Kama kwa siku Mkoa Tu wa Dsm mkaa wanaotumia nisawa na heka zaidi ya 50 za miti
Source: utafiti wa Waziri Makamba
Basi naona MUTUNGI ya gesi midogo ingeshushwa bei hasa MKOA wa Dsm na mkaa ingepigwa marufuku kuingia .
gesi iko hapa hapa kwann iwe juu sana
Yaani unataka kulinda mazingira kwa kupiga marufuku mkaa na kuhimiza matumizi ya makaa ya mawe kama mbadala? Unalinda mazingira kwa kuyachafua zaidi!!!Hivi kama tunao mkaa 'coal' kwa nini usiwe processed ukatumika majumbani? Utashi wetu kama taifa katika kulinda mazingira ni upi?
Weeee.unayajua makaa ya mawe moto wake?.unayeyusha hadi sufuria.Hivi kama tunao mkaa 'coal' kwa nini usiwe processed ukatumika majumbani? Utashi wetu kama taifa katika kulinda mazingira ni upi?
ingawa hii dhana ina ukweli.lakini kwa manufaa ya kizazi kijacho, ni dhana dhaifu yafaa kuwekwa kando kwanza.Hakika mkaa ni janga la Taifa. Bila kushughulikia suala la mkaa tunajitengenezea janga kubwa la mazingira. Pamoja na kwamba gesi inatakiwa kushuka bei ili kunusuru misitu yetu pia watu inabidi wabadilike. Kuna watu wanaamini kwamba wali uliopikwa kwa mkaa ni mtamu kuliko wali uliopikwa kwa gesi ama umeme. Hawa huwaambii kitu juu ya mkaa watautafuta hata kwa magendo ili mradi wapate wali uliopaliwa kwa mkaa.
Yaaa najua hilo ndio maana nikasema yawe processed; mwaka jana nilikula mishikaki iliyochomwa kwa kutumia mkaa wa mawe viungani mwa beijing nafikiri ipo namna ya kuyafanya yawe mbadala wa mkaa wa mitiWeeee.unayajua makaa ya mawe moto wake?.unayeyusha hadi sufuria.
Yaaa najua hilo ndio maana nikasema yawe processed; mwaka jana nilikula mishikaki iliyochomwa kwa kutumia mkaa wa mawe viungani mwa beijing nafikiri ipo namna ya kuyafanya yawe mbadala wa mkaa wa mitiWeeee.unayajua makaa ya mawe moto wake?.unayeyusha hadi sufuria.