Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,195
- 128,928
Mkuu Chademakwanza, huo ubongo wakutanuliwa kwanza uwepo!, kama haupo utatanua nini zaidi ya mdomo!.Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo
Pasco
Mkuu Chademakwanza, huo ubongo wakutanuliwa kwanza uwepo!, kama haupo utatanua nini zaidi ya mdomo!.Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo
Huyu jamaa ana historia ya kusindwa huku Ccm ndio chadema wamemuamini kalaghabaooo.
Wameongeza idadi ya wanywa gongo na hakuna cha ziada kwake kuwepo Ccm aende huko huko.
Mkuu Chademakwanza, huo ubongo wakutanuliwa kwanza uwepo!, kama haupo utatanua nini zaidi ya mdomo!.
Pasco
Kwasasa watanzania wamechoshwa na sera chafu za ccmHuyo mjamaa kahamia chama cha wahuni Wa chadema
Wanywa gongo
Mkuu Molemo, with due respect, acha uongo wa nchana kweupe!, hizi sensational headlines haziwezi kuisaidia Chadema!.
Japo mimi sio CCM, kama CCM imefanya uchaguzi wake 2012 huyo jamaa aliishapigwa chini, iweje leo miaka miwili baadaye umuandike ni mjumbe wa CCM?!. Mlifanya kajiutafiti japo kadogo kwa nini CCM ilipiga chini uchaguzi wa mwaka 2012!, ama kweli "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno!"
Halafu wajumbe wanaoitwa wa Halmashauri Kuu inamaanisha ni wa NEC, hao wajumbe wa Halmashauri za mikoa, hawaitwi Wajumbe wa Halmashauri Kuu, bali wanaitwa Wajumbe wa Halmashauri ya Mkoa!. Umeweka as if ni Mnec wa CCM amejiunga Chadema!.
All and all hongereni Chadema ku plus one huku CCM same minus one!.
Pasco
Tulichosema Hatuta wanunua wanachama wa ccm kwa pesa sera na msimamo wa chama ndio utawaleta wanaccm chadema umebakia mwenyewe ccmYeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
Oili chafu.
PIGO LIKO WAPI SASA HAPO,mambo mengine vichekesho
PIGO LIKO WAPI SASA HAPO,mambo mengine vichekesho
Siyo rahisi ulione ukiwa kwenye vibuyu vya Lumumba
Teh teh teh...
Mkuu hujawazoea tu hawa? Bwn. Mpendazoe alipoondoka CCM walisema hivi hivi. Ila mpaka sasa CCM inendelea kuongoza medani za kisiasa Tanzania.
Mbunge wa Longido ni nani?, jee tuhesabu sio tuu Chadema imevuna mwanachama mmoja bali itavuna jimbo la Longido?!.mkuu pasco huyu mzee anaitwa Francis Ndipapa ole Ikayo (mtoa mada amekosea) namfahamu vizuri anaushawishi mkubwa mno longido sijui kwanini amehama
alikuwa mnazi sana wa ccm ukiona mpaka yeye kahama ujue ccm longido inayo kazi kubwa huyu ndio alikuwa mpinzani mkubwa sana wa laizer (rejea kura za maoni ccm 2010)
twende mbele turudi nyuma ccm imepata pigo
Kweli wamewekeza sana kuwangoa kucha watanzania nakuchukua hela yao kifisadiMkuu Chademakwanza inapaswa ujifunze kuwa CCM ni chama cha siasa sio SACCOS kama CHADEMA. CCM iliwekeza kwa watanzania. Kwahiyo huyo jamaa yenu hana uwezo wa kuitikisa CCM.
Umbeya mtupu..mtu makini hawezi kufanya maamuzi ya kijuha kama haya
Hilo siyo lakusema polepole ccm lazima waumie longidoMbunge wa Longido ni nani?, jee tuhesabu sio tuu Chadema imevuna mwanachama mmoja bali itavuna jimbo la Longido?!.
Pasco
Wanafurahia makapi waliosema hawatayapokea. Hamna kitu huko,miaka yote wanaokoteza tu.
Teh teh teh...
Mkuu hujawazoea tu hawa? Bwn. Mpendazoe alipoondoka CCM walisema hivi hivi. Ila mpaka sasa CCM inendelea kuongoza medani za kisiasa Tanzania.