Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
- Thread starter
- #81
Wewe kweli ni takataka! Niliposoma mistari miwili ya mwanzo sikutaka kuendelea kusoma upumbavu! Chadema wanakuambia hawawezi kuteua wabunge wa viti maalumu kwa vile kufanya hivyo ni kubariki uchafuzi uliopita. Wewe unakuja hapa na mahipsi yako unatoa ushauri wako wa kifala eti chadema wangeteua wabunge hao wa viti maalumu yasingetokea hayo! Jinga sana
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Jaziba, matusi, lugha kali hazijawahi kuwa substitute ya nguvu ya hoja na hazitakaa ziwe. Kwa hiyo, ukiona mtu anakimbilia kurusha matusi, jua kuwa huyo anahitaji kuombewa, kwa sababu hayo matusi ndiyo the best his or her brain can offer!