lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
hasiwe kama shibuda
jamani hivi shibuda yuko dunia gani?
hasiwe kama shibuda
hasiwe kama shibuda
Yeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.
Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.
Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.
Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema
Kiswahili tatizo
Mkuu Molemo, with due respect, acha uongo wa nchana kweupe!, hizi sensational headlines haziwezi kuisaidia Chadema!.Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.
Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.
Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.
Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema
Mkuu Molemo, with due respect, acha uongo wa nchana kweupe!, hizi sensational headlines haziwezi kuisaidia Chadema!.
Japo mimi sio CCM, kama CCM imefanya uchaguzi wake 2012 huyo jamaa aliishapigwa chini, iweje leo miaka miwili baadaye umuandike ni mjumbe wa CCM?!. Mlifanya kajiutafiti japo kadogo kwa nini CCM ilipiga chini uchaguzi wa mwaka 2012!, ama kweli "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!"
Halafu wajumbe wanaoitwa wa Halmashauri Kuu inamaanisha ni wa NEC, hao wajumbe wa Halmashauri za mikoa, hawaitwi Wajumbe wa Halmashauri Kuu, bali wanaitwa Wajumbe wa Halmashauri ya Mkoa!. Umeweka as if ni Mnec wa CCM amejiunga Chadema!.
All and all hongereni Chadema ku plus one huku CCM same minus one!.
Pasco
ongezea "kwa muda muafaka"Hongera sana ndugu francis ole okayo!...
Uko sehemu sahihi sana...karibu
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomoMkuu Molemo, with due respect, acha uongo wa nchana kweupe!, hizi sensational headlines haziwezi kuisaidia Chadema!.
Japo mimi sio CCM, kama CCM imefanya uchaguzi wake 2012 huyo jamaa aliishapigwa chini, iweje leo miaka miwili baadaye umuandike ni mjumbe wa CCM?!. Mlifanya kajiutafiti japo kadogo kwa nini CCM ilipiga chini uchaguzi wa mwaka 2012!, ama kweli "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!"
Halafu wajumbe wanaoitwa wa Halmashauri Kuu inamaanisha ni wa NEC, hao wajumbe wa Halmashauri za mikoa, hawaitwi Wajumbe wa Halmashauri Kuu, bali wanaitwa Wajumbe wa Halmashauri ya Mkoa!. Umeweka as if ni Mnec wa CCM amejiunga Chadema!.
All and all hongereni Chadema ku plus one huku CCM same minus one!.
Pasco
Leta Picha kama ushahidi.
Sweeping analysis