Hata kimtazamo tu wewe unaonekana hujashiba ndio maana unafikiri kila anayemsema vizuri LOWASSA ANAYO NJAA.POLE SAANA.
Watanzania hatuna direction aisee, miaka ile lowasa anajiuzuru kila mtu alimtukana hata kama hajui nini kimetokea ila lowasa aliitwa fisadi na almost 99% ya watanzania, leo hii watanzania hao hao waliomuita lowasa fisadi ndo wako msitari wa mbele kumtangaza aingie ikulu, hii inaashiria njaa hata km nitakukwaza samahani ila njaa inasumbua watu sana.

- Nawaonea Imani watu ambao bado akili zenu zinaendelea kuwatuma kwamba fisadi LOWASA atakuwa rais maana Siku ikifika mtakufa kwa presha.
Siku zote ktk maisha maamuzi yoyote yanayofanyika kwa kuchochewa na mahaba, ni majuto baadae. Be careful guys.
Wenye uelewa mfinyu juu ya sakata la RICHMOND ndio hao walijiunga na kundi la wachache ili kumtukana na kujitahidi kumchafua ENL.
Huko mie simo siishi kwa kutegemea CHADEMA (UKAWA) ama Nape,Bashe (CCM) bila ya hao bado nina uhakika wa mkono wangu kwenda kinywani.
Nilichokieleza humu ni MKAKATI WA TEAM LOWASSA wapi hujaelewa au wewe ni watu wa MEMBE nini!!
Mbona umechafukwa na roho bure.
Cha kwanza mimi sina chama, wala siishi kwa siasa za kimasikini za hapa Tanzania, watu wanafanya siasa kwa njaa, mwisho wa siku siasa zinakua za kinafiki na visasi.
Hakuna siku ntajiunga na siasa wala kumshabikia mtu maana hamna mpya zaidi ya kusema uongo.
kutokuwa na chama HAKUONDOI utashi wa mtu kupenda ama kukataa chama au mtu fulani ndani ya awaye yote.
Uongo sio furushi langu wewe unayeogopa kabla ndio huenda uongo unakutesa na kukulemea.
Haya tumekusikia umetushawishi, nenda kachukue posho yako kwa Bashe.
Acha ukenge....did u know exactly the details of richmond...!!? Who is the main guy behind it...!!?
Shut-up if u don't know...!!! Lowassa atakuwa Rais, easily....and CCM will pick him soon, to run for our Oval Office, be keen on issues, stop hear say...!!!
Ni nani aliyekuroogaaaaa/?Mungu mlinde anko edo