The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Siamini kuwa ndiyo unajifunza kufanya uchambuzi...
Ningekuwa mwalimu wako na umeandika essay hii juu ya jambo hili, ningekupa alama 10% out of 100%..
Unaonekana huna data wala facts juu ya jambo hili. Wewe unachokiona mbele yako ni "viti maalumu" tu...
Mbona huichambui hoja ya CHADEMA ya kutofanya hivyo "hiyo mapema..?"
Huwezi kutamka kuwa, "Mimi sitafanya ushirika wa jambo lolote na wewe mpaka utakaponiomba msamaha" halafu wakati huo huo nikikuletea ugali na chips unazifakamia kama mjinga fulani vile...
Na wewe mimi nakushauri jambo moja, kuwa, siku zote katika maisha yako uwe na msimamo na principles..
Usiyumbishwe na chochote katika jambo au kitu chochote unachokiamini...
Lazima uamue kuwa moto au baridi. Kamwe usiwe vuguvugu ama nataka - sitaki..
Maandiko yanatuambia kuwa NDIYO yetu na iwe NDIYO kweli na SIYO yetu iwe SIYO kweli kweli...
CHADEMA wanaamini na wameshatoa TAMKO hadharani na dunia nzima imesikia na kuona kuwa, uchaguzi mkuu wa 2020 Tanzania ulikuwa BATILI na hivyo hawatambui matokeo yake...!!
Sasa ukiwa na akili na ufahamu timamu utawezaje kuteua wabunge wa viti maalumu kwa matokeo ya uchaguzi usioutambua wala kuukubali...??
Sasa wewe unasema "wangeteua viti maalumu mapema, huu mgogoro usingekuwepo" inaonesha kuwa umetoka usingizini, hujui kinachoendelea na ukaamua kujiandikia tu bila kuwa facts ya unachokiandika...!!