Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Hakika ccm hawana lao hapa tunakoelekea,Fua gamba Vaa Gwanda


Hongera sana Kamanda Fransis Ole Okayo.[
/QUOTE]

Hii ni mwanzo tu,kipigo cha serikali za mitaa ni salamu,ccm watenge fedha nyingi kuhonga polisi ili wawatetee!
Na ule mpango wa JWTZ kusimamia uchaguzi ili kuvuruga tumeshaupata,polisi na wanajeshi wazalendo wameapa kuwashughulikia wakala wao
 
Good,halafu kuna kipindi nimewahi kuwepo Tabora wanatamani sn Lema aende.

Chadema ni ccm B, msitegemee mabadiliko kwani viongozi wote wa chadema walikuwa ccm, ishu walitimuliwa kwa wizi, rushwa,ubadhilifu na matatizo mbalimbali. Kama huyo, "aliyekuwa" mjumbe wa NEC, akatemwa naye ni problem tu.
 
Safiiiiiiiiii tunataka kusikia na Mke na watto wake wamejiunga Chadema. Chadema kama Safina ya Nuhu
 
Mkuu longido ni ngome ya chadema kwa sasa, kipindi cha juzi cha uchaguzi serikali za mitaa tulitia timu Longido na kamanda Baba lisiana na mwisho wa siku tukachukua mitaa 23 kati ya mitaa 24.

Mkuu hizi takwimu za kweli au unazuga watani?!
 
ni wakati wa kuwa makini kipindi hiki watu wanaangalia fursa pia ccm ina mbinu nyingi matokeo yake ni kupoteza jimbo kwa sababu za kijinga kama kujitoa au kukosea kujaza fomu
 
Mwisho wa siku wakipata asilimia 25 wameshinda na CCM wamekiona cha mtema kuni. Uchaguzi wa serikali za mitaa walipata asilimia ngapi?
 
Tatizo lililopo ni kwamba chama kipenzi cha Watanzania, CHADEMA, kitaingia kwenye uchaguzi huku wapinzani wao wakubwa wakiwa ni wezi.

Historia imethibitisha kwamba viongozi wa sasa wa chama tawala ni watu waliobobea kwenye wizi wa fedha na kura. Wanapanga sasa ma DC kwa ajili ya kufanikisha hilo.

Hongera CHADEMA.
 
Back
Top Bottom