Mkaka Handsome, ila ubahili wa Bodi ya Mikopo!!

Sasa kama unapata kwa bure kwa nini ulipie sema mahandsome wanaonewa sana huruma kupewa mbususu ila wenye sura ngumu ata kupewa mbususu wanataka upambanie kwa kua sura yako ni ya mapambano
Ni sawa na mwanamke mwenye tako...atapata hela ya mwanaume kirahisi ila wale wasio na tako sasa.....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Utafiti wa wanaume wanaoongoza kuhonga wanawake..

--99% wenye sura ngumu ni wahongaji wakubwa.

-- 90% vibamia nao ni wahongaji wakubwa.

--80% midomo zege nao wahongaji wakubwa.

--70% wachovu kitandani nao ni wahongaji wakubwa.

--40% handsome boy wanahonga ,,,60% wanahongwa wao na wanawake.


Ukiona mwanaume aina hii katika mahusiano wala usipate nae shida..

Analyse proved 100%...

Ndy maana warembo wengi now wana date na wanaume wenye sura ngumu.
ni kweli nilideti ka kaka ka hendisamu kazuri wee 😍

shida ni kuwa hakajawi nipa hata hamsini😅😅😅 sema lodge kanalipa frsh ila nilianza kukapotezea kalipo nambia nilipie lodge nikashtuka nikipiga hesabu zabgu hakaja nii gizia hata mia nikakapiga chini 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Sikukaambia hata nakaacha niliondoka mwenyewe😅😅😅😅😅😅😅😅 siku hizi hivi vikaka vinipiteee kushotoo
 
ni kweli nilideti ka kaka ka hendisamu kazuri wee

shida ni kuwa hakajawi nipa hata hamsini sema lodge kanalipa frsh ila nilianza kukapotezea kalipo nambia nilipie lodge nikashtuka nikipiga hesabu zabgu hakaja nii gizia hata mia nikakapiga chini

Sikukaambia hata nakaacha niliondoka mwenyewe siku hizi hivi vikaka vinipiteee kushotoo
Tafuta wenye Sura ngumu mkuu hutojutia.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom