Mkakati wa CHADEMA Kugomea Viti Maalumu ni 'Political Maneuver' isiyokuwa na tija yoyote

mzee74

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
10,824
2,000
Hiyo ni perception yako ambayo pengine imesababishwa na wewe kutokumpata kiongozi uliyemtaka. Hata hivyo, hiyo ndiyo democracy yenyewe; you don’t always get to install the leader you wanted!

Mgogoro wa viti maalumu haukupaswa hata kuwepo kama viongozi wa CDM wangetumia busara mapema kabisa.
Ni Saddam Hussein pekee ndio alikuwa anashinda kwa 99%.
Labda kidogo na ndugu yetu Kagame
 
trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,742
2,000
Kupanga Ni kuchagua. They have chosen their way, it's up to them. Ya nini wabembelezwe... At the end of the day,hawatakuwa na ruzuku,watakufa a natural death eventually..
Mimi inaniwia vigumu sana kuamini kwamba viongozi wa vyama vyetu vya upinzani wana uwezo wa kujifunza kutokana na makosa yao ya nyuma. Wangekuwa na huo uwezo, leo hii CHADEMA wasingekuwa wanajiuguza majeraha makubwa yaliyoletwa na dhoruba la Viti Maalum vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sio siri, kufukuza makada waandamizi 19 ni msiba mkubwa sana kwa chama, ambao haukuwa wa lazima!.

CHADEMA ilipaswa kuteua Wabunge wa Viti Maalum mapema iwezekanavyo na kulimaliza hilo swala kwa amani. Mkakati wa kugomea Viti Maalum ni 'Political Maneuver' ambayo haikuwa na tija yoyote, kwa sababu kadhaa:

1. Historically, vyama vyetu vya upinzani vimewahi kususia mambo mengi na kufanya migomo ya aina mbalimbali, ambayo matokeo yake sote tunajua yalikuwa ni hasara zaidi kuliko manufaa kwa upinzani. Mifano ni mingi sana, lakini nitataja miwili tu mikubwa. Kwanza, mwaka 2015, Maalim Seif alisusia uchaguzi wa marudio Zanzibar akiamini kwamba kuna siku angepewa ushindi wa mezani na kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar.

Alisubiri mpaka muda wa uchaguzi mwingine ukafika bila kupewa ushindi wa mezani kama ndoto yake isiyokuwa na mbele wala nyuma ilivyomtuma. CUF paid a heavy price kwa sababu ya poor judgment ya viongozi wake. Pili, mwaka 2019, wapinzani walisusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Matokeo yake, CCM swept all seats. Hiyo ilikuwa poor judgment nyingine ya viongozi wa vyama vya upinzani.

2. Kuchukua viti maalumu hakuzuii chama kuendelea na mapambano yake yoyote yale. Chama bado kinaweza kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi kwenye majimbo na kata zote ambako wagombea wake walishindwa uchaguzi.

3. Kufikiria kwamba, kwa kususia viti maalumu, Tanzania itakuwa na general election do over ni uzembe mkubwa wa kufikiri. Kama Bob Amsterdam, Lissu’s foreign political mercenary, ameiambia CHADEMA kwamba kuna jumuiya ya kimataifa inayoweza kushinikiza nchi fulani kufuta matokeo ya uchaguzi wake na kufanya uchaguzi mwingine, amekidanganya chama mchana kweupe. National elections zinafanywa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Michakato ya kufuta matokeo ya uchaguzi nayo lazima ifanyike kwa kufuata sheria hizo hizo na mahakama za nchi husika. Hakuna international law inayoweza kutumika badala yake!

4. Kufikiria kwamba kugomea viti maalumu kutasaidia kuzishawishi jumuiya za kimataifa kuiwekea nchi vikwazo ni uzembe mwingine mkubwa wa kufikiri. I am not aware of any country that was slapped with economic and other sanctions because of election disputes. Hata kama hilo lingewezekana, effectiveness ya huo mkakati ni questionable. Ipo mifano mingi ya nchi ambazo zimeishi na vikwazo vya kimataifa kwa miaka kumi, ishirini. Nina uhakika Tanzania pia haiwezi kukubali kuacha kusimamia uhuru wake na sovereignty yake ili kutimiza matakwa ya mabeberu. So, if Tanzania weathers a five-year economic sanctions period, for example, how does that help resolve the 2020 election dispute?

Politics ni art ambayo haihitaji hasira. Viongozi wetu wa vyama vya upinzani inabidi wajifunze kuucheza huu mchezo bila kuumiza vyama vyao. A safe strategy ni kuchukua chochote kinachopatikana immediately kisha unaendelea kupambana kukitafuta kile kinachoweza kupatikana baadaye. Kwa kuwa viongozi hawasaini settlement agreement na mtu yeyote ambayo itawafanya washindwe kuendelea na mapambano, hakuna sababu ya kuwa na misimamo duni kama hii ya kususa na kufanya migomo.
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,869
2,000
Uchaguzi ule ulikuwa huru na wahaki??? Unaelewa tunaposema uchaguzi huru na wa haki??? Hatutaki matokeo tunataka mchakato. Kama mchakato wa kuwapeleka kina mdee bungeni haikuwa sahihi mf. Kufoji barua na kumtoa nusrat gerezani usiku... basi yote yatokanayo ni haramu. Ningekuwa najua dini yako ningeeleza zaidi haramu

Kwanini unataka kuhangaika na symptoms za failed leadership badala ya root causes?
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,493
2,000
I am neither Lissu nor Trump. So, no cause for concern!
You have the same delusions of grandeur as Trump, sir. And like him, you hurl cheap insults and lies at those that you differ with. In your case, one can add the grave sin of faux intellectualism.
I am done here.

Amandla....
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,869
2,000
You have the same delusions of grandeur as Trump, sir. And like him, you hurl cheap insults and lies at those that you differ with. In your case, one can add the grave sin of faux intellectualism.
I am done here.

Amandla....

That’s your perception. Needless to say, perceptions don’t always match realities!
 
WALOLA VUNZYA

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
559
500
Wewe huwezi kuona umuhimu kwasababu hujataka kuona huo umuhimu na hiyo nikwasababu unataka mambo yaibuke tu bila kuanzishwa.Kila kitu lazima kiwe na hatuaAta hao wavizazi vijavyo wataanza kama tulivyoanza wa kizazi hiki. Kinachotakiwa ni viwe tulivyovianza waje wavikute waviendeleze.
Hatua waliyoichukua CHADEMA ni final and conclusive isiyo na waa lolote.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,957
2,000
Mimi inaniwia vigumu sana kuamini kwamba viongozi wa vyama vyetu vya upinzani wana uwezo wa kujifunza kutokana na makosa yao ya nyuma. Wangekuwa na huo uwezo, leo hii CHADEMA wasingekuwa wanajiuguza majeraha makubwa yaliyoletwa na dhoruba la Viti Maalum vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sio siri, kufukuza makada waandamizi 19 ni msiba mkubwa sana kwa chama, ambao haukuwa wa lazima!.

CHADEMA ilipaswa kuteua Wabunge wa Viti Maalum mapema iwezekanavyo na kulimaliza hilo swala kwa amani. Mkakati wa kugomea Viti Maalum ni 'Political Maneuver' ambayo haikuwa na tija yoyote, kwa sababu kadhaa:

1. Historically, vyama vyetu vya upinzani vimewahi kususia mambo mengi na kufanya migomo ya aina mbalimbali, ambayo matokeo yake sote tunajua yalikuwa ni hasara zaidi kuliko manufaa kwa upinzani. Mifano ni mingi sana, lakini nitataja miwili tu mikubwa. Kwanza, mwaka 2015, Maalim Seif alisusia uchaguzi wa marudio Zanzibar akiamini kwamba kuna siku angepewa ushindi wa mezani na kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar.

Alisubiri mpaka muda wa uchaguzi mwingine ukafika bila kupewa ushindi wa mezani kama ndoto yake isiyokuwa na mbele wala nyuma ilivyomtuma. CUF paid a heavy price kwa sababu ya poor judgment ya viongozi wake. Pili, mwaka 2019, wapinzani walisusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Matokeo yake, CCM swept all seats. Hiyo ilikuwa poor judgment nyingine ya viongozi wa vyama vya upinzani.

2. Kuchukua viti maalumu hakuzuii chama kuendelea na mapambano yake yoyote yale. Chama bado kinaweza kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi kwenye majimbo na kata zote ambako wagombea wake walishindwa uchaguzi.

3. Kufikiria kwamba, kwa kususia viti maalumu, Tanzania itakuwa na general election do over ni uzembe mkubwa wa kufikiri. Kama Bob Amsterdam, Lissu’s foreign political mercenary, ameiambia CHADEMA kwamba kuna jumuiya ya kimataifa inayoweza kushinikiza nchi fulani kufuta matokeo ya uchaguzi wake na kufanya uchaguzi mwingine, amekidanganya chama mchana kweupe. National elections zinafanywa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Michakato ya kufuta matokeo ya uchaguzi nayo lazima ifanyike kwa kufuata sheria hizo hizo na mahakama za nchi husika. Hakuna international law inayoweza kutumika badala yake!

4. Kufikiria kwamba kugomea viti maalumu kutasaidia kuzishawishi jumuiya za kimataifa kuiwekea nchi vikwazo ni uzembe mwingine mkubwa wa kufikiri. I am not aware of any country that was slapped with economic and other sanctions because of election disputes. Hata kama hilo lingewezekana, effectiveness ya huo mkakati ni questionable. Ipo mifano mingi ya nchi ambazo zimeishi na vikwazo vya kimataifa kwa miaka kumi, ishirini. Nina uhakika Tanzania pia haiwezi kukubali kuacha kusimamia uhuru wake na sovereignty yake ili kutimiza matakwa ya mabeberu. So, if Tanzania weathers a five-year economic sanctions period, for example, how does that help resolve the 2020 election dispute?

Politics ni art ambayo haihitaji hasira. Viongozi wetu wa vyama vya upinzani inabidi wajifunze kuucheza huu mchezo bila kuumiza vyama vyao. A safe strategy ni kuchukua chochote kinachopatikana immediately kisha unaendelea kupambana kukitafuta kile kinachoweza kupatikana baadaye. Kwa kuwa viongozi hawasaini settlement agreement na mtu yeyote ambayo itawafanya washindwe kuendelea na mapambano, hakuna sababu ya kuwa na misimamo duni kama hii ya kususa na kufanya migomo.
Wengeachwa bila kufukuzwa mda huu chadema ingekuwa imefariki tayari
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,869
2,000
Unapinga nini sasa hapo? Yaani huoni madudu yote yaliyofanywa na chama chetu CCM kutufikisha hapa, bado unawatupia zigo la lawama CHADEMA?

Bila failed leadership, hiyo issue ya Team Mdee isingetokea hata kutokea!
 
FOCAL

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
1,227

Mkuu, mbona unatumia nguvu kubwa sana kupingana na ukweli? ajenda yako ni nini haswa, yaani kilichotokea Oct 28 hukijui kabisa? Ebu tuwaache hao CDM kwani maamuzi yao ni sahihi kabisa, tusubiri 2025 tuone maendeleo atakayoletwa na wabubge wa changu chanu peke yao.
Take it easy mkuu.
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,230
2,000
Huna sababu ya kutoa povu jingi. Jukwaa lipo; unaweza kuandika analysis yako mwenyewe itakayokufurahisha. Mimi sikulenga kukufurahisha!

Blind followers wa CDM mna short memory. Migomo ya wapinzani haijaanza leo. Utamaduni wa migomo na kutokutambua matokeo ya uchaguzi vipo tangu uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi ulipofanyika. Ukiangazia mgomo mmoja baada ya mwingine, utagundua kuwa mara nyingi Upinzani umeumia zaidi ya kunufaika na hiyo migomo.

Albert Einstein defined the word insanity in the following manner:

“Doing the same thing over and over again and expecting different results.”

Ndiyo; hujalenga kunifurahisha, ila kuvuta attention ya wanajukwaa hili ili waweze kuuona ujinga wako kwa uwazi na mapana...

Hoja ni moja tu hapa. Jifunze kufanya utafiti kwanza juu ya hoja yoyote unayoifanyia uchambuzi...

Ingekuwa hivi unavyosema "hujaandika kunifurahisha Mimi", basi ungewapa watoto wako wasome ili waelimike kwa ujinga wako...!

Umeandika na kuleta hapa ili tujadili.

So, whether you like it or not, tutajadili hoja yako vilivyo. Tena sisi wengine huwa hatuna msalia mtume kwenye ujinga kama huu bali ni kukosoa tu tena kwa lugha kali kabisa...!

Ukiona unakereka, basi DON'T TRY POST RUBBISH HERE AGAIN...
 
VYEMELO

Member
Jul 21, 2020
71
125
Mimi ni mwana CCM lakini pia ni muumini wa demokrasia ya kweli na maendeleo endelevu. Kwa kweli nikiri kuwa, nimebarikiwa sana na maamuzi ya KK ya CHADEMA kuwavua nyadhifa za uongozi na kuwafukuza uanachama wale akinamama 19.
Hatua hiyo naamini itakiimarisha Chama. Moja ya sababu zinazozorotesha vyama vya upinzani Nchini ni kutoheshimu Katiba zao. Jambo hili limekuwa likivigharimu mno vyama hivi.
Hongereni CHADEMA! Msirudi nyuma kwenye maamuzi haya kwani itasaidia kuimarisha siasa za upinzani na demokrasia Nchini.
Sasa niwashauri jambo; tumieni miaka hii mitano kujiimarisha vijijini kwa wakulima ambako kwa kweli ni kama Hampo. Kama takwimu zenu zinaonesha mko vizuri vijijini, aliyewaletea data hizo ni mwongo. Watu wengi walio ktk siasa hapa Bongoland ni wachumia tumbo ndugu. Wewe unafikiri walichokifanya akina Halima hawakijui? Watakuwa wamepewa pesa nyingi sana ya mlungura! Si rahisi kwa wanawake mahiri na jasiri kama Bulaya, Matiko, kufanya walivyofanya. Siyo rahisi kihivyo.
CHADEMA mkifanya kosa kuridhia uteuzi huo; mumekwisha! Na ndipo hapo wanataka kukushikieni na kuwamaliza. Tazameni miaka angalau 50 ijayo.
Njooni rural areas, baini wafanyabiashara maarufu, wasomi, wakulima maarufu, viongozi wa dini, mobilize and sensitize them; panga strategies chini kwa chini. Unajua hata wanaCCM wenyewe wamekichoka Chama chao? Ni ile tu vyama vya upinzani hamna strategies zinazoeleweka. Ni kama viongozi mupo hapo kuchumia matumbo.
Nashauri tu.
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,353
2,000
Mimi inaniwia vigumu sana kuamini kwamba viongozi wa vyama vyetu vya upinzani wana uwezo wa kujifunza kutokana na makosa yao ya nyuma. Wangekuwa na huo uwezo, leo hii CHADEMA wasingekuwa wanajiuguza majeraha makubwa yaliyoletwa na dhoruba la Viti Maalum vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sio siri, kufukuza makada waandamizi 19 ni msiba mkubwa sana kwa chama, ambao haukuwa wa lazima!.

CHADEMA ilipaswa kuteua Wabunge wa Viti Maalum mapema iwezekanavyo na kulimaliza hilo swala kwa amani. Mkakati wa kugomea Viti Maalum ni 'Political Maneuver' ambayo haikuwa na tija yoyote, kwa sababu kadhaa:

1. Historically, vyama vyetu vya upinzani vimewahi kususia mambo mengi na kufanya migomo ya aina mbalimbali, ambayo matokeo yake sote tunajua yalikuwa ni hasara zaidi kuliko manufaa kwa upinzani. Mifano ni mingi sana, lakini nitataja miwili tu mikubwa. Kwanza, mwaka 2015, Maalim Seif alisusia uchaguzi wa marudio Zanzibar akiamini kwamba kuna siku angepewa ushindi wa mezani na kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar.

Alisubiri mpaka muda wa uchaguzi mwingine ukafika bila kupewa ushindi wa mezani kama ndoto yake isiyokuwa na mbele wala nyuma ilivyomtuma. CUF paid a heavy price kwa sababu ya poor judgment ya viongozi wake. Pili, mwaka 2019, wapinzani walisusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Matokeo yake, CCM swept all seats. Hiyo ilikuwa poor judgment nyingine ya viongozi wa vyama vya upinzani.

2. Kuchukua viti maalumu hakuzuii chama kuendelea na mapambano yake yoyote yale. Chama bado kinaweza kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi kwenye majimbo na kata zote ambako wagombea wake walishindwa uchaguzi.

3. Kufikiria kwamba, kwa kususia viti maalumu, Tanzania itakuwa na general election do over ni uzembe mkubwa wa kufikiri. Kama Bob Amsterdam, Lissu’s foreign political mercenary, ameiambia CHADEMA kwamba kuna jumuiya ya kimataifa inayoweza kushinikiza nchi fulani kufuta matokeo ya uchaguzi wake na kufanya uchaguzi mwingine, amekidanganya chama mchana kweupe. National elections zinafanywa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Michakato ya kufuta matokeo ya uchaguzi nayo lazima ifanyike kwa kufuata sheria hizo hizo na mahakama za nchi husika. Hakuna international law inayoweza kutumika badala yake!

4. Kufikiria kwamba kugomea viti maalumu kutasaidia kuzishawishi jumuiya za kimataifa kuiwekea nchi vikwazo ni uzembe mwingine mkubwa wa kufikiri. I am not aware of any country that was slapped with economic and other sanctions because of election disputes. Hata kama hilo lingewezekana, effectiveness ya huo mkakati ni questionable. Ipo mifano mingi ya nchi ambazo zimeishi na vikwazo vya kimataifa kwa miaka kumi, ishirini. Nina uhakika Tanzania pia haiwezi kukubali kuacha kusimamia uhuru wake na sovereignty yake ili kutimiza matakwa ya mabeberu. So, if Tanzania weathers a five-year economic sanctions period, for example, how does that help resolve the 2020 election dispute?

Politics ni art ambayo haihitaji hasira. Viongozi wetu wa vyama vya upinzani inabidi wajifunze kuucheza huu mchezo bila kuumiza vyama vyao. A safe strategy ni kuchukua chochote kinachopatikana immediately kisha unaendelea kupambana kukitafuta kile kinachoweza kupatikana baadaye. Kwa kuwa viongozi hawasaini settlement agreement na mtu yeyote ambayo itawafanya washindwe kuendelea na mapambano, hakuna sababu ya kuwa na misimamo duni kama hii ya kususa na kufanya migomo.
Wewe kweli ni takataka! Niliposoma mistari miwili ya mwanzo sikutaka kuendelea kusoma upumbavu! Chadema wanakuambia hawawezi kuteua wabunge wa viti maalumu kwa vile kufanya hivyo ni kubariki uchafuzi uliopita. Wewe unakuja hapa na mahipsi yako unatoa ushauri wako wa kifala eti chadema wangeteua wabunge hao wa viti maalumu yasingetokea hayo! Jinga sana

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,869
2,000
Ndiyo; hujalenga kunifurahisha, ila kuvuta attention ya wanajukwaa hili ili waweze kuuona ujinga wako kwa uwazi na mapana...

Hoja ni moja tu hapa. Jifunze kufanya utafiti kwanza juu ya hoja yoyote unayoifanyia uchambuzi...

Ingekuwa hivi unavyosema "hujaandika kunifurahisha Mimi", basi ungewapa watoto wako wasome ili waelimike kwa ujinga wako...!

Umeandika na kuleta hapa ili tujadili.

So, whether you like it or not, tutajadili hoja yako vilivyo. Tena sisi wengine huwa hatuna msalia mtume kwenye ujinga kama huu bali ni kukosoa tu tena kwa lugha kali kabisa...!

Ukiona unakereka, basi DON'T TRY POST RUBBISH HERE AGAIN...

Jazba, matusi, lugha kali hazijawahi kuwa substitute ya nguvu za hoja na hazitakaa ziwe. Hoja hujibiwa kwa hoja. So far, you haven’t offered any opposing argument!
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,869
2,000
Mkuu, mbona unatumia nguvu kubwa sana kupingana na ukweli? ajenda yako ni nini haswa, yaani kilichotokea Oct 28 hukijui kabisa? Ebu tuwaache hao CDM kwani maamuzi yao ni sahihi kabisa, tusubiri 2025 tuone maendeleo atakayoletwa na wabubge wa changu chanu peke yao.
Take it easy mkuu.

Just kwa sababu mtu anadai kaibiwa kura haina maana kwamba kweli kaibiwa kura. Madai kama hayo ni utamaduni wa watu wasiokubali kushindwa uchaguzi. Hata Donald Trump naye anadai kadhulumiwa ushindi wake!
 
FOCAL

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
1,227
2,000
Just kwa sababu mtu anadai kaibiwa kura haina maana kwamba kweli kaibiwa kura. Madai kama hayo ni utamaduni wa watu wasiokubali kushindwa uchaguzi. Hata Donald Trump naye anadai kadhulumiwa ushindi wake!
Sawa mkuu, ila kunywa maji pumzika kwanza. Ni ngumu sana kupingana na ukweli. Ni lini tumeanza kuwaonea huruma CDM waingie bungeni kwa hizo njia haramu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom