Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,188
- 12,364
Ni Saddam Hussein pekee ndio alikuwa anashinda kwa 99%.Hiyo ni perception yako ambayo pengine imesababishwa na wewe kutokumpata kiongozi uliyemtaka. Hata hivyo, hiyo ndiyo democracy yenyewe; you don’t always get to install the leader you wanted!
Mgogoro wa viti maalumu haukupaswa hata kuwepo kama viongozi wa CDM wangetumia busara mapema kabisa.
Labda kidogo na ndugu yetu Kagame