Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Wanajamii

Mara ya mwisho team Lowasa walitangaza kumwunga mkono kipenzi chao Arusha, je wataenda kinyume na Tangazo la Nape Nnauye?

Kama nguvu ya. fedha inazidi nguvu ya CC ya CCM yetu macho kesho
 
Makongoro anakoroma tu ili Rais ajaye amkumbuke kwenye UFALME WAKE.
Hatuwezi kabidhi Nchi yenye Rasilimali kaa yetu mwendawazimu mtaaamkuta amelala BAFUNI.

mkuu nahisi nahitaji kuelewa kauli yako zaidi ''kulala bafuni''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom