Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 149
Kwa sasa hali ni mbaya sana upande wa mazingira. Wakata mkaa ni shida kubwa sana hasa mkoa wa Pwani tunajiandaa na jangwa baya mno. Endapo hatua za haraka hazitachuliwa idara ya nishati.
Tanzania tuna gas yetu napenda kuishauri serikali. Bei ya gas ishushwe ili kuokoa hali hii au njia mbadala ili tuyatunze mazingira yetu badala ya kutumia nishati ya mkaa hali ni mbaya sana.