Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Tatizo lako wewe ni mpu.mbavu wa hali ya juu. Trump kule GOP wengi wanampinga na hawatampigia kura na hawana mpango wa kujitoa GOP, lakini mimi kumpinga fisadi Lowassa na kuendelea kuiunga mkono CHADEMA unaona kitu cha ajabu. Taahira mkubwa sana wewe mwenye uelewa finyu sana.

 
Kijana unazidi kujichafua tu..bora unyamaze kimya....mabadilikooooooooo!
 
Wewe ni Unaweza ukawa kati ya wale watu Laki 4 wenye mattzo ya akili waliotajwa jana, sasa utamfanishaje Trump na Lowassa!!? Kadiri unavojibu unajivua heshima yako hata kidogo iliyo baki, wenzenu kule GOP walifanya primaries Trump akapata kura na kuweka rekodi kura milion 14, hapa Lowassa waliamka kina mbowe wakabadikisha gia angani, halafu Trump hakuhama democrat yeye ni Republican toka kitambo, halafu Trump si fisadi wala mla rushwa, Halafu utasemaje huyo Lowassa ni fisad wakat mwenyekiti wenu alisema siyo fisadi, viongoz wako kina Msigwa wakamuomba mpaka msamaha!!! Kwa hiyo wewe unapingana na wenye chama!!?
Hivi mkuu kimekupata nini kichwani huko!!?
Najua utarudi na gazet tena la kujietea, endelea kuonesha ujinga wako bro. Na mimi ntakuwa nakupa elim hapa hapa
 
Dah! Naona unazidi kuonyesha kwamba uwezo wako wa kuchanganua mambo ni SIFURI. Eti huwezi kufananisha issue ya GOP kutomuunga mkono Trump lakini kuendelea kubaki ndani ya GOP na mimi kutomuunga mkono fisadi Lowassa lakini kubaki ndani ya CHADEMA!!! Una akili ndogo sana ya kushindwa kuelewa vitu ambavyo viko wazi kabisa. ELIMU MULUGO inakusumbua sana ndiyo sababu hata kilichoandikwa na CNN umeshindwa kukielewa. Unadhani CNN inasomwa na watu wangapi duniani ambao hicho unachodai kwamba hakiko sawa kama kweli kisingekuwa sawa wengi duniani wangekuwa wamekisha kukipeleka CNN ili kifanyiwe masahihisho. Tulizana acha kukurupuka na kuonyesha umburula wako hadharani wa kutaka kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Mxciuuuuuuuuuuuu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…