Samahani wadau, niko nje ya mada!
Hivi ni kweli Mwigulu Nchemba ana mradi wa kuhakikisha Mabango yote barabarani nchi nzima yana andikwa yeye? Liwe bango la Twiga Cement, Coca Cola, nk hasa vituo vya dala dala!
Hii nchi kweli imefikia kubaya kiasi hiki? Mtu mmoja tu anatuchafulia vituo vya kusubiria magari!!
Make kila mkoa : Chagua Mwigulu Nchemba; Sokoine wa Pili, nk.
Afu mwandiko unashabiana kila mahala! Ina maana kuna mtu tiyari kapewa hii Zabuni? Ni mkoa baada ya Mkoa?
Hii kitu hata mm nimeiona aisee!
Last edited by a moderator: