Daah!! Sasa hivi umebadilika uchamungu upo wapi..hahahhahahha!Hayo magazeti yanakuza mambo bila sababu. Ukawa ya nini wakati anao mwaliko kutoka kwa Ayat.olah kujiunga na kupewa nafasi ya kugombea cheo anachokipenda kuliko ampendavyo mkewe?
Wasitusumbue na maugomvi yao wakati sie tunamachungu na ripoti ya CAG
wewe viti maalum mbona unakichekesha chekesha sana kuna nini huko nyuma ya pazia.?Nakabaliana na wewe kamanda wangu.
Teh teh teh
Mkuu mbona bado uko UKAWA?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Mbona umenichunia? Sio vizuri mtanganyika!!!!We mchunguz huru umepotelea wapi?
Jmn tusifukue makaburi hahahahahwewe ulinena.
swissme
Duuuh...Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.
Ufafanuzi ulishawekwa humu humu mkuu , kila aliyekuwa ccm alikuwa adui yangu , nimerudi tu kwa ajili ya heshima yako , chadema nzima iliamini hivi lakini baada ya kikao cha kamati kuu kila aliyekuwa negative akawa positive , nadhani umeelewa .mkuu.
swissme
Wewe na Mbowe nani mwenye Chadema? Kikowapi sasa.hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Hahahahahaha!! Baada ya muda kazi yako ikawa kuzungusha mikono.kapige mswaki kaka maana inaonekana ulikuwa usingizi..
unadhani ukawa ni kwepesi kivile?..
akijiloga akaingia tu ataambiwa akagombee udiwani ili wampime imani km kweli ni kamanda
Mmmmm!!!!!!!Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Muwe mnaweka na maneno ya akiba.Uliyeleta mada ni mkereketwa wa ACT.Kwa taarifa yako,Ukawa haiitaji mtu anayeitwa mamvi.Kumkubali mtu mzee huyu ndani ya ukawa ni kama kuchambia mfuko wa Rambo.
Daaah!!! Kamanda upo!Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM
Ocampo four kapotea kabisa, Pasco hakuwahi kuwa upande wa eddo sema huwa anaandika ukweli
unaikumbuka hii kauli yakoLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Mkuu hawa BAVICHA wengi ni walevi wa mirungi! Lowassa sio mjinga kama wanavyodhani!
Teh teh teh!do you know the meaning of swissme.
mimi ni baba yako na kama unabisha kapime dna
swissme
Umeshatoka?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Mkuu bahat nzuri nilighair kupiga kura ccm hapanaMkuu kumbe ulikuwa unaona mbali aisee!!