Niko kikazi kanda ya kaskazini kufuta ccmHaya ndiyo matunda ya ku-decentralize party structure!! ni mashambuli toka pande zote. Hongera kanda ya Kaskazini tupo pamoja sana!!
Magamba wameaibika sana leo kamanda CrashMwenyekiti Wa wzee Baba Bonny anasema mageuzi Ni Mungu mwenyewe amekubali nyie Ni mashahidi angalieni maendeleo ya hapo Kenya linganisha na ya Tanzania...
ccm wajiandae kua chama pinzani nchiniJoyce Mukya anasema mwezi Wa DEC alifunga kampeni hapa Namanga leo tuna Mwenyekiti ni kutoka Chadema anasema Chadema ni kazi kazi tu hakuna kulala kama Bungeni na kuiba Mali za umma..
Kazi ya ccm ni ufisadi na Rushwa tuJoyce Mukya anasema mwezi Wa DEC alifunga kampeni hapa Namanga leo tuna Mwenyekiti ni kutoka Chadema anasema Chadema ni kazi kazi tu hakuna kulala kama Bungeni na kuiba Mali za umma..
Chuluu si ndondo na bandubandu humaliza gogo. Wewe dharau tu wakati umekalia tawi linaloendelea kukatwa !!!Yeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
Tutahakikisha ccm inateketea nchi nzima .Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.
Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.
Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.
Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema
Huyo mjamaa kahamia chama cha wahuni Wa chadema
Wanywa gongo
Huyo mjamaa kahamia chama cha wahuni Wa chadema
Wanywa gongo
Wewe unatakiwa ujiite MKISHIMUNDUORIGINAL kwani Marangu hakuna watu wa hovyo hovyo kama wewe.
Huyu jamaa ana historia ya kusindwa huku Ccm ndio chadema wamemuamini kalaghabaooo.
Wameongeza idadi ya wanywa gongo na hakuna cha ziada kwake kuwepo Ccm aende huko huko.
Akiwa mwanachama tu wa kawaida hakuna madhara. Madhara ya umamluki ni pale akipewa madaraka fulani au akipitishwa kugombea nafasi ie udiwani, ubunge nk.Duuu acje akawa mamluki maana hawa jamaa wananjia nyingi
Mkuu Arsenal, ni kweli kupata ni kupata tuu hata ni mwanachama mmoja!, hivyo Chadema imegain!, na kupoteza ni kupoteza tuu, hata kama ni mwanachama mmoja, hivyo CCM imeloose!, lakini kwanini uweke hadaa ya mtu ambaye was something kwenye CCM but now he is nothing, kutuhadaa watu humu kuwa he is still something which he is not!, ili ionekane Chadema imevuna kigogo wa CCM!.Mkuu Pasco,
Achana na yale yasiyo na msingi coz hata angekuwa mkulima au mfugaji mmoja tu mdogo amejiunga CHADEMA sisi tunafurahia na kushangalia kwa sababu ameona mwanga na utayari wa kujikomboa
Huyu hata kama ni past member wa ngazi ya juu ktk CCM bado ni mtu mzito ktk siasa za eneo lake husika. Tunamkaribisha kwenye chama kubwa