Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Hakika longido mnatia chachu na kuwa mfano kwa majimbo mengine kama Monduli. Tutawaigeni nasisi tupate kuona nuru ya ukombozi
 
Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.

Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.

Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.

Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema

Mkuu Molemo asante sana kwa taarifa hii maana sasa CHADEMA imeshapenya katika kila kona ya nchi yetu; umasaini sasa imekuwa rasmi chama cha ukombozi

CCM imetawala miaka nenda rudi lakini hatuoni lolote zaidi sana ni ongezeko la matatizo hasa shida ya maji, ukosefu wa eneo la kufugia mifugo, migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji
 
Last edited by a moderator:
Yeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
 
magamba wanapukutika kama wagonjwa wa ebola
 
kakosa ukuu wa wilaya huyo,angeendelea kuwa mkuu wa wilaya hakika asingehama chama,ningemuelewa kama angehama kipindi kile akiwa mkuu wa wilaya.
 
  • Thanks
Reactions: jme
siku hadi UKAWA wanazidi kuimarika. CHADEMA wana mipango makini sana alooo. Kuipiga ngome ya CCM hasa umasaini si jambo rahisi.

viva CHADEMA; safi sana UKAWA
 
Mimi huwa suwaamini saaana hawa wafuasi wa ccm wanaohamia upinzani isije ikawa ni wanainteligensia wapo kazini kudhoofisha upinzani kisha wapewe ukuu wa wilaya au vyeo vingine baada ya uchaguzi. Tahadhari kwa ukawa kuweni macho.
 
kakosa ukuu wa wilaya huyo,angeendelea kuwa mkuu wa wilaya hakika asingehama chama,ningemuelewa kama angehama kipindi kile akiwa mkuu wa wilaya.

Bado ww sasa uvue gamba uvae gwanda!
 
Tunamsubilia mzee wa silver lowasa.

Swissme
 
Uwezo wa kufikiri wa viongozi wa Chadema umeishia kupokea majeruhi toka CCM.
 
Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.

Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.

Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.

Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema
Basi mkuu ungesema mjumbe wa zamani badala ya kusema "Mjumbe wa Halmashauri" kumbe mtu mwenyewe alishatemwa. Tusiwe kama maccm hata yakisikia mjumbe wa kitongoji wa zamani kahama CHADEMA yanapiga mbinja mpaka Magogoni wanasikia mpaka Bi. Mkulu mashavu ya .............yanatikisika!!

Huyu jamaa asije kuwa ameona fursa ya kuja kugombea ubunge hapo Longido ni bora apewe taarifa mapema, labda kama hakuna jembe hapo Longido.
 
Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.

Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.

Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.

Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo Chadema

anataka ubunge halafu kesho mtaanza kumwita mamluki
 
...ccm wepesi sana, wamebaki kupiga mayowe tu, watu tunapiga ndani na nje. walipandijiza mamluki kwenye kambi yetu wakasahau mlango wa chumbani kwao uko wazi, tutawapiga bila Huruma na bado karata zetu hatuja anza kuzichanga, dadeki zao....
 
wala hili siyo pigo, ni mpango mikakati. Ccm kuna majembe mengi sana!
 
kakosa ukuu wa wilaya huyo,angeendelea kuwa mkuu wa wilaya hakika asingehama chama,ningemuelewa kama angehama kipindi kile akiwa mkuu wa wilaya.
mkuu ukuu wa wilaya mtamu?
 
...ccm wepesi sana, wamebaki kupiga mayowe tu, watu tunapiga ndani na nje. walipandijiza mamluki kwenye kambi yetu wakasahau mlango wa chumbani kwao uko wazi, tutawapiga bila Huruma na bado karata zetu hatuja anza kuzichanga, dadeki zao....

Ccm wakikamatwa hawana ujanja hapa lazima tumvue gamba nape na mwigulu
 
Back
Top Bottom