Mkaka Handsome, ila ubahili wa Bodi ya Mikopo!!

Motto
 
Attachments

  • Screenshot_20210302-101059.png
    Screenshot_20210302-101059.png
    123.5 KB · Views: 11
Tatizo linaanzia pale unapotaka wewe upewe tu bila ya kutimiza wajibu wako.

Tatizo linakuwa kubwa zaidi unapojikuta kuwa wewe ni wa kupewa tu bila kujua kuwa vinatafutwa vipatikane nawe uvipate na kuna kitu inaitwa KUANZIA CHINI
 
Utafiti wa wanaume wanaoongoza kuhonga wanawake..

--99% wenye sura ngumu ni wahongaji wakubwa.

-- 90% vibamia nao ni wahongaji wakubwa.

--80% midomo zege nao wahongaji wakubwa.

--70% wachovu kitandani nao ni wahongaji wakubwa.

--40% handsome boy wanahonga ,,,60% wanahongwa wao na wanawake.

Ukiona mwanaume aina hii katika mahusiano wala usipate nae shida..

Analyse proved 100%...

Ndy maana warembo wengi now wana date na wanaume wenye sura ngumu.
 
Nakazia hapa.
 
Maisha hayana formula kuna mahandsome na pesa wanayo kuna kina zinjanthropus na pesa hawana
Hivyo msikariri kua mahandsome hawana pesa
Mahandsome wengi ni wachoyo 😆
 
Back
Top Bottom