notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
sorry sir..Wakati mwingine tukubali ukweli kuwa Lowassa anakubalika sana !
huyu mtu unaesema anakubalika naomba uniambie ANAKUBALIKA WAPI NA WANAOMKUBALI NI AKINA NANI???
nikupe angalizo tuu, kama mnajidanganya kuwa ccm haiwezi kufanya maamuzi magumu, basi jiweke tayari kushuhudia huyu kiumbe wenu akipigwa chini na bado atakosa ubavu wa hata kulalamika au wazo la kuhama chama. kinachofanyika hadi sasa ni kujenga mazingira ya kumfanya azidi kufanya makosa ya wazi na dhahiri ila wakija kumchinja iwe ni rahisi tu kwa kumkabidhi kisu yeye mwenyewe ili ajichinje