MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Huyu jamaa kama hukuwahi kuyasoma mabandiko yake kabla ya Lowassa kuingia CHADEMA unaweza ukadhani ni mtu mwenye msimamo na mzalendo kumbe ni mtu wa hovyo.Hahahaa
Kumbe wakuu mlikuwaga ile mna msitiri tuu.
Hakuwaza kesho maskini jaman
Mbona unakasirika namna hii? Oga, huu mchezo hautaki hasirao.
Hapa ki ujumla umemaliza mkuuni mtu wa hovyo.
Kinachonishangaza ni uwe uwezo wake wa kutokuwa na aibu
Huyo jamaa kwa sasa kulitaja neno RICHMOND limekuwa kama kupewa adhabu ya kifo.Hapa ki ujumla umemaliza mkuu
Mi mwenyewe nilipo jiunga na Jf nilikuwa namuaminia, hadi kubishana naye nilikuwa sipendi namchukulia kama jamaa mmoja muelewa.
Kuanzia leo nime muona ni wa hovyo halafu anafikiri kuwa watu wanamuheshim kwa kuwa hivo kumbe wana mpuuzia tuu.
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Hahahahaha..... Nakuonea huruma!Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Cc [HASHTAG]#Erythrocyte[/HASHTAG]Hahahahaha..... Nakuonea huruma!
Naona uko kwa walevi wenzio hahahahaha... Siasa raha sana unazungushwa kama kopo la chooniMkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Nakuona sasa umeamua kuwa mchafu kuliko el.... Poleni vijana!ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Hahahahaha.... Wewe ni nani bwana hapo chadema mpaka useme una chaguo? Wewe ni nyumbu tu.. Mfalme wenu ndio mwamuzi wa mwisho!wewe ndo unaota DR Slaa ndo chaguo letu
Uliona mbali sasa mrudishieni hela zake mlizochukua baada ya kimuuzia chama!Lowasa atahangaika sana lakini uraisi utakuwa ndoto kwake
Hii kazi ndio umeichukua rasmi!mwinzi wa richmond hatuwezi kumsahau wewe endelea kujazia maiti damu
Ndio sababu mlimdekia barabara sio?Lowassa ndo huyu hawezi hata kukimbia mitaa 100
Mkuu Kill 3, kwa hiyo sasa hivi mnakula wapi?endeleeni kumpa moyo 2015 siyo huyu lowasa asiposhinda uraisi sijui mtakula wapi
Kijana umeona sasa madhara ya kukabidhi akili kwa mbowe?Sikiliza wewe FISI, mimi sio ukawa wala sisiemu. Nachotaka ni rais bora, sasa mnyonya mapvmbu ya EL kama wewe unakuja na upumbafu eti EL for presidency, unahitajika kupelekwa mirembe, kwamba hujui EL ni worse than JK??
Kuona hili hauhitaji kuwa na certificate, diploma au shahada zingine. Wala hauhitaji hesabu au science nyingine kujua kuwa hafai, haiwezekani anatumia pesa nyingi hivi kutaka kuwa rais. Na kwa taarifa yako, huyu hata sisiemu hakatizi. Mtamremba sana na kukisi mapvumbu yake, ila hamna kitu. Sidhani kama sisiemu ni wapumbavu kama wewe na team yako.
Kweli kabisa...kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro
Ngamia kapenya kwenye Tundu la sindanoLOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM