wanajamvi, sehemu zote incorruptible alizoweka neno "ukweli", naomba isomeke "upotoshaji".
Huyu jamaa ni msemaji wa serikali akitaka kuonesha kwamba serikali haijapata hasara kwenye hili. Amefanya bidii kweli, ila lengo na uongo wake umedhihirika.

Ukweli wa mambo uko kwenye yale ambayo hayasemwi.
  • Mfano hapo juu imesemwa na SUMLEY "aliendelea kulelewa", kwanini alilelewa kwa kipindi kirefu kiasi hicho? Nani alikuwa amembeba?
  • Mfano mwingine ni pale Magufuli alipoeleza sababu ya mkandarasi 'kufukuzwa' kwamba ni "utendaji mbovu" bila kutoa ufafanuzi.
  • Mfano wa tatu ni kama alivyoeleza incorruptible hapo juu kwamba "mkandarasi ame-misbehave" bila kueleza kwa kina.

Wizi mtupu!
 
SUMLEY,
Hudhani kwamba taarifa hii imepikwa ili kupotosha ukweli? Maana Magufuli kasema huyu jamaa kafukuzwa. Wewe umesema jamaa kakimbia, mtaani tumeambiwa jamaa imebidi akimbie tu.

Taarifa kwamba bank guarantee ni feki, kwa vyovyote bahari hii imetolewa na serikali ili kutuaminisha sisi kwamba mkandarasi ndiye mwizi, na kwamba 'wamemfukuza' kwa ulaghai. Huenda bank guarantee ni genuine.
Kwanza, mkandarasi akighushi atashtakiwa, sio kufukuzwa. Ni pale tu serikali inapokuwa imehusika na wizi Mkandarasi anaweza kukwepa kushitakiwa au kukimbia nchi. Ni serikali tu imewezesha hujuma hii.

Hii mambo kwamba mkandarasi ametonywa ndio akakimbia ni uongo wa wazi-wazi.
Naamini mkandarasi ameshirikishwa kwenye wizi baadae, au pengine toka awali.

Hizi habari zinazotoka serikalini siwezi kuziamini hata kidogo. Sorry SUMLEY.

incorruptible a.k.a jjimmy.jjose,
Hatuna imani na wewe. Kwa mantiki hiyo wanajamvi, sehemu zote incorruptible alizoweka neno "ukweli", naomba isomeke "upotoshaji".
Huyu jamaa ni msemaji wa serikali akitaka kuonesha kwamba serikali haijapata hasara kwenye hili. Amefanya bidii kweli, ila lengo na uongo wake umedhihirika.

Ukweli wa mambo uko kwenye yale ambayo hayasemwi.
  • Mfano hapo juu imesemwa na SUMLEY "aliendelea kulelewa", kwanini alilelewa kwa kipindi kirefu kiasi hicho? Nani alikuwa amembeba?
  • Mfano mwingine ni pale Magufuli alipoeleza sababu ya mkandarasi 'kufukuzwa' kwamba ni "utendaji mbovu" bila kutoa ufafanuzi.
  • Mfano wa tatu ni kama alivyoeleza incorruptible hapo juu kwamba "mkandarasi ame-misbehave" bila kueleza kwa kina.

Wizi mtupu!

Okay nimekupa lazy dog. Hapa kuna vitu viwili ambavyo ni vema ukavielewa. Kuna watu wa tanroads walioshiriki toka awali katika udanganyifu huu yani katika hatua za procurement (yani waliotoa tender). Wao walichukua chao wakakaa pembeni, kwa mfano mkandarasi angeperform vizur haya yote yasingesemwa. Shida ilianza pale mkandarasi aliposhindwa kuperform, mhandisi mshauri anaandika report kila mwezi kuonyesha contractor hawezi kuperform kazi hiyo. Hizo report hazisomwi na watu wa procurement tena waliotoa tender, sasa ni idara nyingine na hiyo report zilikua copy zinatumwa tanroads arusha, tanroads manyara na head quarters. Na hata tanroads arusha na manyara ambao wapo site nao walishaona contractor kazi hawezi. Contractor alishaitwa kweny high level meeting ya tanroads zaid ya mara mbili. Aliitwa mara ya kwanza akapewa maadhimio afanye a be na che. Hakufanya hata a, akaitwa tena hkufanya kitu. Hapo ndipo tanroads wakaanza kufanya taratibu za kumfukuza, walipoanza kupitia hizo bank guarantee na performance security hapo ndipo wakakuta kila sehem jamaa atambuliki. Sasa hapa waliomsaidia kudanganya kumbeba tena ikawa ni ishu maana contractor anatakiwa afukuzwe. Hapo ndipo jamaa ilimbidi wamtonye contractor kwamba ishu ishabumbuluka maana kesi ya kufoji nyaraka ilikuwa inakuja, Jamaa ndo akakimbia. Jibu la msingi katika hoja ni kwamba, tanroads walikuwa wanaendelea na mchakato wa kumterminate contractor ingawa ulichelewa kuanza ingawa ni mda mrefu na ni kwa kiasi kikubwa contractor alionyesha kushindwa. Ila mwisho wa siku contractor alifukuzwa kutokana na site kuwa dormant kwa siku zaid ya 14 bila kutoa sababu za msingi. Hii huwa ni automatic termination kwa contractor maana inahatarisha moja kwa moja uhai wa project. Ndo maana mi nalia sana na procurement department ya tanroads, na kama hawa jamaa wataendelea kulindwa basi hapo serikali kupitia wizara husika nayo itakuwa inastahili lawama kwa kukumbatia ufisadi huu.
 
Kila nikisoma unachoandika, naendelea kuamini kwamba mwizi ni zaidi ya "procurement department".
Hii haitakuwa habari ya mwisho kusikia tukiambiwa na serikali "mkandarasi kashindwa kazi", kaghushi, kafilisika, n.k. Barabara ya Kwasadala - Masama nako mkandarasi alifukuzwa.
 
Ndugu madudu ni mengi, kuna barabara ya lindi ambayo nayo mkandarasi kafukuzwa mwaka jana. Alianza kazi 2010 kafukuzwa 2013, alipewa km 183 ambayo zilikua ni lots 3. Kwa kawaida hupewa wakandarasi 3 tofauti maana hizo zina kuwa ni project 3 katika barabara moja. Na kuthibitisha hilo hiyo kazi now wamepewa wakandarasi 3 tofauti. Unajua serikali ilishatoa sh ngapi? Na kwanini hakufukuzwa miaka yote mitatu wakati hata mobilization ilimshinda na mhandisi mshauri aliandika report kila mwezi zaidi ya miaka miwili, serikali ilikiwa wapi. Mpaka anafukuzwa hajafanya kazi ya zaid ya 10 percent kwa maana ktk miaka mitatu hajafanya km zaid ya 1 ya kujaza tu kifusi achilia rami.

Hili tuliache tutalijadili siku nyingine wenye hili dili la kia mererani wanaweza kututoa huku kutupeleka tujadili zaidi huko lindi.
 
Umesema jambo la msingi sana. Kampuni hii haingeshindwa kujenga 26km hata kidogo. Na fedha ambazo ingelipwa bado zingekuwa zinazunguka humuhumu. Lakini ndio hivyo nchi hii wazawa hawatakiwi kabisa kuendelezwa.

Sent from my iPad using JamiiForums
Sie kama nchi huwa hatuangalii mzunguuko wa ndani maana hata wanasiasa wetu wao wanachoangalia kwamba wawekezaji wakija wananchi watapata ajira tu wanasahau factor ndogondogo ambazo zinakuza uchumi wa nchi. Na uzuri kampuni hii ilishapewa kazi Mwanza na Dodoma zikafanyika katika kiwango cha kawaida na hata kama zinaupungufu bado wangesimamiwa kwa kiwango kikubwa. Check kwa mfano ela tunazopoteza kwenye usafiri wa anga watu wanapotaka kusafiri kwenda nje ya nchi hata humu humu Africa, hela nyingi tunalipa makampuni ya nje wakati kama tungekuwa na shirika la ndege la taifa linalofanya safari za nje za kutosha maana yake watumishi wa serikali na timu za taifa wanaposafiri nje ya nchi kikazi lazima watumie usafiri wa taifa katika nchi ambazo ndege inafika (maana yake hapa fedha inatoka idara hii inaingia idara hii lakini inazunguuka kwenye kampuni za ndani ya nchi)
 
Ndugu madudu ni mengi, kuna barabara ya lindi ambayo nayo mkandarasi kafukuzwa mwaka jana. Alianza kazi 2010 kafukuzwa 2013, alipewa km 183 ambayo zilikua ni lots 3. Kwa kawaida hupewa wakandarasi 3 tofauti maana hizo zina kuwa ni project 3 katika barabara moja. Na kuthibitisha hilo hiyo kazi now wamepewa wakandarasi 3 tofauti. Unajua serikali ilishatoa sh ngapi? Na kwanini hakufukuzwa miaka yote mitatu wakati hata mobilization ilimshinda na mhandisi mshauri aliandika report kila mwezi zaidi ya miaka miwili, serikali ilikiwa wapi. Mpaka anafukuzwa hajafanya kazi ya zaid ya 10 percent kwa maana ktk miaka mitatu hajafanya km zaid ya 1 ya kujaza tu kifusi achilia rami.

Hili tuliache tutalijadili siku nyingine wenye hili dili la kia mererani wanaweza kututoa huku kutupeleka tujadili zaidi huko lindi.
Unaweza kulia aisee na watu hawataki kukiri mapungufu simply becoz watajibomoa kisiasa na wanabaki kuanika achievement tu bungeni na ukihoji sana unaambiwa lete ushahidi badala ya serikali kufanya uchunguzi kwa yasemwayo, huwa najiuliza kwanini kwa mambo ambayo yanaonekana ni uzembe wa utendaji wa kazi za serikali watu wanaambiwa walete ushahidi wakati huku mtaani nikihisiwa mie ni jambazi au jangili faster serikali hiyo hiyo inaanza kufanya uchunguzi huku tayari nimeshakamatwa huku wakubwa tunaambiwa ufanyike uchunguzi ili wenye makosa wapelekwe mahakamani (au sheria ni tofauti kutokana na aina ya uhalifu pamoja na kwamba nchi ni moja?)
 
Sie kama nchi huwa hatuangalii mzunguuko wa ndani maana hata wanasiasa wetu wao wanachoangalia kwamba wawekezaji wakija wananchi watapata ajira tu wanasahau factor ndogondogo ambazo zinakuza uchumi wa nchi. Na uzuri kampuni hii ilishapewa kazi Mwanza na Dodoma zikafanyika katika kiwango cha kawaida na hata kama zinaupungufu bado wangesimamiwa kwa kiwango kikubwa. Check kwa mfano ela tunazopoteza kwenye usafiri wa anga watu wanapotaka kusafiri kwenda nje ya nchi hata humu humu Africa, hela nyingi tunalipa makampuni ya nje wakati kama tungekuwa na shirika la ndege la taifa linalofanya safari za nje za kutosha maana yake watumishi wa serikali na timu za taifa wanaposafiri nje ya nchi kikazi lazima watumie usafiri wa taifa katika nchi ambazo ndege inafika (maana yake hapa fedha inatoka idara hii inaingia idara hii lakini inazunguuka kwenye kampuni za ndani ya nchi)

Nikuhakikishie barabara za dodoma na mwanza amejenga nyanza. Kiwango alichoonyesha ni cha juu kiasi ambacho huwez fananisha na barabara zilizojengwa arusha mjini na wachina. Na ujue zote zilikua under TSCP. Sasa nikwambie kitu, wakat nyanza anaonekana kuwa most like kuwin project zote 2 za dodoma na mwanza. Ilibid wamkague kama je ana vifaa vya kuvigawa project zote 2 na kukidhi vifaa anavyotakiwa kuwa navyo kwa kila project. Wakaenda mwanza kweny yard ya nyanza, wakachukua project ya mwanza awaonyeshe vifaa vyake. Wakatiki kifaa kimoja baada ya kingine then wakaamia project ya dodoma wakatiki mpaka wakamaliza lakin unaambiwa bado vifaa vingine vilibaki. Jamaa wa world bank ambao ndo financer wakasita wakidhani yawezekana aliazima vifaa kwa kua ilikua ni siku ya inspection. Wakaomba card za vifaa kuthibitisha kama kweli ni vya kwake. Jamaa akawapa, kukawa hakuna swali jamaa akapewa miradi yote miwili ya dodoma na mwanza na ameshamaliza na kukabidhi.
 
Mzee wa Chato atakuja kuipinga hiyo kwa mbwembwe kama alivyofanya mwenzake wa Gas ya Mtwara...
 
Hawa Nyanza kazi zao nimeziona, walijenga barabara ambayo iliwaingiza kwenye ramani ya kutokea pale kona ya bwiru mpaka Bwiru pia juzi kati wamejenga barabara ya kutoka Buzuruga kwenda Pasiansi kama 10km kabla ya kupewa kazi Dodoma yaani kama ni mapungufu ni kidogo mno na wakati mwingine huenda yamesababishwa na walioandaa BOQ. Sometime kama kuna mtu ameweza kuthubutu ni vizuri kumpa kazi hasa hizi barabara ambazo hazizidi 50km kama sehemu ya kumkomaza maana mwisho wa siku atakuja kutubeba kwa kutengeneza barabara za kwenye halmashauri za manispaa ambazo hazina complication kuliko kuwapa watu wanakula wanasepa na barabara bado kimeo na ukilifuatilia kampuni lililojenga barabara unakuta nalo limepotea baada ya barabara kuisha
 
Sumley wewe inaonekana unadata nyingi. Kwa nini usiwaweke wazi hao watu wa procurement walioshiriki. Weka wazi ili takukuru ifanye kazi yake.
 
Mkuu mpaka hapa takukuru wanaitaji nini tena ili wafuatilie. Majina watayajua wakisha fika eneo la kazi.
 
Nadhani kama takukuru wanafanyia kazi maandiko ya huku jf then Tanroads PMU itasagishika karibuni. Kama si hivyo. Tuma taarifa rasmi kwa hosea na watoto wake tuone kama watafantia kazi. Je wabunge nao wananafasi ya kuliuliza hili?
 
Mbona sikuelewi au mimi najichanganya - jamaa si kasema alikua anafanya kazi na strada? Au ni technical attack mkuu!

Alikuwa anafanya kazi na Strada kivipi na kama nani? Alijifanya kuandika kama third party then sijui ulimi uliteleza kuandika "Ni kweli tulianza kujenga camp kwa asilimia 20 lakini haikumalizika tukafukuzwa"
 
Ndugu wanaJF,

Waziri John Magufuli alipokuwa akisoma bajeti ya Wizara yake alisema contractor wa barabara ya kutoka KIA kwenda Mererani amefukuzwa kutokana na utendaji mbovu. Hakuendelea na detail yeyote ile kuhusu huo mradi, huenda hakutaka watu wajue zaidi au yeye mwenyewe hajui kilichotoekea.

Ukweli ni huu:
Kampuni iliyopewa kazi ya kujenga hiyo barabara inaitwa Strada International iliyoonyesha ina Makao Makuu yake UK. Ukubwa wa mradi ulikuwa ni km 26 za kiwango cha lami na gharama za mradi jumla ni 26bn.

Contractor alipewa advance payment ya takribani 3bn (am not sure ila ni kati ya 2.5 mpaka 3.2). Baada ya kupewa hiyo pesa contractor huyu ambae asili yake ni singa singa hakufanya chochote toka mwezi wa 5 mwaka jana mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu. Zaidi alisafisha barabara mita 600 tu ambayo ni hatua ya mwanzo kabisa. Hata kujenga camp yake alishindwa, na mbaya zaidi hakuwa na vifaa vya kufanyia kazi. Alinunua grade 2 za kichina na hela hakumalizia kulipa. Mradi ulitakiwa kuwa na zaidi ya tipper 25 lakini alikuwa na tipa 2 za kukodi. Pamoja na kampuni ya usimamizi ya LEA kutoa vielelezo toka mwezi wa 10 kwamba Contractor hana uwezo wa kufanya kazi, aliendelea kulelewa mpaka mwezi January alipokimbia.

UFAKE WA KAMPUNI HII
Inashangaza kuona kampuni ya kigeni ambayo ni ya kisanii imepewa tenda ya kujenga km 26 za rami ambazo ni sh 26bn wakati kampuni hii haijawahi kujenga hata mita 5 za changarawe. Hii kampuni haijawah kufanya mradi wowote wa barabara, lakini walisubmit Company Profile iliyoomyesha wamejenga barabara Sudan, Ghana, Msumbiji, Ethiopia, Qatar, UK na Namibia. Kabla ya kupewa huu mradi kwa kuwa ni kampuni mpya tanroads huwa na utaratibu wa kujiridhisha kwa kupeleka wajumbe baadhi ya nchi kwwnda kuona miradi iliyofanywa na hiyo kampuni. TANROADS ilituma wajumbe ghana na msumbiji, na wajumbu hao walirud na report ya kuonyesha kwamba ni kweli walifanya na mbaya zaidi walirudi mpaka na ripoti za idara na mamlaka za barabara ktk nchi husika kwamba hiyo kampuni ilifanya kazi huko (Kitu ambacho si kweli, wajumbe walihongwa na kuchakachua report zote za Msumbiji na Ghana kwamba kampuni ilifanya kazi huko na kukamilika).

HASARA KWA SERIKALI

Serikali imepata hasara kubwa katika maeneo makuu matatu:

1. Adnvace pyament ya 3bn. Serikali imeambulia grader 2 za kichina zisizo na thamani ya zaid ya milioni 200.

2. Gharama za kumlipa mhandisi msimamizi kwa zaidi ya miezi sita aliyokaa. Ambapo ni zaidi ya million 700.

3. Kuandaa tender upya ambapo gharama za mradi lazima zipande kutokana na kupanda kwa maisha. Maana 26bn ni tender iliyotangazwa mwaka 2012.

NINI KILITOKEA MPAKA STRADA IKAKIMBIA

Katika hali ya kusuasua alikokuonyesha, serikali ilianza kuichunguza hii kampuni kwa undani zaidi maana hata wale waliokuwa wamekula hela kwa kuipa kazi hii kampuni ilionekana wanashindwa kuibeba. Serikali ikagundua kumbe hata bank guarantee iliyowekwa ni feki! Hiyo bank ilikana kuijua hiyo kampuni hii na hapo ndipo serikali ilipochanganyikiwa maana mdhamini aliyewekwa ili kama mambo yakiwa sivyo yeye ndo alipe fidia haijui hiyo kampuni. Watu hao hao wa TANROADS waliokula dili hilo wakamshtua mteja wao kwamba serikali imeshtukia mchezo na jamaa akakimbia mpaka leo.

Kuonyesha kampuni ilikua ni ya kitapeli, ilikopa mpaka furniture za ofisi. Vitendea kazi kama computers na printers walikopa duka la Compcat hapo Arusha. Ana deni kubwa la milion ka 200 hivi kutoka kwa NSK. Wafanyakaz wanadai mishahara ya mwezi wa kumi na mbili ma wa kwanza na hapo ni baada ya kugoma kwa wiki nzima na kumtumia mkuu wa Wilaya na mbunge mh Lema kumpigia simu ndipo alilipa deni la mwezi wa 10 na 11.

EXIM WANUSIRIKA

Bank ya Exim ilibakia kidogo tu nayo itapeliwe baada ya hiyo kampuni ku-process mkopo wa milion 450. Katika hali iliyoonyesha bahati kwa Exim, walichunguza kabla ya kutoa hizo hela maana walikuwa tayari wameshajiridhisha kwa asset zilizowekwa ambazo miongoni mwao ndo zile grader ambazo sasa serikali imezizuia kupitia TANROADS Arusha.

KAULI SAHIHI

Ukweli ni kwamba mkandarasi Strada alikimbia mwenyewe na si serikali kumfukuza. Na amekimbia baada ya kuona ukweli kuhusu kampuni yake kufoji vitu umejulikana. Lakini wameondoka na faida kubwa na kuitia hasara serikali. Maana ktk 3bn, alizotumia Bongo hazifiki hata 1.5bn mpaka anaondoka.

NANI WA KUWAJIBISHWA

Kitengo cha Procurement cha TANROADS lazima kiwajibike kwa hili maana walifanya Investigation kwa hii kampuni na kutoa report za uwongo. Maana huwezi kuniambia walivyoenda Ghana na Msumbiji walidanganywa na hizo mamlaka kuhusu kampuni hii. Na pia bank guarantee walishindwa ku-confirm kabla. Hili swala lilifanyika wakiwa wanajua dhahili ukweli kuhusu kampuni hii.

Na ningependa kuona Magufuli akilitolea ufafanuzi swala hili na hatua zilizochukuliwa kwa watendaji waliosaidia kuidanganya serikali. Na pia mbunge husika, Olesendeka na ningependa ajue kuhusu hili maana barabara ipo jimboni mwake.

Nawakilisha.

Kweli tunakufa huku tukitembea,,,,,,Tanzania & Rushwa itatumaliza
 
Okay nimekupa lazy dog. Hapa kuna vitu viwili ambavyo ni vema ukavielewa. Kuna watu wa tanroads walioshiriki toka awali katika udanganyifu huu yani katika hatua za procurement (yani waliotoa tender). Wao walichukua chao wakakaa pembeni, kwa mfano mkandarasi angeperform vizur haya yote yasingesemwa. Shida ilianza pale mkandarasi aliposhindwa kuperform, mhandisi mshauri anaandika report kila mwezi kuonyesha contractor hawezi kuperform kazi hiyo. Hizo report hazisomwi na watu wa procurement tena waliotoa tender, sasa ni idara nyingine na hiyo report zilikua copy zinatumwa tanroads arusha, tanroads manyara na head quarters. Na hata tanroads arusha na manyara ambao wapo site nao walishaona contractor kazi hawezi. Contractor alishaitwa kweny high level meeting ya tanroads zaid ya mara mbili. Aliitwa mara ya kwanza akapewa maadhimio afanye a be na che. Hakufanya hata a, akaitwa tena hkufanya kitu. Hapo ndipo tanroads wakaanza kufanya taratibu za kumfukuza, walipoanza kupitia hizo bank guarantee na performance security hapo ndipo wakakuta kila sehem jamaa atambuliki. Sasa hapa waliomsaidia kudanganya kumbeba tena ikawa ni ishu maana contractor anatakiwa afukuzwe. Hapo ndipo jamaa ilimbidi wamtonye contractor kwamba ishu ishabumbuluka maana kesi ya kufoji nyaraka ilikuwa inakuja, Jamaa ndo akakimbia. Jibu la msingi katika hoja ni kwamba, tanroads walikuwa wanaendelea na mchakato wa kumterminate contractor ingawa ulichelewa kuanza ingawa ni mda mrefu na ni kwa kiasi kikubwa contractor alionyesha kushindwa. Ila mwisho wa siku contractor alifukuzwa kutokana na site kuwa dormant kwa siku zaid ya 14 bila kutoa sababu za msingi. Hii huwa ni automatic termination kwa contractor maana inahatarisha moja kwa moja uhai wa project. Ndo maana mi nalia sana na procurement department ya tanroads, na kama hawa jamaa wataendelea kulindwa basi hapo serikali kupitia wizara husika nayo itakuwa inastahili lawama kwa kukumbatia ufisadi huu.
Bonge la skandali!
Ila mkuu jifunze kuandika vizuri kwa raha ya msomaji!
 
Back
Top Bottom