Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

lowasa ni mwizi na hawezi ongoza nchi hii kwa sababu keshawahi kuwa waziri katika wizara NNE tofauti hakuna jipya wala improvement au mabadiliko yeyote aliyoyaleta zaidi ya kuprove failure ........Watanzania amkeni na muwe makini na nchi yenu .......lowasa hafai kuwa Rais kama kupendwa na watu hata Diamond anapendwa lakini hawezi kuwa Rais jiulizeni hizo pesa anazotumia kurubuni watu atazirudishaje.......kwa mbali namfikiria Mwandosya na siyo hao wanaotaka kufanya taasisi ya Rais bongo record

Kiutendaji mbona yupo juu?Hataki umbea ,unafiki,uvivu,akili mgando na hapendi watu waoga.
 
Kwa sasa team Lowassa haisumbuliwi tena na watu aina ya Membe walipofikia wanamudu kazi yao ya kuhakikisha Mtu wao anashinda kwa kishindo cha sunammi ndani na nje ya chama

Imebainika kutoka kwa wasiri wa ndani ya team Lowassa kuwa hata hao akina MWIGULU CHEMBA na LAZARO NYALANDU hao vijana waaminifu kupita maelezo kwa Mh.EDWARD NGOYAI LOWASSA.

Usishangae kuwaona vijana hao ni kama kila mtu yuko lwake na hana habari na EDDO,Kumbe ni damu damu na mzee wa MAAMUZI MAGUMU.

Dakika,masaa,siku na miezi inayoyoma kuelekea uchaguzi wa ndani CCM utajaona wengi wakisema "KUANZIA LEO MIMI NAMUUNGA MKONO MH.SAANA EDWARD N.LOWASSA.Hio itafanyika dakika za mwisho kabla siku za uchaguzi huo kufanyika ndani ya chama tawala.

MOSI,
Lengo ni kuvunja nguvu za Mkuu wa Kaya asiweze kupindisha maamuzi na kuteua mtu mwingine.

MBILI,
Imekusudiwa kutokea wakati huo ili kama kuna masalio ya WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO wajichokee na kukata tamaa zaidi hasa kwa kuona ushawishi,nguvu na uungwaji mkono wa LAIGWANAN haviwezi kuzuiliwa na awaye yote iwe kwa UTEUZI ama UCHAGUZI ndani NEC CCM.

Sio hivyo tu hata baada ya uchaguzi mkuu ujao inaonyesha LAIGWANAN amejipanga vizuri zaidi kuliko KADA awaye yote wa CCM.Nimedokezwa yuko tayari kufanya kaxi na watu makini,wachapa kazi wasiocheka na Nyani huku shamba la Mahindi linaisha na kubakiwa na Mabua matupu.

Mipango ya inavuka mipaka ya vyama na kuweka mbele maslahi ya TAIFA letu.Huyu mtu niJASIRI SANA, alisikika mmoja wa wana TEAM LOWASSA akisema.

Msije mkashangaa hata hao watu wazuri walioko UPINZANI NAO WAKAWEKWA kwenye baadhi ya Nafasi za Uongozi ili kujenga TAIFA hili kwenye Ustawi wa

KIUCHUMI
KIAFYA
KIELIMU
Akilenga kila MWANANCHI lazima afaidi ama ale mema ya Nchi yake mwenyewe.

Tumeshuhudia wabunge MIA NA HAMSINI (150)CCM, Waliojitokeza wazi wazi bila kificho na kusema KWA RAIS AJAYE LOWASSA NDIYO CHAGUO SAHIHI NA HALALI ndani na nje ya CCM.

Hayo mliyoyaona kama ni Mvua basi hio ni manyunyu/rasharasha tu,Sunammi inakuja Vigogo wengi kila Wizara na Idara wanamuunga mkono LOWASSA.

HAKUNA SIKU HATA MOJA LAIGWAN E.N.LOWASSA ATAKWAMISHWA,AMEJIPANGA IPASAVYO.

Hapo nimewapa kionjo tu.

NGOMA INOGILE.
nchi hii bwana naishangaa. Umepanga mtaa na unaambiwa huku vibaka wengi hivyo funga mlango. Wewe hufungi wanakuja na kukuibia unaanza kulaumu. Au mchezaji unaona kachoka na nguvu hana badala ya kumpumzisha unaamua kumchezesha kwa nguvu. Ukifungwa bado unalaumu. Tutaishia kulaumu kila siku kwa sababu ya maamuzi yetu wenyewe. Bidhaa haiuziki unaipeleka sokoni inapokosa wateja unalaumu pia Mtu umma unasema hafai ila unampigia debe ili apite kwa sababu ya hisia zako binafsi. Mwaka huu hatufanyi makosa tena. Hatutaendeshwa na hisia tunataka watu wenye damu changa ili wazee wabaki kuwa washauri wao. Tanzania sio ya mtu Bali ni yetu wote kama mtu anahisi ana hatimiliki juu yetu. Atapigwa pigo Kali June yaja. Mtoa mada hiyo bidhaa haiuziki Bali inajitembeza.
 
Njaa zinakusumbua mkuu nimekwambia tangu mwanzo, hakuna siku utaona nampigia mtu kampeni hapa jf, wala hakuna siku utaona namuunga mkono mwanasiasa maana wote waongo na wezi tu.

Watu mnakosa kufanya kazi za uzalishaji mali mnakaa kila siku lowasa sijui Membe, Ngeleja sijui Makamba, Slaa, Zitto yaan ni upuuzi tu.

Tufanyenini bac hebu tupe suluhisho tufuate njia gani!? Kila kitu kwa leo kimeegemea kwenye siasa, kuanzia Afya, Elimu, Chakula n.k kwahiyo tusichague viongozi kwa sbb ya kufuata mawazo yako!?
 
Tufanyenini bac hebu tupe suluhisho tufuate njia gani!? Kila kitu kwa leo kimeegemea kwenye siasa, kuanzia Afya, Elimu, Chakula n.k kwahiyo tusichague viongozi kwa sbb ya kufuata mawazo yako!?

Anayepuuza siasa labda ahame akaishi sayari ya PLUTO,kwa sisi tunaoishi Duniani lazima tujadili juu ya siasa na Wanasiasa,Iwe LOWASSA,DR SLAA,MEMBE na wengineo tutasema mambo yao maana siasa ni sehemu ya maisha yetu hapa chini ya jua.

NA YULE ATAKAYETUFAA TUTAMPA KURA ZETU ZA NDIYO.
 
Tufanyenini bac hebu tupe suluhisho tufuate njia gani!? Kila kitu kwa leo kimeegemea kwenye siasa, kuanzia Afya, Elimu, Chakula n.k kwahiyo tusichague viongozi kwa sbb ya kufuata mawazo yako!?

Sisemi tusichague viongozi, nachosema tuache tabia ya kuanzisha thread mpya kila siku kumsifia mtu fulani yaani kila mara lowasa, mara membe sijui nani huu ni upuuzi bana hao jamaa waacheni wafanye yao muda ukifika watajitangaza sisi tutachambua hoja zao na kuchagua waliotuvutia kwa hoja makini.

Hii tabia ya kukomaa na kampeni za siasa hata kabla ya muda kwa sababu ya kupewa vipesa ni aibu sana na inaashiria watanzania tunanunuliwa kirahisi sana,
Believe me km hatutabadilika tukibakia kupewa vipesa ili kuwasafisha watu kwenye social networks basi hii yetu tutakua maskini mpaka kiama.
 
Obama wa USA alipendwa na wananchi wa Nchi yake wakampa KURA akawa RAIS.

Buhari wa NAIGERIA vivyo hivyo amemshinda Jonathan kwa kupata kibali mapema kwa WANAIGERIA.
Uhuru Kenyatta wa KENYA alikuwa na hii ndoto na leo ni Rais.
Tuache utoto na utani,kusema ukweli Siasa zinahitaji maandalizi ya mapema.

Lazima uwe na Maono.
Kisha uweke mkakati wako uwe bayana.
Andaa team.

UKIONA LOWASSA ANAPENDWA MPAKA KUPATA TEAM LOWASSA SIO DHAMBI.
Ila kwa waliozidiwa nguvu na LOWASSA hii kwao ni kero.
TUWE WAELEWA HAKUNA MTU ANAYETAKA KUONGOZA NCHI YOYOTE KISHA ASIWE NA MAAJDALIZI
 
Tulia na njaa zako hizo
 
Sababu za kupendwa ni upeo na uaminifu wake kama jemedari mkuu wa Taifa. Wananchi si wajinga,wanalitambua hilo.Hatauza wananchi kwa maswala ya kipuuzi.Kumbuka City water aliwapiga chini bila mjadara.Mradi wa kupeleka maji Shinyanga kutoka ziwa Victoria hakamungunya maneno ya kuwasikiliza Misri,aliamua na bomba la maji likajengwa.Alianzisha shule za kata lakini alipotoka madarakani wazembe wakachakachua mradi mzima.Alikuwa tiyari kuwafundisha adabu Malawi walivyotaka kuchukua ardhi ya Tanzania,japo tu alikuwa mwenyekiti wa kamati tu ya ulinzi na usalama wa taifa ya bunge,je kama angekuwa Jemedari mkuu?Taifa limekuwa omba omba tokea awamu ya kwanza hadi leo,wakati umefika wa kuchagua kiongozi orignal wakuondoa hii hali ya ombaomba.Sio kuwa na sera nzuri tu bila kutekeleza sera kwa vitendo sahihi.Msiwe waoga wa kumchagua Lowassa aweletee Tanzania isio ombaomba.Huu mundelezo wa omba omba sio sifa.
 
Watanzania hatuna direction aisee, miaka ile lowasa anajiuzuru kila mtu alimtukana hata kama hajui nini kimetokea ila lowasa aliitwa fisadi na almost 99% ya watanzania, leo hii watanzania hao hao waliomuita lowasa fisadi ndo wako msitari wa mbele kumtangaza aingie ikulu, hii inaashiria njaa hata km nitakukwaza samahani ila njaa inasumbua watu sana.

mkuu,hivi wajua hata CDM wanaangalia kwa macho matatu mambo ya CCM na EL?
Je,wajua kuwa EL ndio moja ya watu watatu waliodaiwa kuwa ni mafisadi wakubwa sana na Dr. Slaa & Co. enzi zile?
Je,wajua kuwa CDM wapo tayari kumpokea EL na kumsimamisha kama mgombea wao wa uraisi kama atatimuliwa CCM?
Je,wajua kuwa watu walewale waliomchafua EL na kupiga makelele kuwa ni fisadi,leo wapo tayari kumnadi Tanzania nzima awe raisi wa TZ?
 
Waliosema siasa ni mchezo mchafu hawajakosea.Public opinion ya mitaani isio rasmi EL ni front runner kwa CCM.Dr Slaa ni front runner kwa UKAWA.Lakini EL vis Dr Slaa,Mh Lowassa ana dalili za kumshinda Dr Slaa.Ila CCM ikimuengua EL wananchi wanaweza kupiga kura za chuki dhidi ya CCM.
 
Lowasa hata watoto tu mtaani wanakwambia hafai kisa mwizi wa Mali ya umma.

Acha kusingizia watoto wewe!!! Labda useme watoto wako maana watoto hupokea,kusema na kufuata kila wazazi wao huamini mpaka hapo watakapokuwa na uwezo wa kung'amua mambo.

LOWASSA NDIO WIMBO MPYA KWA SASA NCHI HII.
 
.

Unachekesha wewe.yani tuchague mwizi wa mali ya umma awe rais? Hizo hela anazowahonga jiandaeni kurudisha maana kazi ya kumpigia debe itakuwa imewashinda.Pia mshaurini mapema huyu mzee asipoangalia atakufa maana hataamini kitakachotokea.
 
Waliosema siasa ni mchezo mchafu hawajakosea.Public opinion ya mitaani isio rasmi EL ni front runner kwa CCM.Dr Slaa ni front runner kwa UKAWA.Lakini EL vis Dr Slaa,Mh Lowassa ana dalili za kumshinda Dr Slaa.Ila CCM ikimuengua EL wananchi wanaweza kupiga kura za chuki dhidi ya CCM.

Umeongea kiutu-Uzima unagusa mpaka ku-Moyo.
 
Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu EL kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015. Wapo wanaomsifu na wapo wasiofanya hivyo. Tuhuma lukuki za ufisadi dhidi yake zimetawala sana. Ngonjera zinazohusisha ukwasi wa huyu Mheshimiwa ni pamoja pale ambapo Mwalimu (RIP) ananukuliwa aliposhawishi kuondolewa kwa jina la EL kwenye orodha ya wasaka URAIS kuelekea uchaguzi mkuu wa 1995 kutokana na huyu Mheshimiwa kujilimbikizia mali.

Kama tuhuma za ufisadi ni za kweli kwa nini hadi leo hajafunguliwa shtaka kwenye mahakama zile zinazowasamehe wakwapuaji wa mali ya umma kama watuhumiwa wengine? Kama ni tuhuma za matumizi mabaya ya uongozi zifananzo na zile zinazowakabili wale jamaa wa kaskazini nazo zingepaswa kupelekwa kule kule. Binafsi naamini EL anaponzwa na UCHAGGA wake. Hili halisemwi!
 
Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe Eli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom