Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Ubahili ndo mpangoMkaka full handsome ila ubahili zaidi ya Bodi ya Mikopo.
Majimama yenyewe siku hz Njaa Kali. Hayana pesaMa handsome mara nyingi hawana pesa na wanakua na wanawake wengi wanao wapenda.
Vyumamamae!Aisee
Wengi wao ni marioo na viben10, saivi wanakuwa mchicha mwiba lolMa handsome mara nyingi hawana pesa na wanakua na wanawake wengi wanao wapenda.
khaaaaahMajimama yenyewe siku hz Njaa Kali. Hayana pesa
Alafu utakuta mwanaume kapost.Mkaka full handsome ila ubahili zaidi ya Bodi ya Mikopo.
Nini maana ya michicha mwiba?Wengi wao ni marioo na viben10, saivi wanakuwa mchicha mwiba lol
Kwa jinsi ajira zilivokua ngumu wacha nieendelee kupambana na jimama languMkaka full handsome ila ubahili zaidi ya Bodi ya Mikopo.
kwanini unang'ang'ania ule vya watu?Mkaka full handsome ila ubahili zaidi ya Bodi ya Mikopo.