Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,998
mkuu pasco labda na mwanakijiji ni hivi , hatuwezi kufukua makaburi , hii ndio siasa , hata jk alimsifu sana lowasa enzi zile lakini leo anamponda , na nakuhakikishia kwamba kelele zetu ndio zimesababisha ccm wakamtosa lowasa , hii ni nafuu kubwa sana kwa UKAWA .Mkuu Mzee Mwanakijiji, nakubaliana na wewe, hata mimi ningependa kuwasikia, kwanza waliosema hili haliezekani, baada ya kuwezekana leo wanasemaje?!. Kuna waliosema hili likitokea watahama, limetokea lakini hadi leo hawajahama, jee bado wanasubiri nini?!, ila pia kuna waliosusa na kuamua kujinyamazia kimya, tungependa kuwasikia leo wanasimama wapi?!.
Pasco
kwa namna moja au nyingine nafuta kauli zilizo mhusu moja kwa moja mh,lowasa mgombea wa ukawa ,hii ni baada ya kumsikia akitolea ufafanuzi yale niliyokuwa na wasiwasi nayo ,naungana na wana ukawa waliompokea na napongeza uamuzi wao wa kijasiri ,pamoja tunajenga nchi.
Teh teh teh ...Mkuu, nakusalim tu...
Kamanda kulikoni tena.UKAWA hatuwezi kumpokea mtu mchafu kama Lowassa
Leo unakula matapishi yako pyuu!!!UKAWA ya wapi,hatutaki majizi sisi
Nakubaliana na wewe Kamanda una akili sana.Lowasa atahangaika sana lakini uraisi utakuwa ndoto kwake
Nakubaliana na wewe kamanda wangu.mtakufa njaa lowasa amewahonga sh.ngapi mna spidi sana za kumsafisha lakini hata mngemsafisha na omo bado uchafu uko pale pale
Nakabaliana na wewe kamanda wangu.ukiona mtu anamsifu mtu mchafu kama Lowassa ujue yeye ni mchafu zaidi raisi ajaye chaguo la watanzania ni DR Slaa pekee yake hana skendo za wizi kama ccm
Kwi kwi kwi kwi!!Ukawa wakimpokea lowassa ntaipigia kura ccm
Ccm sio chadema ili mtu awe rais mpaka meja general mtei na bregedia wake mbowe waseme. Hii ni ccm maamuz yake yanafanywa na vikao. Chama cha lowasa ni ccm na atagombea ccm.kama ccm ni yako njiandae kumzuia ukishindwa hama ww au kubali maamuz ya vikao.
Ukawa wakichukua hili fisadi nitaamini kweli ni wasaka tonge na ntaacha siasa, naanza kupambana na mwanasiasa yeyote bila kujari anatoka chama changu teno nitafanya jino kwa jino
Kamanda naona unampa za uso fisadi.Wewe unachokifanya hapa ni kuwa blackmail ccm wampitishe LOWASA tu na wala huna lolote. Lowasa hakubaliki UKAWA. Na kwa uroho wake wa madaraka alionao, si ajabu kweli jamaa likahamia chama kingine ili ligombee uraisi. Huu ni wehu.
UKAWA WAKIMSIMAMISHA LOWASA, SISI HATUWAPI KURA. Hatuwezi kupoteza muda wa kupigia kura fisadi lilokubuhu eti kwa kuwa kuna wajinga kadhaa wanalipigia kampeni.
Ninaimani kwa usafi na umakini wa UKAWA, hawawezi kufanya kosa kubwa kama hilo. UKAWA kumsimamisha fisadi lowasa ni kuwasaliti na kuwatukana Watanzania nchi nzima waliosimama macho yao yakiwa UKAWA huku wakiwa wamefungamanisha mikono yao pamoja!.
Na wewe mleta mada usirudie kuwaelekezea UKAWA mifereji ya maji machafu!. Hayo yamalizeni huko huko ccm.
Haya maneno unamwambia Mbowe?endeleeni kumpa moyo 2015 siyo huyu lowasa asiposhinda uraisi sijui mtakula wapi
hatutafukua makaburi mkuu .Kamanda kweli au zilikuwa akili za nyumbu.
ana nini cha zaidi? hatutaki majizi huku. alifukuzwa kwa escro no1 epa leo anaendelea kugawa hela ili awe rais.mwe nafuuu kuwa bila na kiongozi