Mkanda wa mauaji wa chumba namba 1046( Kivuli cha 'Don' na jasho la wapelelezi)

Mkuu SteveMollel watu wanaulizia wanajua inaendelea

Hapo ndiyo tujue kwamba duniani si kila jambo huwa linaishia vizuri kama movies zituaminishavyo. Si kila adui huishia kuuawa ama kukamatwa. Si kila mwenye nia njema hufanikiwa

- Amini nakwambia
 
Kweli kabisa mkuu. U nailed it!

☆Steve
 
ndiyo. ipo siku mtu atafunguka na familia ya 'Owen' watapata haki yao.
Ila haki itakuwa haijatendeka tu. Hilo limeshapita na halina mbadala. Obviously, kwa swala la umri, wahusika hawa wote watakuwa marehemu sasa ama wazee kupitiliza.

Justice delayed is justice denied.

naamini kuna mtu japo alikuwa mdogo sana miaka hiyo 1930s, anajuwa kuhusu what happened. huyo au kizazi chake ipo siku atafunguka. kama ipo ipo tu.
 
Mkasa mzuri, FBI wameshindwaje?
Mkuu Mussolin its jus a matter of time. FBI wameshindwa kesi nyingi tu, nikipata wasaa nitakuwa nazishusha hapa moja baada ya moja, kama vile mlivyoliona swala la Cooper kwa The bold namna hawa watu pia walivyoachwa vibaya mno kiakili.

Ukitazama vema hapa utagundu kuna tukio halisi alafu kuna matukio ya kuharibu uhalisia na yote yanafanyika kwa wakati mmoja.

☆Steve
 
Back
Top Bottom